Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,740
- 58,263
Jana na Leo😁
Ahahahha alafu ww inabidi nikukutanishe na mganga mmoja anajiita genius 😂😂😂😂Faya faya faya fayaaaaa!!
Karibu chamani 😂😂😂😂Jana na Leo😁
😂😂😂😂😂😂😂Njoo uchukue mtoto mmoja🤣
Ahahaha kama zimpo zingine naziomba mkuu 🤣😂😂😂😂Apostle kuna kitu kimetokea hapa, enhee enheee🤣🤣🤣
Pls forgiveness 🙏 🙏 🙏 🙏 😂😂😂😂😂Njoo uchukue mtoto mmoja🤣
Shetani ashindweeeee.Makobaz wanajua kuielezea hii kinagaubaga
Na man U kujiita mashetani wekundu na muislamu kwenda msikitini na jezi hiyo 😂Shetani ashindweeeee.
Unakumbuka wale mashekhe wakawa wanasema Chelsea timu ya mashetani..
Na rangi ya blue ni non luminous frame
Hao wavaa jamii ya madera wanabalaaShetani ashindweeeee.
Unakumbuka wale mashekhe wakawa wanasema Chelsea timu ya mashetani..
Na rangi ya blue ni non luminous frame
Yaaani kuna watu jau jau jau..Na man U kujiita mashetani wekundu na muislamu kwenda msikitini na jezi hiyo 😂
Weww tutakufatiliaNiwape taarifa tu ARSENAL, LIVERKUKU na MAN U hamgusi top msimu huu
Weww tutakutafuta aiseeeeHao wavaa jamii ya madera wanabalaa
Tufwile bhagwitu