umma

Umma (Sumerian: 𒄑𒆵𒆠 ummaKI; modern Umm al-Aqarib, Dhi Qar Province in Iraq, formerly also called Gishban) was an ancient city in Sumer. There is some scholarly debate about the Sumerian and Akkadian names for this site. Traditionally, Umma was identified with Tell Jokha. More recently it has been suggested that it was located at Umm al-Aqarib, less than 7 km to its northwest or was even the name of both cities.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Zungu anaachwa kuendelea kuupotosha umma?

    Amesikika Zungu akiongelea masuala ya Internet: Zungu hana ufahamu wowote wa kuhusu Internet zaidi ya kuwa yeye ni mtumiaji kama mtu mwingine tu. Cha kushangaza ni kuwa ameachwa kuendelea na upotoshaji wake tena kwa raha zake. Wataalam, TCRA, wasomi, vyuo nk wapo ila wote kimya! Utadhani...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama kiokoe Chuo cha Utumishi wa Umma

    Mheshimiwa waziri Mhagama , kwanza nikupongeze kwa jitihada zako za kuujenga na kuuendeleza utumishi wa umma Tanzania. Natambua wewe ni mwanamama shupavu ndio maana Rais wetu ameendelea kukuamini. Nikiwa kama mdau mkubwa wa utumishi wa umma naomba kuelekeza kwako kilio change cha kukuomba...
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tozo ni kufidia wizi wa mali za umma?

    Kila mwaka ripoti ya CAG anaonyesha wizi na ubadhilifu mkubwa wa fedha za wananchi unaoipunguzia serikali uwezo wake wa kuwahudumia wananchi wake kwenye elimu, afya, usafiri, nk kama anavyosema waziri wa fedha, Dr. Mwigulu. Badala ya kudhibiti wizi na ubadhilifu kwenye vyanzo vya mapato...
  4. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Sabaya bado ana ndoto za kuwa mtumishi wa Umma! Msimcheke, anasimamia anacho kiamini

    Majuzi niliona taarifa kuwa wenzake Sabaya waachiwa huru baada kukiri makosa na kuelewana na DPP kulipa Tsh 1,050,000/= na hivo kutolewa hatiani! Usishangae! Sio kama Sabaya hapendi kuwa huru, Sio kama Sabaya anashindwa kulipa kiasi hicho cha fedha! Ila nafasi yake katika utumishi wa Umma ndiyo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Serikali iache kutoa taarifa kwa umma usiku wa manane

    Siku hizi imegeuka tabia. Mimi nasema ni tabia isiyo na afya ya serikali kutoa taarifa kwa umma usiku wa manane. Hili ni jambo la kushangaza sana, najiuliza ni kitu gani kimeisibu serikali Kubehave kama genge la wachawi!. Sisi tunajua kuwa mida hiyo wananchi wengi wanakuwa wamelala na hata...
  6. J

    JamiiForums Tanzania CCM ina hazina kubwa sana ya vijana mahamu, Mtanzania Ndg. Benedict Faustine Kikove Mshauri wa Maswala ya Siasa na Mahusiano kwa Umma Ubalozi wa Japan

    Kidumu Chama Cha Mapinduzi Mimi; BENEDICT FAUSTINE KIKOVE Ninashukuru kwa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi chini ya Mwenyekiti wake, mama yetu mpendwa, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, kunipendekeza kwenu kati ya wana CCM wengi wanaofaa kuwania nafasi hii kwa hatua hii ya...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bashungwa: Bilioni 55.57 kujenga nyumba za walimu kwenye maeneo yasiyo fikika kirahisi

    Waziri wa TAMISEMI Mhe. Innocent Bashungwa ameelezea mafaniko ya Serikali ya awamu ya sita katika kwenye kada ya elumu ambapo amesema mwaka 2021/22 walimu wapya 24749 wameajiriwa huku malimbikizo ya mishahara pamoja na ulipaji wa pesa za pensheni kwa wastafu vikifanyika kwa wakati. Pamoja na...
  8. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Afya ya Umma ni muhimu kwa kuwa inakuza ustawi wa watu wote katika jamii

    Afya ya umma ni namna ya kulinda usalama na kuboresha afya ya wanajamii kupitia elimu, utungaji sera na utafiti wa kuzuia magonjwa na majeraha Afya ya Umma ni muhimu kwa kuwa inakuza ustawi wa watu wote katika jamii huku ikihakikisha usalama wa wanajamii na kuwalinda dhidi ya kuenea kwa...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kama unatafuta Ajira kwa kusambaza CV Ofisi za Umma na hujui nafasi ya Mlinzi hupati kazi ndugu yangu

    Habari! Katika kuhudumia watu (wateja) kama mlinzi ndani ya miaka 6 napenda kuteta na vijana mnaosaka ajira. Ratio ya ajira na wasomi sasa imekuwa tofauti sana. Sasa kinachomata ni connection na akili. Kuna ofisi watu wana hela mpaka huna wa kumuhonga. Imagine mpaka Mimi mlinzi unanikuta...
  10. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Songwe: Mtendaji afungwa jela miaka 8 kwa ubadhirifu wa fedha za umma

    Noah Ruben Mwanjali, aliyekuwa mkusanya mapato, amehukumiwa kwenda jela miaka 8 au faini ya milioni 4 kwa kukutwa na hatia ya matumizi mabaya ya madaraka, ufujaji na ubadhirifu wa fedha za umma, Tsh. milioni 26. Hukumu hiyo ya Shauri la Uhujumu Uchumi Na. 06/2021 imetolewa Agosti 30, chini ya...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Maonesho ya biashara ya huduma mwaka 2022 yafunguliwa kwa umma mjini Beijing China

    Maonesho ya biashara ya huduma mwaka 2022 yafunguliwa kwa umma mjini Beijing China
  12. M

    JamiiForums Tanzania Usaili wa ajira za utumishi wa umma ni bora uendelee kufanyika Dodoma. Mambo ya kikanda sijui kufanyika taasisi husika haijakaa sawa

    Habari wana bodi! Mimi nikiwa mmoja ya vijana mtafuta ajira, mnaweza kuwa mashahidi wa ajira za utumishi zikifanyikia Dodoma zinakuwa fair sana kuliko zikifanyikia kwenye taasisi husika. Mfano ajira za vyuo vingi, zimefanyikia kwenye taasisi husika. Watu wengi nimesikia wakilalamika ya kuwa...
  13. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Afisa Mtendaji ashtakiwa kwa ubadhirifu wa fedha za Umma

    TAKUKURU Mkoa wa Kigoma imefungua shauri la Uhujumu Uchumi Na. ECC. 22/2022 katika Mahakama ya Wilaya ya Kibondo, Agosti 29, 2022 dhidi ya aliyekuwa Afisa Mtendaji wa Kata ya Nyaruboya, Boniface Balishimura Kibada. Bw. Kibada anatuhumiwa kwa makosa ya Ufujaji na Ubadhirifu wa Fedha za Umma...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua mashirika ya umma yanayo tumia PF Number

    Naomba kujua mashirika ya umma yanayo tumia (PF) number na taratibu za uhamisho kutoka shirika moja kwenda jingine.
  15. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Ni vizuri Majina ya wajumbe wa Kamati ya Bajeti iliyolifikisha taifa letu kwenye Maumivu ya tozo yafahimike na UMMA

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti ndio imelifikisha taifa hapa lililopo sasa kwenye mkwamo na mgogoro mkubwa wa kuichumi kwa kubariki msururu mkubwa wa tozo kwa wananchi masikini. Bahati mbaya sana Kamati hii imejificha na lawama zote zinaelekezwa kwa Rais wetu Samia Suluhu Hassan badala ya...
  16. kyagata

    JamiiForums Tanzania Ushauri uliotolewa na Mwigulu kuwa wakurugenzi wa mashirika ya umma waombe kazi ajira portal, umeanza kufanyiwa kazi.

    Sasa hivi ni mwendo wa ajira portal. Hakuna cha kusubiri uteuzi kama ilivyokua https://www.jamiiforums.com/threads/waziri-nchemba-napendekeza-wakuu-wa-mashirika-ya-umma-wafanyiwe-usaili-kwa-ushindani-badala-ya-teuzi-kama-awali.1992080/
  17. Jerlamarel

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha ameudanganya umma, si kweli kwamba hawezi kutengua tozo

    Jamani eeh, hivi hawa viongozi siku hizi wanatuonaje wananchi? Wanadhani kwamba tuko mambumbumbu kiasi hiko? Iko hivi, siku zote muswada wa sheria hutungiwa nje ya bunge, kisha Bunge hutunga SHERIA MAMA, na baada ya hapo zinatungwa KANUNI na wizara husika. Hivyo kwenye suala la tozo, Bunge...
  18. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kuna mapito ambayo yaliipoteza nguvu Chadema na kuifarakanisha na Umma usio wa Kihayawani

    Huwezi amini.lakini ndo ukweli kuwa kuna wakati Chadema walikuwa wanamwona Nape Nnauye ni Shujaa wao. Ni jasiri wao. Huwa naumia sana ninapokumbuka kipindi hicho. Nilikuwa nawaza yaani Chadema kweli walikengeuka kiasi kikubwa namna hiyo? Nikawa nawakumbusha kuwa Nape hajawahi kuwa shujaa. Nape...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Watendaji sekta ya umma na binafsi watakiwa kushirikiana kuijenga Tanzania ya kidijiti

    Watendaji wa taasisi za umma na binafsi ambao wanatekeleza ajenda ya kuipeleka nchi katika uchumi wa kidijiti, wametakiwa kushirikiana na kutekeleza jukumu hilo kwa weledi na ubora wa viwango vya kimataifa. Akizungumza katika Jukwaa la Nne la Ubunifu na Teknolojia lililofanyika jijini Dar es...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Agosti 30 kila mtu kwa Imani yake na mahala alipo tumlilie Mungu dhidi ya TOZO

    Watanzania tuna silka yetu ama ukipenda tabia yetu iliyozoeleka ya kutokupigana hasa tunapokuwa kwenye mtanziko ama mkwamo wa Jambo lolote lile. Huu siyo uzumbukuku, uzoba ama uzwazwa kama wengi wasemavyo bali ni karama toka kwa mola waliopewa watu wa taifa hili. Nchi hii ni Kisiwa cha baraka...
Back
Top Bottom