Kuna michezo mingi ya muhimu ambayo inastahili kuwekewa LIVE updates, michezo ya FIFA, AFCON, UEFA Champions Leaague, CAF Champions League, Ligi kuu bara, nk. Hii michezo mingine inayohusisha timu zisizojulikana na zisizokuwa na michango yoyote katika maendeleo ya soka Tanzania ni vyema ziwe...
Ninayeandika hapa si mhanga wa ajira baada ya kumaliza chuo kikuu , maana hamchelewi kusema stress za unemployment zinanichanganya.
Nina elimu ya university mwenye shahada ya Usimamizi wa Rasilimali watu na vifani vingine vingi. Ingawa sifanyi kazi ya HRM.
Iwe na sharti kila mahali penye...
UMUHIMU WA ELIMU.
Dunia ya leo inahitaji utaalam/ufundi wa namna nyingi/Mbalimbali kwa mtu mmoja ili afanikiwe na kuwa kivutio katika soko la ajira na kuweza kwenda na wakati kulingana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia. Ndio maana waswahili husema kuwa “Mgaagaa na upwa hali wali mtupu...
Mkutano wa kilele wa 19 wa Kundi la Nchi 20 (G20) umefanyika hivi karibuni mjini Rio de Jeneiro, Brazil. Rais wa China Xi Jinping amesema katika mkutano huo kwamba, China imetangaza uamuzi wa kuzipatia nchi zote zilizo nyuma kimaendeleo zenye uhusiano wa kibalozu na China huduma ya kuondoa...
Je, wananchi wanapaswa kutambua mounekano halisi wa vitambulisho vya jeshi la Polisi ili kuepuka hatari ya kutekwa na watu wasio julikana.
Swali vitambulisho hivyo vinaonekanaje kwa mfano wa picha?
Utangulizi
Majanga kama kuanguka kwa majengo, matetemeko ya ardhi, na moto yameendelea kuhatarisha maisha ya watu duniani kote. Katika nyakati kama hizi, uwepo wa teknolojia za kisasa unaweza kuwa tofauti kati ya kuokoa maisha na kupoteza maisha.
Hata hivyo, hali inasikitisha kuona baadhi ya...
Habari zenu.
Naona kuna kitu kinaitwa Project Management Professional certification ambapo ukifuatilia wanasema kinatolea na chuo cha project cha P,I kilichopo marekani lakini ukipata cheti chake kinatambulika dunia nzima. Je ni kweli? Kinamanufaa gani kwenye ajira hasa za serikali? inataka...
Jina la Biashara: Umuhimu, Namna ya Kulisajili na Faida Zake:D:D
1. Utangulizi kuhusu Jina la Biashara
Jina la biashara ni utambulisho rasmi wa biashara au kampuni inayotambulika kisheria. Jina hili linaweza kuwa jina la biashara yako moja kwa moja au jina linaloonyesha aina ya huduma au bidhaa...
Hello!
Ofisi yetu ya umma ina mabinti zaidi ya 20, iko Dar es salaam.
Kati ya hao mabinti zaidi ya 20 mabinti zaidi ya 10 kila mtumishi anajua kuwa bosi kawapitia. Hapo hatujahesabu wengine ambao aliweza kutembea nao kwa siri zaidi.
Kati ya hawa mabinti wapo wake za watu na wachumba wa watu ...
Kwa upande wangu natamani sana kuona wanafunzi hasa kwanzia kidato cha kwanza mpaka cha sita wanapewa elimu ya kutosha ya kujitegemea.
Kwamfano nchi yetu kuna washauri na watu waliobobea kwenye masuala ya teknolojia ya mtandaoni, pia watengeneza maudhui
Ndugu zangu Kama mnavoona heading. Hivi kuna umuhim gani wa kupigwa muhuri wa mwanasheria kwenye vyeti vya elimu.
Ikiwa hivo vyeti vinatoka serikalini je Mwansheria yeye anathibitisha vipi kwamba hivyo vyeti ni fake au oghiyo imetokea kwa rafiki yangu ambae aliomba kazi shirika La reli TRC...
Katika ulimwengu wa sasa, ambapo tunakutana na watu wengi na kushiriki mazingira mbalimbali, tabia ya kusalimiana kwa kushikana mikono imekuwa sehemu ya mazoea yetu ya kila siku. Ingawa kushikana mikono ni ishara ya heshima na urafiki, kuna umuhimu mkubwa wa kuangalia jinsi tabia hii inaweza...
Habari wanajukwaa!
Nimefurahi kwamba wote muwazima, kwa wale wagonjwa nawaombea kwa Mwenyezi Mungu, kwa wale wasio na dini mpone haraka.
Sitakuwa na mambo mengi ya kuandika, jambo ni moja tu! Kwenye haya maisha tupambane kila siku, ila tusisahau ku-relax na ku-flex kistaarabu baada ya...
Habari wana JF
Wakati swala la kusajili kadi za simu kwa kitambulisho cha nida na alama za vidole unaingia nchini tulipewa umuhimu mbalimbali wa jambo ilo ikiwemo swala la usalama na kudhibiti utapeli kwa njia ya mtandao.
Nimeleta hoja hii kwani ni miaka sasa tangu swala la kujisajili kwa...
Ukweli mchungu kwa mazingira ya Tanzania elimu haina maana yeyote.
Watu waliosoma vizuri uko nyuma asilimia kubwa wapo nje ya nchi wanafanyakazi na kulipwa vizuri
Waliobaki Tanzania wengi ndo wameshikilia serikali elimu yao na vyeti vyao ni tiamatiamaji!!
Mtu alipata four ya 28 akasoma...
Katika utumishi wa Mungu, mahubiri pekee hayawezi kuwatosheleza waumini kupata uimarishaji wa kiroho. Ingawa mahubiri ni muhimu, watu wanahitaji zaidi ya neno linalotolewa madhabahuni. Wanahitaji muda wa kibinafsi na viongozi wao wa kiroho ili kupata msaada wa kiroho na kiushauri, kuelewa...
Mwani(Seamoss) ni miongoni mwa mimea inayopatikana baharini, ikichukua sehemu ya ikolojia ya bahari kwa kulea na kulisha viumbe wengine baharini.
Hivi karibuni kilimo cha mwani kimeongezeka sana katika ukanda wa pwani ya Afrika Mashariki hususa visiwa vya Zanzibar na Mafia.
Kama ndio mara ya...
Wana JF hali gani huko katika pilika za hapa na pale.
Kwa hali ilivo sasa ukiachilia mbali wazazi kusema mmesomesha mmelea na mmekuza hii hoja ya ya kutoa mahari inaanza kukosa mashiko.
Msingi wa kutoa mahari miaka ya zamani ulikua ni up?
Na je, miaka ya Sasa msingi ni upi?
NB: Angalieni na...
Je una utamaduni wa kuandika ndoto unazoziota?
Ndoto ni lango la taarifa, maarifa NK. Taarifa na maarifa hayo huweza kuwa mazuri/ mema au mabaya/ maovu.
Fikiria unaota kila mara uko makaburini, hushtuki, wala hufuatilii mwenendo mzima wa maisha yako kuanzia umeanza kuota ndoto hiyo.
Mwingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.