Mtuflani Official
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 1,938
- 4,354
Ndugu leo nimenunua umeme wa tshs. 5000 nimekatwa tshs. 2000 jumla sawa na asilimia 45%.
Hapa ndo tumefikia na serikali yetu ndugu zangu. Hivi kama ni kodi ya uzalendo kwa nini viongozi wasioneshe mifano. Asilimia 5 ikatwe kwenye mishahara ya hawa watu: (Rais na makamu, Waziri Mkuu na maWaziri, Wabunge, maRC, maDC na DED). Nimetaja hao watu sababu wao wanaweza ishi kwa marupurupu ya kazi zao bila hata kugusa mishahara!