umuhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: umuhimu wa mfumu huru shirikishi baina ya serikali na wasomi kwa maendeleo ya taifa

    Kujenga Taifa kwa Ushirikiano: Umuhimu wa Mfumo Shirikishi kati ya Wasomi na Viongozi wa Serikali Utangulizi Katika karne ya 21, maendeleo ya taifa hayategemei nguvu kazi pekee, bali yanahitaji mwelekeo wa kitaalamu, sera thabiti, na matumizi ya maarifa ya kisasa. Taifa x linakumbwa na...
  2. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa mjusi wa nyumbani ndani

    mjusi kafiri (anayejulikana pia kama mjusi wa nyumbani au house gecko – Hemidactylus frenatus) ana mchango muhimu sana katika mazingira ya ndani ya nyumba, ingawa wengi humchukulia kama kero. Hii hapa kazi yake kitaalamu: 1. Mdhibiti wa wadudu (Biological Pest Control) Mjusi hula mbu, nzi...
  3. FestoKaguo

    JamiiForums Tanzania Kipengere cha Measure kwenye SPSS kina umuhimu mkubwa sana!!.

    Jumatatu yangu leo nikasema nisettle nifanye coding ya data za research kwa kutumia SPSS...sasa ile wakati najaza nikafika kwenye kipengele cha Measure kama unavyoona kwenye picha hapo aisee!" Ndipo nagundua kumbe Nominal, Ordinal, na Scale kila moja inamaana yake yaani kiufupi zenyewe si...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kuwa na Mgombea Huru unaonekana sasa

    Vyama vyote vya siasa havitaki kuwepo mgombea huru. Hii ni kwa sababu itaondoa uwezo wa chama cha siasa kumdhibiti mwanachama anae tofautiana nacho. Huu ni wakati muafaka wa kumpa haki kamili raia wa Tanzania ya kuweza kuchaguliwa au kuchagua. Mtanzania awe na uhuru wa kugombea mwenyewe au kama...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa chakula katika shule za awali.

    SHULE ya awali ni kituo cha kuwalelea au kuwasomesha watoto wadogo ambao hawajaanza elimu ya msingi (darasa la kwanza)na kwa sasa serikali imeagiza kwa shule zote za msingi zinazomilikiwa na serikali zimetakiwa kuwa na madarasa ya wanafunzi wa Awali. Na kwa msingi huo hata miundo mipya ya idara...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kikwete aeleza umuhimu wa mwenge wa uhuru kwa ustawi wa jamii na maendeleo ya taifa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Mwenge wa Uhuru ni moja ya Tunu kubwa iliyopo kwenye Taifa kwani umekua kichocheo kikubwa cha maendeleo kwenye Taifa ikiwemo kuchochea mapambano dhidi ya ujinga, maradhi na umaskini kila...
  7. baggio23

    JamiiForums Tanzania Je, wajua umuhimu wa logo nzuri ya biashara?

    Wasiliana nasi leo Kwa WhatsApp no 0656965704 Tukusaidie kuipa Biashara Yako Maisha. Huduma Zetu ni: Logo design Poster design Flyers design Kadi za mialiko na Harusi Business card design Banners design Cv design Social media post template Karibu Tukuhudimie Leo..
  8. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Kutokukujua Kiingereza kumenifelisha kiasi cha kukosa madili kibao

    Salaam JamiiForums Natamani kujua vyema lugha ya Kiingereza. Natamani ningeongea Kiingereza hata Kwa asilimia 50 tu naamini ningetisha sana. Achana na stori hizi, eti tunakuza na kudumisha lugha yetu,mara tuwe wazalendo. Acheni hizo kama hujawahi kusafiri kwenda nchi yoyote ya ughaibuni...
  9. immortanity

    JamiiForums Tanzania Hakuna umuhimu wa kuwepo kwa A-LEVEL na vyuo vya kati kwa wakati mmoja .

    Serikali ingeliboresha sera ya elimu kufuta A-level na kuacha vyuo vya kati . Sioni kama kuna umhimu wa kwenda kidato cha tano na sita ikiwa kuna vyuo vya kati Ambapo moja kwa moja student anaenda kupata ujuzi kuliko kwenda advance kusoma notice na practical za mchongo za kupasua vyura siku 10...
  10. Tukuza hospitality

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kunywa maji

    Na Constantine J. S. Mauki March 2025 Utangulizi Asilimia 60 ya mwili wa binadamu ni maji. Ila kwa mtoto mchanga asilimia 80 ya mwili wake ni maji. Kiwango hiki cha maji hupungua kadri ukuaji wa mtoto unavyoendelea; na hatimaye hufikia asilimia 60, ambayo ndio wastani kwa watu...
  11. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kuweka lenta

    Never forget the ring beam. Never skip it either.no matter how broken. It's like a belt in your trousers 👖 or the elastic in your underwear 🤔. With them (it) things will fall apart. Your house is fortified by your slab (shoeless), your footing (footsore), your ring beam (belt or lastic), and...
  12. Joseph Ludovick

    JamiiForums Tanzania Lissu na Umuhimu Asiokuwa nao

    Kauli mbiu ya Chadema ya "No Reform, No Election" imetolewa tena kwenye mkutano na wahariri. Hata hivyo, msimamo huu si wa kisheria, wala hauna mantiki ya kidemokrasia. Katika mazingira ya sasa ambapo vyama zaidi ya 18 vimeshajitokeza kushiriki uchaguzi, ni dhahiri kuwa juhudi za Chadema ni...
  13. Now and then

    JamiiForums Tanzania Nilichongundua watu ambao hawajasoma darasa la saba hawana umuhimu katika jamii

    Watu wa Darasa la saba ni watu hatari, wanaishi kwa mazoea na sio kutumia akili. Unampa hela leo ili afanye matumizi anaenda kununua kiatu then kesho anakuambia hana hela ya kula.
  14. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Watu wanaweza wasielewe thamani ya matendo yako leo, lakini watatambua umuhimu wako ukishaondoka!

    Nyani na tumbili walipojua kwamba mkulima aliyewafukuza kutoka kwenye shamba la mahindi amekufa, walisherehekea kwa furaha. Lakini mwaka uliofuata hakukuwa na mahindi tena. Hapo ndipo walipogundua kwa uchungu kwamba mkulima waliyemdhania kuwa adui yao ndiye mkulima aliyelima mahindi. Watu...
  15. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Janga la "Energy Drinks" Tanzania: Umuhimu wa Sheria Kuzuia Vijana Chini ya Miaka 18 Kunywa Vinywaji vya Kuongeza Nguvu

    Katika miaka ya hivi karibuni, matumizi ya vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) yameongezeka kwa kasi hapa nchini Tanzania, hasa miongoni mwa vijana. Ingawa vinywaji hivi vinatangazwa kama viongeza nguvu na msukumo wa mwili, tafiti zinaonyesha kuwa vinaweza kuwa na madhara makubwa kiafya...
  16. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu body spray na perfume zisambazwe bure kama kondomu maana kwenye madaladala humu tutakufa

    Saa 12 asubuhi, mtu kashuka kitandani, hajafikiria maji wala sabuni, lakini tayari yuko kwenye daladala. Jamani, unajua ananuka kama amegaragara na mwanamke halafu akaamua kwenda moja kwa moja kazini? Hakuna hata sekunde ya kufikiria kuwa wenzako pia wanapumua? Najua wanaume hatupaswi...
  17. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Naomba kukiri bila shurti makalio yana umuhimu wake, akili zikiwa za kuvukia barabara zinatosha

    Leo nakiri bila kushurutishwa makalio yana umuhimu wake. Najua baadhi ya waja hasa flat screeners wataguna😜na wengine wameenda mbali zaidi kwa kudai eti makalio makubwa yanapunguza akili. Nimegundua akili zikiwa za kuvukia barabara zinatosha. Kwanza mnaotaka miakili mingi yanini? mnataka...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Shigongo katika Mkutano wa Mabunge ya Dunia, aelezea umuhimu wa Afrika kutumia maliasili

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo ameshiriki Mkutano wa Mabunge ya Dunia (Interparliamentary Union) unaofanyika katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa, New York Nchini Marekani. Mkutano huo unajadili jinsi dunia, ikiwemo Tanzania, itakavyotimiza malengo ya maendeleo endelevu (SDGs) kama kuondoa...
  19. Consultant_Silwano

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kurudisha taarifa za brela kila mwaka kwa makampuni yaliyosajiliwa kufikisha kipindi cha kuanzia mwaka mmoja tangu yasajiliwe(brela return)

    BRELA, wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Business registration and licencing agency). Kwa nchi ya Tanzania ilianzisha hitaji la Kurudisha Taarifa za Mwaka kwa makampuni kama sehemu ya Sheria ya Makampuni ya mwaka 2002. Hata hivyo, utekelezaji wa mfumo wa mtandaoni kupitia ORS (Online...
  20. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Kilimo cha mchanganyiko

    🌽🥦Kilimo mchanganyiko🍅🍏 Ni mazoezi ya kilimo ambapo mkulima hupanda mazao na kufuga mifugo kwa wakati mmoja kwenye kipande kimoja cha ardhi. Mfumo huu unaunganisha kilimo cha mazao na ufugaji ili kuunda mfumo endelevu na bora wa kilimo. 📌FAIDA ZA KILIMO CHA MCHANGANYIKO 1. Mapato Mseto...
Back
Top Bottom