umewahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Umewahi kupata maumivu kutoka kwa mtu uliyewekeza muda, upendo na imani yako kwake?

    Kuna watu wengi ambao wanapitia maumivu ya namna hiyo, hii ni kwasababu unajikuta umewekeza sana kwa mtu huyo, endapo ikatokea akakuumiza basi maumivu yanapita ndani kabisa, wengi hawawezi vumilia hili na kujikuta wanafanya jambo la ajabu. Je, umewahi kupitia maumivu haya? Toka kwa nani? Sababu...
  2. JamiiForums Tanzania Umewahi kuwa na bidhaa zisizouzika ukabaki nazo kwa kushindwa kupata hata mteja wa bei ya hasara?

    Nakumbuka 2016 niliwahi kuwa na duka la vifaa vya computer, nikaona nijiongeze ongeze nikaweka mabegi ya laptop kwa mtaji wa milioni 1 nikiamini kwamba yatatoka fasta sana, yaani hayo mabegi yalikuwa hayauziki kabisa, nilitaka niyauze kwa bei ya hasara lakini wapi. Hadi nafungua duka lingine...
  3. JamiiForums Tanzania Umewahi kusumbuliwa na wakala wa Bima za Mitandao ya simu?, Wape majibu haya watakata simu haraka

    Ni watu wanaosumbua sana, Reality sio matapeli ila jinsi wanavyoshawishi unaona kabisa ni biashara inayoshahabiana na biashara za kitapeli. Akianza tu mwambie naomba nikuulize swali , akikupa ruhusa muulize hivi; BIMA maana yake ni kuwekeza unufaike wakati ambao huenda utakuwa hauko vizuri...
  4. JamiiForums Tanzania Zawadi gani umewahi kumpatia mchumba wako akafurahi?

    Habari ya asubuhi waungwana. Ninapenda kumnunulia mchumba wangu wa kike zawadi kidogo kwa kutambua thamani yake kwangu, kwa uwezo wangu mdogo wa bajeti ya kuanzia shilingi 10,000 --- 50,000 ningependa kununua zawadi ya thamani hiyo. Nitashukuru kupata mapendekezo ya aina nzuri ya zawadi...
  5. JamiiForums Tanzania Umewahi kuachana na mtu kisa kazidisha mapenzi?

    Namaanisha umewahi kupendwa na mtu sana, wakati wewe sio kiviile.. mpaka ukaogopa.. ukaona kabisa tunakoelekea huyu atakuja kufanya kitu cha ajabu.. au atakuja kuniletea matatizo. Yaani unapendwa hadi inakua kero..!? Kuna muda mapenzi yakizidi aisee inaboa mtu mpaka unaona ni nini hiki Mungu...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuadhirika kwenye mambo ya huba

    Iliwashwa taa tupo ukumbini,picha iliyotokea malizia,ila nilikimbia mji miaka mitatu. Je umewahi kukutwa na usiyoyategemea ghafla bin vuw ?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuua mtu?

    Umewahi kuua mtu? Juzi mwanangu Tracey aliniuliza Hilo swali,nilishtuka na kuogopa Sana. Sikutegemea kabisa Kama mwanangu anaweza kuniuliza swali la namna Hiyo. Kwa dakika kadhaa nilimtazama pasipokusema kitu. " Hapana sijawahi." Nilijikuta nimeropoka kwa haraka na gafla baada ya kukaa...
  8. JamiiForums Tanzania Kero ya wageni: Umewahi kutana na gari mbele yako dereva anakata huku na kule kila akifika kwenye tuta?

    Wenye gari za chini kama crown wanafanya hivi kukwepesha gari isiparuze, ila unakuta mtu anendesha Harrier, Rav 4, carina, xtrail, n.k zipo juu, kuna haja ya kufanya haya? Mbaya zaidi kusiwe na namna ya kumu overtake, hata umpigie honi kwamba una haraka hakuelewi.
  9. JamiiForums Tanzania Umewahi kutana na tukio lolote lilikouacha na mshangao mkubwa katika soka!!?

    FEBRUARY 14,2018 kwenye mchezo kati ya Real Madrid na PSG lilitokea tukio ambalo lilileta utata sana na wengi wakibakia na mshangao mkubwa huku likihusisha nguvu za giza (Uchawi). ILIKUWA ni tukio la penati aliyopiga Cristiano Ronaldo 🇵🇹 kwenye ushindi wa Real Madrid wa goli 3-1 dhidi ya PSG...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Umewahi jutia kwa kutomsaidia mtu?

    Nawapa salamu wanajukwaa, JF iendelee kuishi milele. Naomba niingie kwenye mada, Je, umewahi kujutia kwa kutokutoa msaada kwa mtu ambaye alikuwa akihuhitaji na ulikuwa na uwezo wa kumsaidia lakini ukamuacha bila ya msaada wowote? Hali hii imenikuta siku ya leo, lakini sitasimulia kisa cha leo...
  11. JamiiForums Tanzania Je, umewahi kukatishwa tamaa katika kujaribu kwako? soma hii

    Maisha bwana ya matukio mengi sana, kuna watu hao ni maalum ku critisize wengine, mtu unaona ana kitu atafika mbali unamkatisha tamaa ili ugundue nini kama sio roho ya kichawu inakuandama? unayejaribu usikatishwe tamaa na watu. 1. Fanya kile unaona ni sahihi usipendelee kumshirikisha kila mtu...
  12. JamiiForums Tanzania Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

    Katika maisha kila mtu ana amini katika kile anachokiamini kuanzia kwenye maisha binafsi, dini, uchumi, siasa n.k. Kuna watu wanaamini biashara bila ndumba haiendi, kuna wanao amini mapenzi bila pesa lazima mwanamke Aku cheat n.k. Mimi kwa upande wangu nilikuwa naamini kutumia miti shamba...
  13. JamiiForums Tanzania Weka mkasa wako: Mnakutana na kuishi kwa furaha kumbe ni unafiki mwingi, kesho mkizidiana ama kupishana mnaanza kuchomeana

    Baada ya kumaliza chuo nilibahatika kupata kazi ya mkataba wa mwaka kampuni flani binafsi, Niliweza kujuana na kuishi vizuri na wenzangu wa hio kampuni, sasa niliwakaribisha gheto wakakuta nna Tv nchi 55 (nilipewaga na bro wangu) wakaenda mwambia boss nna Tv kubwa kama nyumba hata yeye agusi...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa ClubHouse ya JamiiForums: Kero ya Rushwa katika Umiliki wa Ardhi

    Umewahi kulazimika kutoa rushwa ili uweze kukamilishiwa mchakato wa kumiliki ardhi? Jiunge nasi Alhamisi, Agosti 10, 2023 Saa 12 Jioni hadi saa 2 usiku kupitia ClubHouse ya JamiiForums kujadili Vitendo na Mazingira ya Rushwa katika hatua za Umiliki wa Ardhi Nchini. Tutajadili Changamoto...
  15. JamiiForums Tanzania Umewahi kuwa na rafiki wa kweli ambaye huwezi kumsahau kamwe?

    Habari zenu waungwana, Katika ulimwengu wa sasa ni nadra sana kupata rafiki wa kweli ambaye unaweza kumuamini, Nakumbuka miaka kadhaa nyuma niliwahi kuwa na rafiki, huyu alikuwa ni zaidi ya ndugu, tulielewana sana. Tulishirikiana kwa kila jambo, Popote alipo nami nilikuwepo, jamaa alikuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Umewahi kutamani Kuhama mtaa kwasababu ya mambo ya Majirani zako?

    Kwenye kuishi tunakutana na mengi sana. Unaweza kuwa na nyumba yako kali na maisha yako safi tu ila aina ya Majirani wanaokuzunguka wakafanya uone kero ya maisha na kutamani kuondoka eneo hilo ila unashindwa kwasababu ndio ushajenga hapo. Tupe experience yako eneo unapoishi au wewe naye ndio...
  17. JamiiForums Tanzania Umewahi kukataliwa hadharani kinyume na ulivyotarajia?

    Expectation kills , they kill us once when we wait for the same things we did for people. They kill us twice when we don't really get anything. Maisha yanaenda kasi sana, leo nmekumbuka tukio moja lililowahi kunitokea miaka ya nyuma kidogo. Kuna dada wa kitanga niliwahi kumpenda sana, siku moja...
  18. M

    JamiiForums Tanzania WANAUME WENZANGU: Umewahi kufanya jambo ukaja kujuta baadae kama mimi ninavyojuta mpaka sasa?

    Habari wana Jf nipo na ID nyingine niliifungua karibu siku 26 zilizopita. Twende kwenye mada. Mimi nina umri wa miaka 35 kwa sasa nina watoto 3. Nimeoa na nina mke nimezaanae watoto 2. Mtoto wangu wa kwanza nilizaa na dada mmoja chuoni. Mama yake sikumuoa nilioa mwanamke mwingine ila mtoto...
  19. JamiiForums Tanzania Umewahi kutumia VFD yaani kutumia simu kutoa risiti za EFD? Tupe experience yako

    VFD ni mfumo uliothibitishwa na TRA wa kutoa risiti za EFD kwa kutumia simu au kompyuta, huu mfumo ni Bora kabisa na rafiki kwa wafanyabiashara utakaokuwezesha kutoa risiti bila kikomo, Kupunguza garama kwa zaidi ya 50%, kutoa risiti za Softcopy na HARDCOPY, na sasa unaweza kutoa risiti ambayo...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kujiuliza kuhusu ukimya wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali na uuzwaji wa Bandari za Tanganyika?

    Utangulizi: Ukisoma katiba ya JMT ibara ya 59 (1) imeanzisha ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali, na ibara ndogo ya (3) ya ibara hiyo ya 59, inaeleza wajibu mkuu ni kuishauri serikali katika mambo yote yanayohusu sheria, zaidi sana ibara ya 59 (5) kwa hadhi ya ofisi yake mwanasheria mkuu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…