umewahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Umewahi kukuta watu wanakula chakula gani ukakishangaa?

    Tembea ujionee, kwenye jamii kuna vyakula vya aina tofauti tofauti, kuna vingine vya unaona kabisa ni vya ajabu ila jamii husika inakula na kuvifuhia kabisa. Nimewahi kwenda kijiji fulani nikakuta wanakula majani fulani ambayo kwetu tunayatumia kama maua ila kwao ni mboga pendwa kabisa. Pia...
  2. Umewahi muona paka wa aina hii? Anaitwaje kwa Kiswahili?

    Huyu paka anapatikana sana Africa, ikiwemo Tanzania. Kwa kiingereza anaitwa serval cat. Umewahi muona? Anaitwaje kwa kiswahili?
  3. Umewahi tokewa na kitu gani kisicho cha kawaida mpaka ukamshukuru Mungu?

    Mwaka 2013 nilipofika dar nilifikia maeneo ya magomeni mapipa kwa ajili ya kufanya kazi za ndani, basi bhana ratiba za kazi ilikuwa kama hivi; Nikiamka saa 12 nichote maji nioshe vyombo, nifua ninywe chai, nibebe maji ya kandoro nikauze tripu ya kwanza maji 50, ya pili na yatatu, mpaka saa 11...
  4. Uzi maalum wa kuwatambua watu wenye ulemavu wa viungo waliofanikiwa ili kuwatia moyo wengine wasikate tamaa

    Hii inaweza kuwa motivational post pia ya kuonesha kwamba ulemavu sio kushindwa kabisa. Kwa upande wa albino nimewaacha maana kwao wana nafuu, bado wanaweza kusikia, kuongea, kuona, kufikiri, kutembea, n.k. hapa kuna kina Manara, Keisha, Abdallah Posi, Albino flani (R.I.P), n.k. Ila sasa kuna...
  5. Umewahi kumfanyia dharau gani boss au mwajiri wako?

    Mimi nakumbuka nikiwa nafanya kazi za u house boy, kuna siku mke wa bosi wangu alikuwa anatoka kwenda sehemu sijui kusuka ila akiwa getini anatoka mimi nilikuwa naangalia movie pale sebuleni akaniita, kaka naomba uniletee viatu vyangu huko baraza ya nyuma ya nyumba maana ilikuwa msimu wa mvua...
  6. Umewahi kujiuliza hela zikibadilishwa, za zamani hupelekwa wapi?

    Kwa anayefahamu atuelekeze Hapo ukifikiria sana utagundua kwamba pesa ni makaratasi maana hizo pesa haziwezi tena kuja kutumika.
  7. Je, umewahi kuachana na mtu uliewahi kumpenda? Ilikuwaje?

    Kati ya vitu vigumu ambavyo vimekuwa vinawasumbua vijana wengi sikuhizi ni pale anapokuwa ana mapenzi na mtu ambaye kiukwel yeye anampenda kutokana na mazingira labda waliokutana au vitu walivyofanya pamoja lakni mwenzake anakuwa hampendi kabsa na kuna vitu baaadhi anakuwa anafanya ili tu...
  8. Umewahi kutumia Mtandao Kujitibu?

    Matumizi ya Mtandao yamesaidia Kwa kiasi kikubwa kurahisisha Maisha ya binadamu. Kutokana na uwepo wa taarifa nyingi za afya zinazopatikana Mtandaoni, baadhi ya watu huzitumia katika kujitibu magonjwa pasipo Kwenda hospitalini. Wataalam wa Afya wanaonya kuwa tabia hii inaweza kuleta athari...
  9. M

    Kama umewahi kutafuta maisha au kufanya biashara mpaka wa Kasumbalesa njoo tukumbushane visa vya huko

    Mara ya kwanza ilikuwa ni likizo yangu December 2018, nikiwa na mwenyeji wangu ( mzambia) baada ya kupeleka mchele na kumaliza kuuza, mwenyeji wangu alinishauri tusogee Rukwa, tununue dagaa then tuwapeleke Kasumbalesa kwa kipindi hicho akadai wanalipa na yeye anawafahamu dagaa ila shida lugha...
  10. Umewahi kuchezea block toka kwa mpenzi wako? (Ushuhuda)

    Waungwana shida ziko palepale! Twendeni kwenye mada Nafikiri sote humu tushakuwa kwenye mahusiano kwa muda fulani, na kila mahusiano yana vimbwanga vyake, asikwambie mtu kila mahusiano yana changamoto zake. Sasa hapa tunajadili kama uliwahi kuchezea blocki toka kwa mpenzi wako iwe ktk Harakati...
  11. Umewahi kushuhudia msela kabwela, kajamba nani, maisha Uswahilini ana date na mtoto mkali wa ushuani ?

    Kiuhalisia haya mahusiano yapo tukiweka kando Bongo movie, bongo flava na ndumba ? Tuweke kando madenti wa sekondari hawa kuwapata ni rahisi lakini kwa sheria za sasa ukiingia kichwa kichwa unapigwa mvua ya kutosha. uliwahi kushuhudia ama wewe kuwa mhusika, mtoto mkali wa ushuani kadata na...
  12. Umewahi kubadili dini na badae ukarudi dini yako ya awali? Ilikuwaje?

    Wakuu Habari za Jumapili? Binafsi sijawahi kubadili dini yangu ya awali, ila ninae kaka yangu yeye aliwahi kuhama kutoka KKKT, Full gospel, EAGT na saizi yupo kanisa lingine. Je, humu ndani tunao watu wenye kuhama hama ivo, Nini hasa sababu ya kufanya hivyo. Tunaomba mlete uzoefu.
  13. Je, umewahi kufanya jambo gani la hovyo mpaka ukajutia?

    Karibuni wakuu, tushirikishane juu ya jambo lolote la hovyo ,ambalo umewahi kulifanya maishani mwako ,hasa kipindi Cha ujana/ utoto na badae ulijutia. Nianze Mimi,; wakati nipo darasa la 2 nikiwahi kufungulia radio ya mzee , nikaweka Kanda ya lackdube nikasililiza mwanzo mwisho. Lakini bahati...
  14. Je, katika ujana wako umewahi kuingia na Demu chumbani, ghafla mashine ikagoma kusimama. Ulifanyaje? Maada hii ni kwa wanaume tu

    Morning wakuu! Kumekuwa na stori nyingi za vijana wakati tukisoma secondari na vyuo ,anamtokea Binti mkali na anamfatilia kwa muda mrefu hata miezi 2 na zaidi lakini ikitokea siku bint amekubali kuja kuliwa, amefika gheto/ room ghafla Hofu na Ile mstuko unafanya jogoo likatae kupanda mtungi. Je...
  15. Je, umewahi kupata alama A zote kwenye mtihani wowote shuleni? Ilikuwa shule gani na ulijisikiaje baada ya matokeo hayo?

    Wakuu kwema! Mimi niliwahi kupata alama A zote katika mtihani mara kadhaa nikiwa O level huko Kwiro Sec Moro, na pia nilipokuwa Mkwawa high school niliwahi pata A zote mara kadhaa katika mitihani. Kiukweli nilikuwa najisikia vizuri sana na ilinipa ham ya kusoma zaidi. Je, humu jf tupo watu...
  16. Umewahi shuhudia au kusikia mtu kafa kwa kuangukiwa na nazi?

    Kwa wenyeji wa pwani, umewahi kusikia mtu kafa kwa kuangukiwa na nazi?
  17. Je, umewahi kuusikia Utamaduni wa wanaume wa Kigoma kujipiga bomba ili kuongeza nguvu za kiume?

    Kigoma kuna utamaduni unafanywa na wanaume unaitwa kujipiga bomba. Wanafanya hivyo ili kupunguza mafuta kiunoni na kuongeza nguvu za kiume. Wanachemsha mchanganyiko wa madawa kisha mchesho ukipoa na kufikia kipimo cha uvuguvugu hutafuta bomba kubwa la sindano ya ng'ombe, kisha hufyonza...
  18. L

    Je umewahi kukaa nyumba ambazo zina vimbwanga

    Kwa yoyote ambaye amewahi kukaa nyumba ambayo haikaliki alete mrejesho. Kuna watu wanapika chakula
  19. Umewahi kufanya kitu gani cha maendeleo katika jamii yako?

    WanaJf, SALAAM! Jukwaa hili linaundwa na watu mbalimbali wa lika, na jinsi tofauti - wa elimu na ufahamu tofauti - wa viwango na nafasi tofauti. Wote wetu tumegeuka kuwa wakosoaji wazuri wa masuala hasa ya kijamii na kiuchumi. Ni jambo zuri kukosoa lkn ni jambo zuri zaidi kuonesha njia kwa...
  20. Mtu aliyepanda miti. Umewahi kusoma hadithi hii?

    MTU ALIYEPANDA MITI Hii hadithi imehamasisha mamilioni ya watu duniani kupanda miti na kutunza mazingira. Unafaa sana wakati huu tunaokabili tatizo la uharibifu wa mazingira. Umewahi kuisoma? Ulijifunza nini? Muandishi: Jean Giono 1953. Mtafsiri: Pictus Publishers ltd Email...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…