Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,685
- 4,717
**Je unajua kitendo #hiki kwenye ujasusi??
**Kwenye ujasusi unaweza kutambua unafatiliwa au unapelelezwa na watu wenye nia mbaya alafu wewe unatangaza hadharani sehemu ulipo ili kuweza kuwaibaini hao wanaokufatiliwa??
**Kijasusi, kitendo hiki kinaitwa Counter-Surveillance (Ushushushu wa Kukabiliana na Ufuatiliaji)
Mbinu unayoitumia inajulikana kama "Baiting" (Kutega Chambo) au "Forced Disclosure" (Kulazimisha Ufichuzi).
**Katika ulimwengu wa ujasusi Counter-Surveillanceinasaidia inasaidia kugundua kuwa unafuatiliwa na kuanza kuchukua hatua makusudi ili kuwasoma,kufahamu wanaokufuatilia badala ya kukimbia au kujificha,
**Kwenye mbinu hii unajidai unaendelea na maisha yako ya kawaida lakini ukiwa mwangalifu sana😃😃😃😃
**Katika mbinu hii unaweza kutangaza eneo ulipo hadharani kwa mfano kupitia kwenye mitandao ya kijamii
😄😄😄 au redioni ,unageuza nafsi yako kuwa "Chambo" (Bait), Lengo ni kuwavuta maadui wako wajisogeze karibu ili uweze kuwatambua, kujua idadi yao na mbinu wanazotumia Mbinu hi inaitwa
Baiting (Kutega Chambo
***Hali hii inakuwezesha wewe uliyekuwa unadhaniwa kuwa "Mwindwa" (Target) kuwa "Mwindaji" (Observer),Unapotangaza ulipo unakuwa umewaandalia mtego wa kiintelijensia au kijasusi ambapo wao wanadhani wanakunyemelea, kumbe wewe una watu wako au mifumo yako inayowasubiri ili kuwapiga picha, kuwarekodi😄😄😄😄😄😄,kitendo kinajulikana kama Turning the Tables" (Kugeuza Ubao) ni
👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
Kwenye maisha yetu ya kawaida ambayo yamejaa wivu,rohoo mbaya,chuki, unaweza kutumia Counter-Surveillance kujua watu wanakufatilia au wanapeleza kwa nia mbaya ..
**Kuna kipindi nilitangaza nipo Mutukula mkoa wa kagera mpakani mwa Uganda na Tanzania wakatoa jamaa 2 walinipatia namba zao zao Simu kupitia post yangu ili nikifika Mutukula tuonane lakini dakika 22 baada ya kuandika namba zao walifuta namba zao na kuniblock kwenye Facebook