Mara ya kwanza ilikuwa ni likizo yangu December 2018, nikiwa na mwenyeji wangu ( mzambia) baada ya kupeleka mchele na kumaliza kuuza, mwenyeji wangu alinishauri tusogee Rukwa, tununue dagaa then tuwapeleke Kasumbalesa kwa kipindi hicho akadai wanalipa na yeye anawafahamu dagaa ila shida lugha...
Waungwana shida ziko palepale!
Twendeni kwenye mada
Nafikiri sote humu tushakuwa kwenye mahusiano kwa muda fulani, na kila mahusiano yana vimbwanga vyake, asikwambie mtu kila mahusiano yana changamoto zake.
Sasa hapa tunajadili kama uliwahi kuchezea blocki toka kwa mpenzi wako iwe ktk Harakati...
Kiuhalisia haya mahusiano yapo tukiweka kando Bongo movie, bongo flava na ndumba ?
Tuweke kando madenti wa sekondari hawa kuwapata ni rahisi lakini kwa sheria za sasa ukiingia kichwa kichwa unapigwa mvua ya kutosha.
uliwahi kushuhudia ama wewe kuwa mhusika, mtoto mkali wa ushuani kadata na...
Wakuu Habari za Jumapili? Binafsi sijawahi kubadili dini yangu ya awali, ila ninae kaka yangu yeye aliwahi kuhama kutoka KKKT, Full gospel, EAGT na saizi yupo kanisa lingine. Je, humu ndani tunao watu wenye kuhama hama ivo, Nini hasa sababu ya kufanya hivyo.
Tunaomba mlete uzoefu.
Karibuni wakuu, tushirikishane juu ya jambo lolote la hovyo ,ambalo umewahi kulifanya maishani mwako ,hasa kipindi Cha ujana/ utoto na badae ulijutia. Nianze Mimi,; wakati nipo darasa la 2 nikiwahi kufungulia radio ya mzee , nikaweka Kanda ya lackdube nikasililiza mwanzo mwisho. Lakini bahati...
Morning wakuu! Kumekuwa na stori nyingi za vijana wakati tukisoma secondari na vyuo ,anamtokea Binti mkali na anamfatilia kwa muda mrefu hata miezi 2 na zaidi lakini ikitokea siku bint amekubali kuja kuliwa, amefika gheto/ room ghafla Hofu na Ile mstuko unafanya jogoo likatae kupanda mtungi. Je...
Wakuu kwema!
Mimi niliwahi kupata alama A zote katika mtihani mara kadhaa nikiwa O level huko Kwiro Sec Moro, na pia nilipokuwa Mkwawa high school niliwahi pata A zote mara kadhaa katika mitihani. Kiukweli nilikuwa najisikia vizuri sana na ilinipa ham ya kusoma zaidi.
Je, humu jf tupo watu...
Kigoma kuna utamaduni unafanywa na wanaume unaitwa kujipiga bomba. Wanafanya hivyo ili kupunguza mafuta kiunoni na kuongeza nguvu za kiume.
Wanachemsha mchanganyiko wa madawa kisha mchesho ukipoa na kufikia kipimo cha uvuguvugu hutafuta bomba kubwa la sindano ya ng'ombe, kisha hufyonza...
WanaJf,
SALAAM!
Jukwaa hili linaundwa na watu mbalimbali wa lika, na jinsi tofauti - wa elimu na ufahamu tofauti - wa viwango na nafasi tofauti.
Wote wetu tumegeuka kuwa wakosoaji wazuri wa masuala hasa ya kijamii na kiuchumi. Ni jambo zuri kukosoa lkn ni jambo zuri zaidi kuonesha njia kwa...
MTU ALIYEPANDA MITI
Hii hadithi imehamasisha mamilioni ya watu duniani kupanda miti na kutunza mazingira. Unafaa sana wakati huu tunaokabili tatizo la uharibifu wa mazingira. Umewahi kuisoma? Ulijifunza nini?
Muandishi: Jean Giono 1953.
Mtafsiri: Pictus Publishers ltd
Email...
1. Shower Sex
2. Kitchen Sex
3. Beach Sex
4. Parking lot Sex
5. Pagala Sex (kwenye jumba ambalo halijaisha)
6. Uchochoroni Sex
7. Makaburini Sex
8. Kabatini Sex
9. Mezani Sex
10. Kibarazani Sex
11. Majini/Baharini au Swimming Pool Sex.
12. Wodini/Hospital Sex
Mimi namba 6,7 na 10 ndo sijawahi...
Tuko zetu (maeneo flani hivi) leo siku ya 9 bila kuoga! Kwakweli hii hali iko kibabe zaidi, japo sijaona tatizo lolote kutokana halii hii. Je wewe umeshakaa hata 3dys? kuna tatizo lolote ulipata? Ulijisikiaje?
Sio kusema ni wote lakini hawa wanaofanya haya matukio ndio wanasababisha tuwaweke wote kwenye chungu kimoja.
Leo hii tu kuna kijana mwanafunzi wa chuo cha Saut huko Mwanza katoa ushahidi jinsi alivyopasuliwa korodani na Polisi waliokuwa wamelewa na kumpiga marungu ya kwenye korodani mpaka...
Mwenzenu nimewahi kukaa ukweni zaidi ya miezi nane, nikiwa na ujauzito wa miezi mitatu mpaka nikajifungua, nilikuja kuondoka mtoto anamiezi mitatu. Katika muda wote huo niliwahi kufanya tukio ambalo najutia sana ingawa lilitokea kwa bahati mbaya tu.
Mume wangu alinikataza kitu fulani nikakubali...
Unajua Kusema 'hapana' ni ngumu wakati mwenzi anaomba pesa tena akionesha ana shida muhimu au vyovyote vile. Lakini kabla ya kusema ‘ndiyo’ jiulize maswali muhimu
Atakulipa?
Atakulipa kwa wakati?
Asipolipa unafanyaje?
Uko tayari kudhulumiwa?
Ndugu watafiti, recently yamewasilishwa mapendekezo mapya ya sheria ya COSTECH ambayo yanweza kuongeza ugumu wa kupata kibali cha kufanya tafiti. Mapendekezo yanawapa COSTECH uwezo wa kuja na kuvikamata vifaa vyako, kuwauliza staff kuhusu utafiti unaoendelea pia kuchukua documents zenu.
Kabla...
Demu nimekaa naye kwenye uhusiano kama miezi kama 10 hivi. Namsaidia anapokuwa na uhitaji sababu kwa muda sasa hayupo kazini. Namlipia pesa ya chakula, umeme n.k
Juzi juzi kaomba nimpatie pesa aende kwenye harusi ya ndugu yake Kilimanjaro. Nikamwambia sidhani kama ni lazima sana aende maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.