Je unajua kuhusu METADATA?

Je unajua kuhusu METADATA?

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
2,829
Reaction score
5,343
Metadata ni taarifa zinazoelezea taarifa nyingine
Hizi taarifa mara nyingi zinakuwa zimehifadhiwa kwenye picha au video metadata itasoma hio picha ilipigwa wapi muda gani camera gani ilitumika au simu gani ilitumika kupiga picha

Sasa hii metadata imesababisha watoto wadogo kukamatwa na hii serikali ni hivi polisi wanachukua hio video kisha wanaomba metadata fb wanapewa kila kitu hio video umerekodiwa wapi location gani simu iliotumika au kamera na ilirekodiwa muda gani.

Hata polepole nahisi walitumia hio walichukuwa video zake wakapata taarifa zinapostiwa kutoka wapi wakamnasa

Hizo taarifa utafutaje usikose kunifuatilia
Good night
You better watch your back
 
Akuna metadata wala nini watu wanachomwa na kuuzwa na watu wa kalibu au makampuni ya simu
 
Akuna metadata wala nini watu wanachomwa na kuuzwa na watu wa kalibu au makampuni ya simu
Wewe ni kichaa kweli kampuni ya simu iko japani huko ukuchomee wewe 😂
 
Kuna kitu kimoja cha ziada, uki upload picha Facebook, Instagram, au WhatsApp, hizi platforms huwa zinafanya auto scrubbing yani zinafuta metadata ili kulinda privacy yako dhidi ya watumiaji wengine.

But hizi kampuni huwa zinatunza original copies kwenye server zao, ikitokea Polisi wakiwa na legal warrant, wanaweza kutoa kila kitu kukuhusu kwa hao polisi. Hapa ndipo huwa wanadakwa wengi.
 
Kwa sasa mambo ni ngaa!... Cha muhimu jiamini wewe tu huku ukiwa timamu kichwani
 
Back
Top Bottom