Serikali iliunganisha umeme kwa Shilingi 27,000 ili kupata watu wengi wa kukata tozo

rr3

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
2,912
2,000
Na nimeelewa sasa kuwa

1. Umeme kwa 27,000 ilikuwa plan ya muda mrefu kwanza vijijini halafu Sasa mjini ili wapate vichwa vingi vya tozo.

2. Watu flani walioishika serikali wanataka wafanye biashara zao za solar na magenerator hivyo wakachampion tozo ili watu wachukie wahamie kwenye Sola Kama kwenye muamala walivyohamia benki na kutuma hela cash.

Every picture you see have a story behind it.

All in all Mama yetu tunampenda na tunaendelea kumuombea na tunamuomba atufikirie kwenye hizi tozo.
 

desayi

JF-Expert Member
Aug 27, 2017
1,545
2,000
Point taken, Kama ufisadi ukirudi Kama ule wa awamu ya Kasi mpya, Ari mpya na nguvu mpya Basi........ Tumekwisha
Uludi mara ngapi unazani hizo cash zote za miamala zinafika
 

rr3

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
2,912
2,000
Uludi mara ngapi unazani hizo cash zote za miamala zinafika
Ndio shida yetu kuu na Hawa awamu ya nne waliodandia tren hii, maana ni mabingwa wa ku-divert funds.

Na hapa Sasa kwa mazuri au kwa mabaya ndio watu watakapomkumbuka mwenda zake.
 

desayi

JF-Expert Member
Aug 27, 2017
1,545
2,000
Ndio shida yetu kuu na Hawa awamu ya nne waliodandia tren hii..... Maana ni mabingwa wa kudaivert funds....

Na hapa Sasa kwa mazuri au kwa mabaya ndio watu watakapomkumbuka mwenda zake.
Kwa hali hii bora magu hata Kama alikuwa
 

rr3

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
2,912
2,000
Kwa hali hii bora magu hata Kama alikuwa
Ndio maana yake ...... Kwa ubaya wake woote mwendazake alikuwa na uchungu na nchi hii na naanza kuamini alichokuwa anafanya ilikuwa ni necessary evil na baadaye the end ingejustify the means....
 

desayi

JF-Expert Member
Aug 27, 2017
1,545
2,000
Ndio maana yake ...... Kwa ubaya wake woote mwendazake alikuwa na uchungu na nchi hii na naanza kuamini alichokuwa anafanya ilikuwa ni necessary evil na baadaye the end ingejustify the means....
Ndo mana alikuwa anasema mtanikumbuka alikuwa anajua Kuna watu hawana time na wanyonge
 

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
54,865
2,000
Kabisa, wengine tupo Kama alliens ..... Keki ya taifa hatuli kazi yetu kuchangia tozo tu wakati Kuna familia toka Uhuru kazi yao ni kula hiyo keki ya taifa inayotokana na tozo tunazotoa.
Wenye nchi wanajua mtoto wa nani atakua Rais wa Zanzibar baada ya dr Hussein na nani atakua mgombea wa CCM 2025
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom