Makosa ya Umri wa Miaka 20

Makosa ya Umri wa Miaka 20

Kuhonga totozi , nikiwa na miaka 21 nilipiga pesa sana, na mwana ambae ndio alinifahamisha jf na humu yupo , kitu sitakaa nisahau nilihonga sana na kukodi magari , kufanya tambo laiti ningekua na akili za sasa hapa nilipo ningekua mbali zaidi
 
Gilafu clabu and hotel pale nimetupa kama nyumba mbili maana sio kwa zile chupi mixer kigoma cha ulugwai.....
1785741967214.jpg
 
Back
Top Bottom