umeme

  1. JamiiForums Tanzania RC Kafulila: Tanzania gharama za umeme ni ndogo

    Mkuu wa mkoa wa Simiyu David Kafulila, amesema licha ya kuwapo kwa baadhi ya changamoto ya utoaji wa huduma za umeme, lakini Tanzania ni nchi pekee katika mataifa ya pembe ya Afrika Mashariki yenye gharama ndogo zaidi ya tozo za umeme, ikilinganishwa na nchi nyingine za ukanda za huo. Hayo...
  2. JamiiForums Tanzania Smart speakers, smartwatch na miswaki ya umeme

    Nauza: Smart Speakers (Amazon Echo na Google Home Mini) mpya sealed each Tsh 150,000/= Electric Toothbrush Xiaomi Tsh 50,000/= Smartwatch za kuanzia Elfu 40 hadi Laki 2. Ubungo Mawasiliano. Nicheki WhatsApp: 0758095750
  3. JamiiForums Tanzania Marekani: Kimbunga Ida chapiga New Orleans, nyumba zaidi ya Milioni 1 hazina umeme

    Zaidi ya nyumba Milioni moja Jijini New Orleans hazina umeme kutokana na Kimbunga Ida. Hadi sasa kifo kimoja kimeripotiwa baada ya mti kuangukia nyumba Rais wa Marekani, Joe Biden amesema Kimbunga Ida kitakuwa tishio na upo uwezekano wa uharibifu mkubwa. Ametangaza janga kubwa katika Jimbo la...
  4. JamiiForums Tanzania Egypt imeigeukia kubembeleza Congo DRC Baada ya Ethiopia Kudinda kuhusu Bwawa la Umeme

    Habari zenu. Baada ya mwanaume Ethiopia kupuuza vitisho na mikwara ya mbu nje ya net iliyokuwa ikitolewa na Egypt kwa Ethiopia Kuhusu kujaza maji kwenye Bwawa la Umeme,jamaa sasa wameamua kuiangukia Congo DRC. Egypt sasa inapanga kutumia mabilioni ya dola kuwalipa wakongo Ili ijenge channel ya...
  5. JamiiForums Tanzania Kero: Mkuyuni Morogoro vijijini hakuna umeme

    Morogoro kijiji cha Mkuyuni hakuna umeme wiki mbili sasa, ni shida kwa wafanyabiashara.
  6. JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya 5 Kingolwira Morogoro hatuna umeme

    Hatujapewa taarifa nini shida, yaani samaki kwenye friji tumekaanga wote. Saluni na wachomelea vyuma[emoji44]amaa kweli Magufuli tutakukumbuka TANESCO
  7. M

    JamiiForums Tanzania Sipati umeme siku ya tatu leo, tatizo ni nini?

    Luku hipo lakini umeme auwaki tatizo ni nini arafu nilikuwa naongeza luku nikajua imeisha inasomaa arafu aimarizi inazima leotena nimejaribu kuuhingiza ule umeme naambiwa umeshatumika lkn umeme auwaki tatizo ni nini? TANESCO
  8. JamiiForums Tanzania Siku ya tatu bila umeme makumbusho, biashara zinakufa

    Kwakweli inchi ishaanza kuwa ngumu, siku ya 3 mtu unatoka home unafika ofisini kwako makumbusho hamna umeme na shughuli zote za kukuingizia kipato zinahitaji umeme. Na hii ni kila wiki lazima wakate. Hakyanan tunakoelekea sijui maana hakuna hata anaejali. Ujasiliamali unaanza kutushinda hivihivi...
  9. JamiiForums Tanzania Tatizo la Umeme kukatika kwa muda mrefu limerudi tena Dar es Salaam

    Habari Ndugu zangu popote pale mlipo Leo nimeingia Ofisini kwangu Mida ya saa 3 asubuhi ninakuta umeme umekatika. Na mpaka sasa ninapo andika ujumbe huu saa 7 na Daakika 55 mchana bado pakavu. Ndo najiuliza je, Tumesharudi Misri kwenye swala la upatikanaji wa umeme Mjini? Maana katika kipindi...
  10. JamiiForums Tanzania Umeme wa 5,000 nimekatwa 2000. Hii haiko sawa!

    Ndugu leo nimenunua umeme wa tshs. 5000 nimekatwa tshs. 2000 jumla sawa na asilimia 45%. Hapa ndo tumefikia na serikali yetu ndugu zangu. Hivi kama ni kodi ya uzalendo kwa nini viongozi wasioneshe mifano. Asilimia 5 ikatwe kwenye mishahara ya hawa watu: (Rais na makamu, Waziri Mkuu na...
  11. JamiiForums Tanzania Umeme wa Shilingi 5,000 nimepata Units 8.5. Je, tutafika?

    Kodi ya majengo imeanza kutushughulikia, yaani Tshs. 5,000 naishia kupata Unit 8.5 badala ya 14.1 kama ilivyokuwa zamani. Tunakoelekea kutakuwa na tozo ya tozo, maana anaupiga mwingi!
  12. JamiiForums Tanzania Serikali iliunganisha umeme kwa Shilingi 27,000 ili kupata watu wengi wa kukata tozo

    Na nimeelewa sasa kuwa 1. Umeme kwa 27,000 ilikuwa plan ya muda mrefu kwanza vijijini halafu Sasa mjini ili wapate vichwa vingi vya tozo. 2. Watu flani walioishika serikali wanataka wafanye biashara zao za solar na magenerator hivyo wakachampion tozo ili watu wachukie wahamie kwenye Sola Kama...
  13. JamiiForums Tanzania TANESCO: Ili upate umeme kwa mwezi Agosti, nunua wa zaidi ya Tsh. 2,000/-

    Shirika Umeme nchini (TANESCO) limesema Wanachi hawataweza kununua umeme wa chini ya Tsh. 2,000 kwa mwezi huu Limesema ni ili Wananchi waweze kulipa kodi ya majengo ya mwezi Julai (Tsh. 1,000) na Agosti (Tsh. 1,000) Shirika hilo limefafanua kuwa Tarehe 20 Agosti ni kuanza kwa makato lakni kodi...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini nadhani umeme kijijini hautawashwa Japo nyumba Zina umeme?

    Natafakari tu kwamba REA wamepeleka umeme vijijini lakini wananchi awautumii, waliweza kumudu kuwasha taa chache ndani na kwa muda mfupi saa yaani saa moja Hadi saa nne usiku then ukipita vijiji vingi saa tano utadhani umeme hakuna. Wakati wanawasha taa chache kwa muda mchache walikuwa...
  15. JamiiForums Tanzania VIFAA VYA UMEME VINAHITAJIKA

    Wakuu habari ja jioni! Natumaini wote humu ndani my wazima kabisa. Nahitaji vifaa vya umeme vifuatavyo. 1.Continuity tester (tester phone ) ex tronic 2.Battery - Energizer 9vRL 3.Battery charger( Energizer 9V) 4. Ganish hole-6mmx200mm. Mwenye kufAhamu wapi nawza kuvipata au hata anipe Bei Vin...
  16. JamiiForums Tanzania Usambazaji wa umeme vijiji (REA) Ilikuwa mbinu ya kuongeza idadi walipa kodi ya Majengo?

    Leo Nyumba duni zenye umeme ukinunua umeme lazima utakatwa kodi ya jengo, hii ni kwa sababu hakuna mfumo wowote TANESCO unaoonyesha nyumba duni na nyumba bora. Mfumo wao unatambua namba ya mita tu baasi. Je, ule usambazaji wa umeme wa REA vijijini ulilenga kuongeza kodi zaidi ?
  17. JamiiForums Tanzania Mchanganuo tozo za LUKU kuanzia August 20-2021

    Ukinunua Umeme utalipia Kodi nne: 1. VAT - 18% 2. Ewura - 3% 3. REA - 1% 4. Kodi ya Jengo (Tsh 1000- Tsh 5000) Awamu ya sita, tozo ziendelee!
  18. N

    JamiiForums Tanzania Kodi ya majengo kuanza kukatwa kwenye Luku kuanzia Agosti 20, 2021. Je, Serikali imekosa Dira, mbinu zimewaishia?

    Naomba kuuliza maswali machache. Ni sababu ipi hasa ya msingi iliyopelekea kutoka mfumo wa malipo wa zamani kuleta mfumo wa sasa? Kwa hiyo kwanzia agost 20 kodi ya jengo inalipwa na mpangaji? Vipi kuhusu nyumba ambazo kila chumba kina mita yake? Vipi kususu mpangaji mmoja ambaye kapanga...
  19. JamiiForums Tanzania CHADEMA tuishukuru CCM kwa kusambaza umeme vijini

    Ni adui muombee njaa lakini sio kila wakati. Pia mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Tunatakiwa kuwashukuru Ccm kwa kusambaza umeme vijini. Huko nyuma mafuta ya taa yalikuwa yanamwakigia kwenye mboga na ugali usiku wakati akina mama wakitumia koroboi kupika,leo ni umeme tu wa ReA Tuwapongeze...
  20. JamiiForums Tanzania Nchi imeanza kurudi nyuma kwa kasi ya ajabu, bila rushwa TANESCO hawafungi umeme

    Nimekuwa nikiripoti Mara nyingi jinsi nchi yetu inavyokwenda kwa sasa tumeanza kurudi nyuma , Huduma zimekuwa mbovu ukiende kwenye ofisi kupata huduma customer care mbaya wahudumu wanakujibu ovyo. Mfano Mzuri ni shirika letu la Tanesco Maeneo Mengi watu wanalalamika, likiwemo eneo letu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…