umuhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    SoC01 Tukio lililobadili maisha yangu na umuhimu wa kupewa nafasi ya pili katika maisha

    Wakati nimefika AYA Sec 2007 Kondoa kuanza form 1 (boarding), niliibiwa suruali 3, mashuka 2, viatu, nk. Ilikuwa ndio 'Welcome Party' pale kila mwaka. Kuhamishiana vitu ilikuwa ni kawaida sana bwenini kwetu. Nilipofika Form 2 nikaanza kujifunza hizo mishe na mimi. Nakumbuka nilijifunza...
  2. Determinantor

    CCM waanza kukumbuka umuhimu wa Wapinzani

    Kada Maarufu wa CCM amesema laiti Wapinzani wangekuepo bungeni, yaani hata Wapinzani 10 tu, CCM wasingepitisha tozo za ajabu hivi. Ng'ombe haoni faida ya mkia wake hadi siku ukikatika. "Leo kungekuwa na wabunge wa upinzani pale bungeni hata 10 tu hizi tozo za kitapeli zisingekuwepo,hakuna...
  3. J

    SoC01 Umuhimu wa mazoezi na faida zake kwa watoto wenye changamoto ya ulemavu wa akili

    Ulemavu wa akili: Ni ile hali ya mtu kushindwa kutumia viungo vyake sawasawa na kushindwa kutumia akili yake sawasawa kutokana na athari ya ubongo wake.Sababu za ulemavu zinaweza kutokea katika nyakati kuu tatu ambazo ni. (a)Kabla ya Kuzaliwa. (b) Wakati wa kuzaliwa. (c) Baada ya kuzaliwa. (A)...
  4. Trayvess Daniel

    Umuhimu wa kususia bidhaa/huduma kushinikiza Serikali ifate matakwa ya wananchi

    Wasalaam wanaJF, Nikienda moja kwa moja kwenye mada, serikali iliyopo madarakani imekuwa na kawaida ya kudharau sana wananchi na kufanya wanachotaka. 1. Kodi zisizo na ulazima tena kwa vitisho na kejeli. 2. Matumizi mabaya ya vyombo vya dola. Hii sio kwa wapinzani tu, kuna raia wa kawaida...
  5. B

    Kiwanda cha kuzalisha barakoa milioni 86 kwa siku? Hizi 'exaggerations' zitatuua

    Taifa la watu milioni 60 ambalo wengi Ni watoto na hakuna dawa mahospitalini linawaza kuzalisha barakoa milioni 86 kwa siku ndani ya kiwanda kimoja, tunaelewana? Kwanza napinga uzalishaji wa barakoa milion 86 haupo, lakini cha pili najiuliza lini hiki kiwanda kimejengwa maana tuna miezi mitatu...
  6. G

    SoC01 Taka kama fursa kiuchumi, utunzaji mazingira na umuhimu wake

    UTANGULIZI. Mazingira ni nyenzo muhimu sana katika Maisha ya Mwanadam hasa ikichukuliwa kwamba kila kiumbe chenye uhai hutegemea Mazingira (asili) ikiwemo udongo, maji na hewa. Hii yote hudhihirishwa hata katika masimulizi ya uumbaji ndani ya vitabu vyote vya Dini. Kabla ya Maisha ya Mwanadamu...
  7. Quetzal

    Naomba kufahamu kazi ya Shanga na Cheni za kiunoni

    Je, hizi shanga na chain za kiunoni kazi Yake Nini hasa..au Ni urembo TU.. Je, zikivaliwa huwa zinahamasisha Jinsia me?..
  8. Frank Akile

    SoC01 Fahamu umuhimu wa kuwa na ujuzi wa kidijitali

    FAHAMU UMUHIMU WA KUWA NA UJUZI WA KIDIJITALI. Hatimaye tumeingia katika dunia yenye machaguo mawili pekee ambayo ni 'Nenda dijitali au rudi nyumbani'. Machaguo haya yana maana ya kwamba, dunia ya sasa inaendeshwa kama sio kujiendesha yenyewe katika mifumo ya kikompyuta na au kiintaneti. Dunia...
  9. Environmental Security

    Ifahamu OSINT - Open Source Intelligence na umuhimu wake kwa sekta binafsi Tanzania

    Kila siku zaidi ya tweets milioni 500 zinaandikwa na watu mtandaoni duniani ambazo ni sawa na tweet bilioni 200 kwa mwaka duniani. Ongeza na picha zinazokadiriwa kufika milioni 350 ambazo huwekwa facebook na watumiaji, jumlisha na zaidi ya masaa 720,000 ya maudhui ya video mpya zinazowekwa...
  10. Jackbauer

    Upo umuhimu wa kufanya toxicological analysis ya vifo vya covid 19

    Tukitazama mwenendo wa mlipuko wa covid 19 duniani na Tanzania kuna umuhimu wa kufanya toxicological na electronical analysis kwa wote wanaopatwa na ugonjwa au mauti yatokanayo na covid 19.
  11. Abrianna

    SoC01 Umuhimu wa kuwa na Dira ya Maendeleo ya Taifa inayotekelezeka kwa wakati na kwa kuzingatia rasilimali zilizopo

    Utangulizi Dira kwa maana fupi ni muelekeo. Dira ya Maendeleo ya Tanzania (Tanzania Development Vision (TDV) 2025 ilianzishwa mwaka 1994 na kuzinduliwa rasmi mwaka 1999 ambapo utekelezaji wake ulianza mwaka 2000 lengo kuu likiwa kuongoza harakati za maendeleo ya uchumi na jamii zitakazoiwezesha...
  12. M

    Umuhimu wa kuheshimu watu wengine

    HEBU ANGALIA UMUHIMU WA KUHESHIMU WATU WENGINE KWENYE DUNIA HII i. Kuzaliwa kwako kumefanywa na watu wengine. ii. Jina lako umepewa na watu wengine. iii. Umepata elimu kutoka kwa watu wengine. iv. Kipato chako kwa namna fulani kinatoka kwa watu wengine. v. Hata Heshima uliyonayo unapewa na...
  13. Samia atosha tukutane2030

    Kama viongozi wenyewe ndio hawa wenye mamlaka ya kuzuia au kuruhusu jambo ambo katiba imeruhusu hamna umuhimu wa katiba mpya

    Habari! Hii mada haina uhusiano na uchochezi. Watanzania ni vyema tukapigania utawala wa haki na misingi ya katiba tuliyonayo kabla hatujaisaka katiba mpya. Kama tuna viongozi ambao kwa mamlaka yao wanaweza kuigalagaza katiba hadharani itasaidia vipi katiba mpya? Katiba inaruhusu mikutano ya...
  14. Camilo_Cienfuegos

    SoC01 Umuhimu wa kila Mtanzania kuyaelewa masuala ya kodi

    Katika hali ya kawaida, kila mtu mwenye kipato lazima kwa njia moja au nyingine ajikute analipa kodi. Kodi inaweza kulipwa kupitia manunuzi/matumizi, mshahara, biashara, au uwekezaji.Kwa utangulizi huo ni wazi kwamba karibia kila mtu lazima anaswe na mtego wa kodi. Ni kwa sababu hiyo naona...
  15. dom1

    SoC01 Afya ya Akili: Mambo 12 ya kuyafahamu

    Maana ya afya ya akili kisaikolojia: Afya ya akili ni ustawi wa fikra, tabia na hisia katika kukabiliana na changamoto mbalimbali za maisha ya kila siku katika maisha ya mwanadamu.Wakati mwingine watu hutumia neno ''afya ya akili'' kumaanisha kutokuwepo kwa shida ya akili ( retrieved on...
  16. N

    SoC01 Mapambano dhidi ya COVID-19: Tuwekeze zaidi katika Elimu ya kuzuia Maambukizi

    Afya ya msingi ni kuhakikisha kunakuwepo na mikakati endelevu wa kuhakikisha huduma za afya hususa ni kuzuia maambukizi mapya (Prevention) Afya ya msingi inayoanzia katika jamii ni muhimu sana na hasa ndio msingi ambao unawagusa wananchi moja kwa moja hususa ni walioko maeneo ya vijijini na...
  17. M

    SoC01 Umuhimu wa utawala bora katika nchi za Afrika

    Niende moja kwa Moja kuelezea utawala Bora Ni Ni kitu gani. Utawala Bora Ni ile Hali ya serikali,shirika au taasisi kuongoza Kwa kufuata misingi ya Haki,uwazi na uwajibikaji . Katika nchi nyingi za jangwa la Sahara,utawala Bora imekuwa Ni kitu adimu Sana kwani nchi takribani zote zinaongoza...
  18. N

    Tambua ufanisi na umuhimu mkubwa wa job Junction Tanzania

    UKWELI KUHUSIANA NA JOB JUNCTION: Job Junction imekuwa msaada mkubwa kwa vijana na imesaidia vijana wengi kupata uelewa wa interviewees skills na hatimaye kufanya vizuri interviewees . Job Junction hawatoi Ajira kama watu wengine wanavyo fikiri bali wanafundisha watu namna ya kufanya vizuri...
  19. Kichuguu

    Kodi ya Miamala na Umuhimu wa Uraia Pacha

    Kama serikali imeona umuhimu wa kuwalipisha kodi watanzania wanaoishi nje lakini hutuma pesa nyumbani kwa kwa ndogu zao, basi wakati umefika kwa serikali hiyo kutambua kuwa watanzania hao si adui hata kama wamshachukua uraia wa huko wanakosihi. serikali hii itumie busara hiyo kuwatambuakuwa ni...
  20. Chaliifrancisco

    Umuhimu wa Wabunge wa Upinzani Bungeni

    Ifikie mahali Watanzania wote tukubaliane kuwa hata kama chama tawala hampendi upinzani lakini kuna umuhimu wa wabunge wao kuwepo bungeni. Fikiri kuhusu hizi tozo zinazoumiza ambazo zimeongezwa katika bei za mafuta, voucher na katika huduma za pesa kwa njia ya simu. Tukubali kabisa kuwa...
Back
Top Bottom