Umma (Sumerian: 𒄑𒆵𒆠ummaKI; modern Umm al-Aqarib, Dhi Qar Province in Iraq, formerly also called Gishban) was an ancient city in Sumer. There is some scholarly debate about the Sumerian and Akkadian names for this site. Traditionally, Umma was identified with Tell Jokha. More recently it has been suggested that it was located at Umm al-Aqarib, less than 7 km to its northwest or was even the name of both cities.
Hivi jamani vazi la taifa hua linatafutwa au linakuepo tu?
Mimi naamini watanzania kama taifa hatuna vazi ila tuna mavazi ya jadi kwa makabila mbalimbali ya nchi yetu. Mavazi ambayo wala hatuyavai tena isipokua kwa makabila machache kama wamasai. Wao hadi leo wameweza kudumisha uvaaji wa vazi...
Wameongezewa mshahara ambao wanadai ni kidogo ila jinsi wanavyoleta taharuki utadhani kuna crisis kubwa kama vile Tanzania imepigwa bomu la nyuklia
Hivi Hawa watu hawajui kuna watu wasomi zaidi yao wapo mtaani miaka zaidi ya 10 hawana ajira na wanatamani hata walipwe nusu ya huo mshahara...
Hivi haya mashirika ya umma huwa yanawapataje watumishi wake, au huko kwenye hayo mashirika huwa hakuna watu wanaostaafu au kufa ili nafasi zibaki wazi?maana sijawahi kukutana na matangazo yao ya kazi kabisa
1. NSSF
2. NHIF
3. PSSSF
4. TCRA
5. WCF
6. MSD
7. TPDC
8. TIC
9. NGORONGORO CONSERVATION...
Kwakuwa Serikali ya CCM inabebwa na public servants ila kwĂ niliyoyasikia jana CCM msije mkaiba kura, mama ni mwanamke wa kiislam msimchonganishe na MUNGU wake!
Rais wa Tucta ama shirikisho la vyama vya wafanyakazi amesema wamepokea malalamiko mengi kutoka kwa watumishi wa serikali kuhusu nyongeza za mishahara ya 23% waliokua wanaitegemea kama alivyoahidi rais kwenda kinyume na matarajio yao.
Rais wa TUCTA amesema wamepokea malalamiko na watatolea...
Mshahara ulopendkezwa na TUCTA ni 1, 010,000 kwa mwezi na huo watosha kukabiliana na gharama za maisha.
Kuna masuala kama mfumuko wa bei kwa bidhaa muhimu na pia gharama zingine za maisha kama malipo ya pango, matibabu hospitalini na malipo ya huduma zingine kama umeme na maji.
Lakini serikali...
Nafahamu tu:
(a). Nyongeza ya mishahara ilisimama mpaka tulipomaliza ujenzi wa barabara nchini - walitulia kimyaa;
(b). Kikokotoo kimepita - wao wametulia kimyaa;
(c). Nyongeza ya mishahara kwa Julai hii haikuonekana benki - tena wako kimya.
SASA JE HILI NI TABAKA LINALOJITAMBUA KWELI?
Kwanza tukubaliane Kiongozi wa nchi huwa anashauriwa na sio kuongozwa. Lkn kila nikitafakari sasa naona wapo wanaotaka kumuongoza kwa nyuma na kumtoa kwenye reli. Kila akipanga jambo Jema kabisa kama tiba na ya vidonda alivyoacha Magufuli watu humuongoza kutonesha vidonda na kumjenga achukiwe na...
Katika zama hizi za mapinduzi ya sayansi na teknolojia moja ya changamoto kubwa Katika nchi zinazoendelea haswa barani Afrika ni suala la ajira na maslahi kwa watumishi. Hili suala limekuwa ni kizungumkuti au kitendawili kisichokuwa na majibu.
Viongozi wengi suala hili la ajira kwa vijana...
Utumishi wa uwe mwisho miaka 10
Habari za majukumu wana jamii forum, andiko langu la leo ni juu ya ukomo wa utumishi wa umma, kwa mtazamo wangu ni bora zaidi ukomo wa kutumikia serikali upunguzwe hadi kifikia miaka 10, kwa maana ya kwamba serikali itengeneze utaratibu wa wahitimu wa vyuo...
Waswahili walisema usiku wa deni haukawii kucha. Zimebaki siku chache ili watumishi wa umma nchini waweze kupokea mshahara wao mpya wa mwaka wa fedha 2022-2023.
Kufuatia nyongeza ya 23.3% iliyotangazwa na Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Samia Suluhu Hassan siku ya Mei Mosi...
Kila nikimsikiliza rais Samia kuhusu mtazamo wake kushirikisha sekta binsfsi kutoa huduma kwa umma nakua na mashaka.
Sekta binafsi ni watafutaji wa faida. Dhana ya kusema serikali ishirikiane na sekta binafsi kutoa huduma kama afya elimu etc lazima itafsiriwe vyema isiweze kutumika vibaya...
Katika ulimwengu wetu wa leo matumizi ya Intanet yamekuwa ni miongoni mwa hitaji la msingi kwa kila mtu.
Katika mazingira mbalimbali tumejikuta tukiwa katika maeneo ya umma ambapo kuna wifi za bure na kwa namna fulani tumekuwa tukifurahia na kuunganisha vifaa vyetu kwa na mitandao hiyo. Maeneo...
Leo tarehe 12/7/2022 ni siku muhimu sana kwa wapenzi wa space exploration.
Furaha hii inachangiwa na NASA wakishirikiana na agencies wengine kuweza kutoa rasmi picha na tafiti za kwanza kabisa kutoka katika darubini đź” ya JWST.
Kabla ya kuendelea ningependa kushare na wewe msemo huu kuwa ili...
Kuna watumishi wa umma wenye ujuzi na uzoefu wa mambo mbalimbali, na wangependa wawe wajasiliamali wapewe likizo ya miaka mitatu wajiajiri na wakifanikiwa basi wapewe mikopo ya 100M ya kuendeleza biashara zao. Hawa watumishi wakifanikiwa watuajiri vijana wengi
Wananchi
Poleni Sana nimepata malalamiko yenu Kuwa taasisi za umma kama msikiti,makanisa,shule ya msingi Loya Bondeni,shule ya sekondari Loya na cha ajabu kabisa hata kituo cha polisi cha Loya eti hakuna umeme!
Nilipo jaribu kuwahoji wahusika wanaotokea kata Hiyo tatizo hasa ni nini...
Moja kwa moja
Kwa utafiti wangu mfupi usio rasmi niliofanya mimi binafsi kupitia stori na watu mbalimbali, vijiweni, mitandaoni nk. nimegundua mara watu wengi wakilalama kuwa wanapata wakati mgumu mara nyingi wakihudumiwa na watumishi wakike tofauti na wakiume kutokana na jinsi wanavyoreact...
EWURA imetangaza bei mpya za mafuta Tanzania kwa mwezi July. Ni bei kikomo na bei elekezi.. Maumivu ni kwamba mafuta yamepanda tena bei, kwa hiyo vilio zaidi vinakuja.
Hapa kuna kitu cha kushangaza mno kuhusu serikali yetu, na watu inaowaamini katika kutoa maamuzi...Hivi kuna haja gani ya kutoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.