Harakati za kufikisha umri wa miaka 100

Harakati za kufikisha umri wa miaka 100

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
40,126
Reaction score
62,117
Kuishi miaka mingi ni utajiri tosha kwa mwanadamu, kuliko yule aliyekuwa na utajiri mkubwa na kabla ya kufikisha miaka 70 akakata moto.

Wapo wanaosema, ili kufikisha miaka mingi inakulazimu kila unapopiga hatua fulani za kimaisha, jitahidi kuishi maisha ya kipato cha chini, kuanzia ulaji, mazoezi, kujichanganya na jamii n.k ili kulinda afya ya mwili wako.

Kuliko kwenye friji kujaza nyama na vyakula vya makopo, ni bora uweke matembele, mgagani, mchicha n.k

Mwili ukishaanza kuwa mzito, mashavu kujaa, kitambi kuongezeka, miguu kujaa, makalio au mapaja kunenepa, mwanaume kuishi kama mwanamke n.k ni ishara za awali za kutokufikisha miaka 100.

Ni muhimu kubadili mwenendo wa maisha, ili kuishi miaka mingi.​
 
Mkuu nenda Japan na Nchi nyingi za Wazungu vyakula vyao vingi ni procced na viko kwenye fridge na mafrizer na wao ndo waongoza kwa Takwimu za kuishi muda mrefu.
 
Tule vyakula vya mizizi mbali mbali, ukila nyama ule na mchunga,chakula chako kiwe ugali kiduchu,nyama 3,mboga za majani 2/3..../ Aidha kila wiki jitahidi upate kiloriti,hii itakusaidia kama mpenda kula,itakuwa inasafisha mafuta kwenye mishipa ya damu,na kukuzuia na magonjwa,Ili ufike 100 kumbuka kujitunza kupo pia.
 
Mkuu nenda Japan na Nchi nyingi za Wazungu vyakula vyao vingi ni procced na viko kwenye fridge na mafrizer na wao ndo waongoza kwa Takwimu za kuishi muda mrefu.
Ni kweli mkuu,hata kuku zao ni haya mabroiler tunayojifanya tunayakwepa kwepa!...
Kwa mtazamo wangu ili uishi sana ni lazima ujue jinsi ya kupambana na misongo ya kimaisha/ usikubali kujiumiza akili kwa lile lisilowezekana,ikitokea stress take it easy tu,and bullshits!,yaani usibebe mzigo akilini,(najua ni ngumu sana kama binadamu kwa maisha haya lakini pigana nalo hili)
 
Kuishi miaka mingi ni utajiri tosha kwa mwanadamu, kuliko yule aliyekuwa na utajiri mkubwa na kabla ya kufikisha miaka 70 akakata moto.

Wapo wanaosema, ili kufikisha miaka mingi inakulazimu kila unapopiga hatua fulani za kimaisha, jitahidi kuishi maisha ya kipato cha chini, kuanzia ulaji, mazoezi, kujichanganya na jamii n.k ili kulinda afya ya mwili wako.

Kuliko kwenye friji kujaza nyama na vyakula vya makopo, ni bora uweke matembele, mgagani, mchicha n.k

Mwili ukishaanza kuwa mzito, mashavu kujaa, kitambi kuongezeka, miguu kujaa, makalio au mapaja kunenepa, mwanaume kuishi kama mwanamke n.k ni ishara za awali za kutokufikisha miaka 100.

Ni muhimu kubadili mwenendo wa maisha, ili kuishi miaka mingi.​
“Ningeweza kuishi milele ningebakia mstari wa mbele ,omba pepo siyo unakesha kuomba uzima wa milele ,duniani nimeona mambo mengi lakini jicho halijafika kilele ,siwaahidi kuishi miaka 100 kama alivyoahidi hayati Nyerere” – Kalapina Nabii Koko
 
Back
Top Bottom