Francis fares Maro

JF-Expert Member
Jun 20, 2021
1,091
2,000
Tokea nimezaliwa na sio Mimi tu, watanzania wengi kama sio wote tumekua tunapata chanjo kutoka Kwa wahisani (mabeberu)..kila chanjo lazima iwe na side effects Kwa baadhi ya watu lakini sio wote.

hanjo hizi zina umuhimu mkubwa sana kwenye maisha yetu ya kila siku!!..tuache propoganda mbaya za kuumiza wenzetu kwasababu ya umaarufu ambao hautakusaidia Kwa vyote vyote vile.

kuna binadamu ambae ata ishi milele, Ndugu watanzania tuwaogope wanasiasa na wachungaji hewa ambao wanaangalia maslahi yao badala ya maisha yetu na vizazi vijavyo!!.. Watanzania wakati huu ndio wakuangalia pumba na mashudu,hivi unajiuliza hawa JPM aliwaamini vipi Hadi kuwapa ubunge Kwa Nguvu.

kulikua na shida sehemu hivi kama nchi serikali inakuaje kiamya Kwa watu wanaopotosha Umma namna hii!!??..Kama Bunge letu tukufu limetoa Adhabu hii nilitegemea na vyombo vengine vichukue mkondo wake Kwa watu namna hii

Leo namuunga mkono Spika Ndugai na Bunge lako hawa watu wanatakiwa washughulikiwe hawawezi kusema uongo namna hii!!..Wanakashfu Bunge na Serikali,Yani wanadharau Hadi Mwenyekiti wetu hata Amiri jeshi mkuu

Hii nchi imefika hatua hii kweli!!..Hata kama ndio Uhuru wa kujieleza ndio umefikia huku!!..Hawa wapewe Adhabu zaidi ili kesho iwe fundisho naomba jeshi la police na vyombo vengine vya usalama vichukue nafasi yake sasa!!!
 
Teleskopu

JF-Expert Member
May 5, 2017
681
1,000

Kuminya uhuru wa mawazo si maisha. Acha watu wa pande zote mbili watoe maoni kisha ufanye uamuzi. Huwezi kuwa na mtazamo mmoja tu wa jambo lenye utata kama hili ambalo limepitishwa harakaharaka na lina maswali mengi kuliko majibu halafu ukatumia udikteta. Unaongeleaje madaktari wakubwa kama akina Dr Yeadon ambaye amefanya kazi kwenye idara ya chanjo kwa miaka 30, tena ameshakuwa CEO wa pfizer, ambaye anasema chanjo hizi ni hatari, hazifai na yamkini zinatumika kupunguza watu duniani. Dr. Yeadon anamsihi kila mtu mtu anayependa maisha yake ajiepushe na chanjo hizi. Unasemaje kumhusu? Je, yeye anaongea ili kupungana na serikali ya Tanzania?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom