Tena umri huo ni wa kurelax tu na kuondoa stress ,kufanya mazoezi ,kutalii nchi mbali mbali ,utalii wa ndani.
Mama huyo kwenye video anasema kuwa hakuna umri ambao hawaruhusiwi kufanya starehe, au kwa wanawake kujiremba nk.
Kwani watu wanarombana nje mpaka uweze kujua katika umri flani hautakiwi kUmBaT0? Yeye anazungumzia hizi starehe za nje labda kwenda club ,kwenda kucheza bakurutu/sebene ,kwenda amusement parks ,kwenda beach kurelax ,picnic ,kwenda kurefresh mind dubai ,safaris etcMbona hataji starehe kuu anaogopa nini kusema kurombana