Je unajua kwanini upo hapa Duniani?

Je unajua kwanini upo hapa Duniani?

Jitu la kienyeji

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,444
Reaction score
7,984
Kusudi la sisi kuwepo hapa duniani ni nini hasa, ikiwa kila sekunde watu wapya wanaendelea kuzaliwa na kuingia kwenye huu mzunguko wa kijinga? Hivi hamuoni kama tunaishi kwenye utani mkubwa sana uliopitiliza?.

Eti tunazaliwa ili tuje kumuabudu Mungu. Serious? Yaani Mungu Mwenyezi, Muumba wa galaksi na ulimwengu mzima, alikuwa na upweke kiasi hicho cha kuhitaji viumbe dhaifu, wanaonuka jasho na kulia njaa kama sisi, tushinde tunampigia magoti na kumsifu kila sekunde ndio afurahi?.

Na kama kusudi ni ibada tu, mbona basi alituwekea mfumo unaotulazimisha kusaka pesa kwa jasho na damu? Mbona asingeondoa njaa, kodi, na magonjwa ili kazi yetu iwe moja tu ya kusifu na kuabudu?.

Au tumekuja kuteseka? Maana kila kukicha ni vurugu na stress. Unazaliwa maskini, unapambana na shule miaka nenda rudi, ukitoka hapo unaanza kusaka ajira kwa magoti huku kodi, bili, na madeni vikinyonya damu yako.

Ukipata hicho kichele cha mshahara, unaoa au kuolewa, unazaa watoto ambao nao watakuja kupitia mateso kwenye mfumo ule ule uliyopitia wewe.

Yaani tunazalisha watoto waje kuwa watumwa wapya, halafu tunajipongeza na kusema ni Baraka! Baraka ya nini? Ya kuja kuongeza idadi ya wanaoteseka na kulia kwenye hii sayari?.

Kila siku mawodini hospitali watoto wanazaliwa, na makaburini watu wanazikwa. Hakuna kipya chini ya jua. Ni muvi ile ile, waigizaji tu ndio wanabadilika.

Unaishi miaka yako 70 au 80 ya kupambana na maradhi, stress za kiuchumi, na kusalitiwa na watu, halafu unakufa unaacha kila kitu hapa hapa.

Ukiwaza mbali ndio unachoka kabisa. Hivi mnajua kwamba hata tukifika mwaka 3000 huko, kuna vizazi vingine vipya kabisa vitakuwa vinazaliwa hapa duniani? .

Sisi sote tuliopo sasa hivi tutakuwa tumeshasahaulika, watakuja watu wengine wapya kabisa kuingia kwenye huu mzunguko ule ule usio na akili.
 
Attachments

  • FB_IMG_1792674523717.jpg
    FB_IMG_1792674523717.jpg
    33.5 KB · Views: 2

Unajua kwamba dunia ya watu walioendelea kiuchumi na kielimu uzaaji umepungua sana?

Unaelewa kwa nini dunia iliyoendelea kiuchumi na kielimu watu wamepunguza kuzaa mpaka wengi wamefikia below replacement level?
 
Mhubiri 1

2. Mhubiri asema, Ubatili mtupu, ubatili mtupu, mambo yote ni ubatili.

3. Mtu ana faida gani ya kazi yake yote aifanyayo chini ya jua?

4. Kizazi huenda, kizazi huja; nayo dunia hudumu daima.

5. Jua lachomoza, na jua lashuka, na kufanya haraka kwenda mahali pa maawio yake.

6. Upepo huvuma kusi, hugeuka kuwa kaskazi; hugeuka daima katika mwendo wake, na upepo huyarudia mazunguko yake.

7. Mito yote huingia baharini, walakini bahari haijai; huko iendako mito, ndiko irudiko tena.

8. Mambo yote yamejaa uchovu usioneneka, jicho halishibi kuona, wala sikio halikinai kusikia.

9. Yaliyokuwako ndiyo yatakayokuwako; na yaliyotendeka ndiyo yatakayotendeka; wala jambo jipya hakuna chini ya jua.

10. Je! Kuna jambo lo lote ambalo watu husema juu yake, Tazama, ni jambo jipya? Limekwisha kuwako, tangu zamani za kale zilizokuwa kabla yetu sisi.

11. Hakuna kumbukumbu lo lote la vizazi vilivyotangulia; wala hakutakuwa na kumbukumbu lo lote la vizazi vitakavyokuja, miongoni mwao wale watakaofuata baadaye.
 
Kusudi la sisi kuwepo hapa duniani ni nini hasa, ikiwa kila sekunde watu wapya wanaendelea kuzaliwa na kuingia kwenye huu mzunguko wa kijinga? Hivi hamuoni kama tunaishi kwenye utani mkubwa sana uliopitiliza?.

Eti tunazaliwa ili tuje kumuabudu Mungu. Serious? Yaani Mungu Mwenyezi, Muumba wa galaksi na ulimwengu mzima, alikuwa na upweke kiasi hicho cha kuhitaji viumbe dhaifu, wanaonuka jasho na kulia njaa kama sisi, tushinde tunampigia magoti na kumsifu kila sekunde ndio afurahi?.

Na kama kusudi ni ibada tu, mbona basi alituwekea mfumo unaotulazimisha kusaka pesa kwa jasho na damu? Mbona asingeondoa njaa, kodi, na magonjwa ili kazi yetu iwe moja tu ya kusifu na kuabudu?.

Au tumekuja kuteseka? Maana kila kukicha ni vurugu na stress. Unazaliwa maskini, unapambana na shule miaka nenda rudi, ukitoka hapo unaanza kusaka ajira kwa magoti huku kodi, bili, na madeni vikinyonya damu yako.

Ukipata hicho kichele cha mshahara, unaoa au kuolewa, unazaa watoto ambao nao watakuja kupitia mateso kwenye mfumo ule ule uliyopitia wewe.

Yaani tunazalisha watoto waje kuwa watumwa wapya, halafu tunajipongeza na kusema ni Baraka! Baraka ya nini? Ya kuja kuongeza idadi ya wanaoteseka na kulia kwenye hii sayari?.

Kila siku mawodini hospitali watoto wanazaliwa, na makaburini watu wanazikwa. Hakuna kipya chini ya jua. Ni muvi ile ile, waigizaji tu ndio wanabadilika.

Unaishi miaka yako 70 au 80 ya kupambana na maradhi, stress za kiuchumi, na kusalitiwa na watu, halafu unakufa unaacha kila kitu hapa hapa.

Ukiwaza mbali ndio unachoka kabisa. Hivi mnajua kwamba hata tukifika mwaka 3000 huko, kuna vizazi vingine vipya kabisa vitakuwa vinazaliwa hapa duniani? .

Sisi sote tuliopo sasa hivi tutakuwa tumeshasahaulika, watakuja watu wengine wapya kabisa kuingia kwenye huu mzunguko ule ule usio na akili.
Tupo Duniani kwa ajili ya kupata uzoefu wa MAISHA hao wanatafuta hela hawajitambui binadamu anatakiwa kuishi hata hivyo MAISHA ya Duniani ni ya hovyo kuliko MAISHA mengine yoyote baada ya kifo.
 
Kusudi la sisi kuwepo hapa duniani ni nini hasa, ikiwa kila sekunde watu wapya wanaendelea kuzaliwa na kuingia kwenye huu mzunguko wa kijinga? Hivi hamuoni kama tunaishi kwenye utani mkubwa sana uliopitiliza?.

Eti tunazaliwa ili tuje kumuabudu Mungu. Serious? Yaani Mungu Mwenyezi, Muumba wa galaksi na ulimwengu mzima, alikuwa na upweke kiasi hicho cha kuhitaji viumbe dhaifu, wanaonuka jasho na kulia njaa kama sisi, tushinde tunampigia magoti na kumsifu kila sekunde ndio afurahi?.

Na kama kusudi ni ibada tu, mbona basi alituwekea mfumo unaotulazimisha kusaka pesa kwa jasho na damu? Mbona asingeondoa njaa, kodi, na magonjwa ili kazi yetu iwe moja tu ya kusifu na kuabudu?.

Au tumekuja kuteseka? Maana kila kukicha ni vurugu na stress. Unazaliwa maskini, unapambana na shule miaka nenda rudi, ukitoka hapo unaanza kusaka ajira kwa magoti huku kodi, bili, na madeni vikinyonya damu yako.

Ukipata hicho kichele cha mshahara, unaoa au kuolewa, unazaa watoto ambao nao watakuja kupitia mateso kwenye mfumo ule ule uliyopitia wewe.

Yaani tunazalisha watoto waje kuwa watumwa wapya, halafu tunajipongeza na kusema ni Baraka! Baraka ya nini? Ya kuja kuongeza idadi ya wanaoteseka na kulia kwenye hii sayari?.

Kila siku mawodini hospitali watoto wanazaliwa, na makaburini watu wanazikwa. Hakuna kipya chini ya jua. Ni muvi ile ile, waigizaji tu ndio wanabadilika.

Unaishi miaka yako 70 au 80 ya kupambana na maradhi, stress za kiuchumi, na kusalitiwa na watu, halafu unakufa unaacha kila kitu hapa hapa.

Ukiwaza mbali ndio unachoka kabisa. Hivi mnajua kwamba hata tukifika mwaka 3000 huko, kuna vizazi vingine vipya kabisa vitakuwa vinazaliwa hapa duniani? .

Sisi sote tuliopo sasa hivi tutakuwa tumeshasahaulika, watakuja watu wengine wapya kabisa kuingia kwenye huu mzunguko ule ule usio na akili.
Ndio mana wazungu wameacha kuzaana huu ni ungese kabisa.
 
Unajua kwamba dunia ya watu walioendelea kiuchumi na kielimu uzaaji umepungua sana?

Unaelewa kwa nini dunia iliyoendelea kiuchumi na kielimu watu wamepunguza kuzaa mpaka wengi wamefikia below replacement level?
Wapi huko? Huku uswahilini watu wanazaana kama panya na wanamuabudu Mungu wao Wanasema kila mtoto ana riziki yake na MAISHA ni magumu sana Cha kuishangaza Mungu wao wala hawasidii.
 
Aah, sasa mimi nakuambia dunia iliyoendelea kiuchumi na kielimu, halafu wewe unanitajia habari za uswahilini tena?
 
Sasa mkuu, hao ndo wanakandamiza wanyonge wameweka ELIMU za ajabu ajabu wanasema tusitumie mitishamba tutumie dawa zao zenye sumu mbaya zaidi wametuletea DINI ili tugombane wapore ARDHI na madini yetu hakuna Cha afadhali
 
Nimekuuliza swali, hujalijibu, usharukia mambo mengine mia.

Hatuwezi kuelewana namna hii.
 
Back
Top Bottom