Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 7,235
- 12,748
Huyu paka anapatikana sana Africa, ikiwemo Tanzania. Kwa kiingereza anaitwa serval cat. Umewahi muona? Anaitwaje kwa kiswahili?
Jangu lubhaka.Huyu paka anapatikana sana Africa, ikiwemo Tanzania. Kwa kiingereza anaitwa serval cat. Umewahi muona? Anaitwaje kwa kiswahili?
View attachment 2568245View attachment 2568246
Ni jamii ya paka ila hawezi zaliwa nyumbani na paka wa kawaida huyo ni paka wa porini hafugiki kitahisi hana tofauti na chui pJangu lubhaka.
Ni paka wa kawaida tu sema baadhi ya jamii hasa kwetu Ujitani akizaliwa paka wa namna hii anafanyiwa figisu sana,yaani anakuwa na maisha ya mwituni huku nduguze wakinywa maziwa na asali hali inayopelekea kuwa adui mkubwa wa kuku,binadamu.
Nadhani kwa Kiswahili huyu ndo PAKA SHUME.
Huko mikoani hawawezi kuwa na Paka Shume.Jangu lubhaka.
Ni paka wa kawaida tu sema baadhi ya jamii hasa kwetu Ujitani akizaliwa paka wa namna hii anafanyiwa figisu sana,yaani anakuwa na maisha ya mwituni huku nduguze wakinywa maziwa na asali hali inayopelekea kuwa adui mkubwa wa kuku,binadamu.
Nadhani kwa Kiswahili huyu ndo PAKA SHUME.
Labda sikuzingatia umbo lake kwa maana ya ukubwa.Ni jamii ya paka ila hawezi zaliwa nyumbani na paka wa kawaida huyo ni paka wa porini hafugiki kitahisi hana tofauti na chui p
Ndiyo maana nimetumia neno nadhani.Huko mikoani hawawezi kuwa na Paka Shume.
Paka Shume ni neno linatumika sana maeneo ya mikoa ya Pwani, Tanga na Dar es salaam.
Paka Shume ni kama Mbwa Koko. Huyo ni Paka wa Mwituni.
Nakupenda,,,,hongera Kwa kupenda wanyamaNiliwahi kumuona anapita juu ya ukuta tukakutana uso kwa macho, nikamuita ule mlio anaoitwa paka alitoka ndukii, sijamuona tena hadi leo,
Nilisikitika sana maana nilitaka tuongee japo kwa dakika kadhaa nimpe na chakula pia. 🥲
Jangu lubhaka.
Ni paka wa kawaida tu sema baadhi ya jamii hasa kwetu Ujitani akizaliwa paka wa namna hii anafanyiwa figisu sana,yaani anakuwa na maisha ya mwituni huku nduguze wakinywa maziwa na asali hali inayopelekea kuwa adui mkubwa wa kuku,binadamu.
Nadhani kwa Kiswahili huyu ndo PAKA SHUME.
Rangi sikupingi kabisa ila umbo huyu paka ni mrefu japo vyakula vyake ni vile vile mijusi ndege panya sungura wanyama wadogo wadogo hao hata kigamboni wapo japo kuwaona ni usiku mkaliLabda sikuzingatia umbo lake kwa maana ya ukubwa.
Lkn hata paka wa kawaida huzaa watoto wenye rangi za namna hii.
Kwetu nimewashuhudia sana wakizaliwa sema ndo hivyo ni lazima atimuliwe nyumbani.
Mkuu umeshindwa kugundua kuwa S na D zipo karibu kwenye keyboardPuma (duma)sio paka huyo anakutafuna mchana kweupe ukikutana nae anga zake.
Alafu kidwahili ndio nini?
Elimu, elimu , elimu
Puma (duma)sio paka huyo anakutafuna mchana kweupe ukikutana nae anga zake.
Alafu kidwahili ndio nini?
Elimu, elimu , elimu
Paka milia
Jamii hiyohiyo ila sio paka ni wanyama hatari sana hao.Puma naye sio duma...
Duma huitwa Cheetah kwa kimombo...
Anazaliwa ila anaitwa "Kimbulu" hafugiki huyo anatabia za wanyama wa mwituni anakula vifaranga hatari.Huyu paka anapatikana sana Africa, ikiwemo Tanzania. Kwa kiingereza anaitwa serval cat. Umewahi muona? Anaitwaje kwa kiswahili?
View attachment 2568245View attachment 2568246