umeme

  1. Hayati Magufuli aliwezaje kuwadhibiti wahujumu wa maji na umeme?

    Aliposema biashara ya majenereta iwe mwisho na akata kuona mabwawa yote yawe yamejaa maji iwe kiangazi au mvua iwe kipindi cha ukame , yote yalitekelezeka ndani ya wiki mpaka siku anafariki mabwawa yote yalikuwa full na ziada ilikuwa inasubiri na wenye mifugo waliendelea kunywesha na bwawa la...
  2. Waziri Januari Makamba hakikisha mradi wa bwawa la umeme la mwalimu Nyerere unakamilika

    Nawasalimu wanaJF. Natoa nasaha kwa Januari Makamba Waziri wa Nishati ahakikishe anafanya commitment ya fedha kwenye strategy sahihi yaani ukamilishaji wa mradi wa bwawa la Mwalimu Nyerere hata kama hapendi. Sidhani kama watanzania wanahitaji solutions za muda mfupi za vimegawati 80 katika...
  3. Je, kampuni ya Wind East Africa ya Wamarekani wenye uswahiba na January Makamba kupewa tenda ya umeme wa upepo?

    Kampuni ya Marekani inayojishughulisha na ufuaji wa umeme wa upepo iliyopigiwa debe mwaka 2013 na Rais Obama ili ije kufua umeme wa upepo kule Singida huenda ikapewa tenda hiyo mapema mwishoni mwa mwaka huu ama mapema mwakani. Ikumbukwe ndugu Rashid Shamte ambaye ni boss wa hiyo kampuni hapa...
  4. CCM wameanzisha mgao wa maji na umeme ili kueneza propaganda ya kukataa Katiba Mpya

    Miezi michache iliyopita dai la katiba mpya lilipamba moto. CCM wakaja na hoja kwamba wananchi wanataka maji na umeme na sio katiba mpya. Baada ya kuona hoja ya hitaji la maji na umeme haieleweki hatimaye hangaya kaamuru mgao wa umeme na maji ili kuhalalisha madai yao. Watanzania tambueni huu...
  5. Ni aibu kubwa Taifa kutimiza miaka 60 ya uhuru wake, linahangaika kuwatafutia wananchi umeme na maji

    Nimekuwa nikijiuliza, hivi kama Taifa tunakwamia wapi? Hivi Tanzania ya leo, ndiyo ihangaike kuwatafutia wananchi wake umeme na maji, baada ya kujitawala toka kwa mkoloni miaka 60 iliyopita? Nchi iliyojaa rasilimali tele, kama vile mito inayotiririka maji mwaka mzima, maziwa matatu makubwa...
  6. Unakataje miti milioni 4 ili kujenga la umeme (JNHPP)

    Leo nilipata wasaha wa kupitia a hansard za bunge hasa Taarifa ya athari za mazingira za ujenzi wa bwawa la umeme JNHPP. Mchango wa Mh. Nappe Nauye nimetokwa na machozi. Mradi wa JNHPP haukuangalia athari za mazingira leo unaona mvua zinasumbua, joto linaongezeka, ukame unanyemelea maeneo ya...
  7. Rolls-Royce yaunda Ndege inayotumia Umeme

    Kampuni ya kutengeneza injini za anga na magari ya Uingereza Rolls-Royce imesema imeunda ndege yenye kasi zaidi duniani inayotumia umeme badala ya mafuta na imepewa jina la Spirit of Innovation, spidi yake ya mwisho inazimaliza kilometa 623 kwa saa. "Kufuatia mpango wa dunia dhidi ya mabadiliko...
  8. Hyundai kutengeneza Magari ya Umeme

    Spidi ya dunia kuhamia kwenye magari yanayotumia nishati ya umeme badala ya mafuta imekolea na sasa kampuni ya magari ya Hyundai ya Korea Kusini imeonesha mfano wa magari yake ya umeme ambapo gari lao halitokuwa na usukani bali fimbo ya usukani ambayo itakua ikijikunja ili Mtu aweze kuendesha...
  9. Nimempa hela jana tu, niko mbali umeme umeisha nimemwambia aweke anadai nitamlipa hela yake

    Dah! Wakuu, mitihani ni mingi jamani hawa wanawake zetu hawa. Niko mbali na home umeme umeisha, bint/slay queen anatuma msg LUKU imeisha. Yeye kashinda home toka asubuhi yaani anashindwa nunua umeme kweli hadi apige simu. Hivi wadada mbona mko hivi? Ujue mnajidhalilisha? Aisee! Haya nimenunua...
  10. Kwanini Uganda na Egypt hawana mgao wa umeme na wanategemea maji kuzalisha umeme?

    Nafikiri kama huu mgao wa umeme ni kweli unasababishwa na vyanzo vya maji kukauka na kupunguza uwezo wa uzalishaji umeme, inabidi kwenda kujifunza kwa wenzetu wanawezaje. Uganda na Egypt ni nchi ambazo zinategemea kuzalisha umeme kwa hydropower. Wao wanawezaje pamoja na mabadiliko ya tabia...
  11. J

    Tanesco: Mgao wa umeme hautakuwa mkubwa kwani ni 20% tu ya mitambo ndio itapunguza uzalishaji

    Mkurugenzi mkuu wa Tanesco ndugu Maharage amesema hakutakuwa na mgao mkubwa wa umeme kwa sababu ni 20% tu ya mitambo yake ndio itapunguza uzalishaji. Hata hivyo kuna umeme wa gesi utaongezeka na tayari jana wameingiza megawati 8. Source: ITV habari
  12. Zitto Kabwe: Ni dhahiri tatizo la Umeme limetokana na kupuuzia Miradi ya Umeme wa Gesi Asilia

    Ni dhahiri tatizo la Umeme limetokana na kupuuzia Miradi ya Umeme wa Gesi Asilia. Uongozi wa sasa utupe jawabu la changamoto hii twende mbele. Changamoto ya Maji imesababishwa na nini? Nani alizuia Mradi wa Bwawa la Kidunda? Visima vya Kigamboni? Je tusubiri mvua? Isiponyesha?
  13. Unapigania Haki za Wanawake huku ukiwakatia Maji na Umeme

    Hakuna watu wanaoteseka na ukosefu wa maji na umeme kama Wanawake, wao ndio wanaohangaika visimani na ndoo kutwa nzima kutafuta maji kwa sababu wewe unayesimama jukwaani na kusema unawapigania umewakatia maji, sielewi hapa ni haki ipi hiyo ya Mwanamke unayoipigania ? Hivi haya mambo huwa...
  14. C

    Tatizo la umeme nchini na matamko 4 tofauti ya Serikali

    1) Mheshimiwa Waziri wa Nishati January Makambaanadai kwamba: a) Tatizo la Mgao wa Umeme limesababishwa na Uchakavu wa Miundombinu ambayo haijafanyiwa Matengenezo kwa miaka 5!! b) Tanesco hawajafanya Matengenezo katika kipindi kilichopita cha miaka 5 (soma: Awamu ya 5) kwa sababu eti kila...
  15. W

    Noti za Tanzania zibadilihswe, tumezichoka

    Tunahitaji kubadilisha muonekano wa fedha zetu sasa, hizi zimesha chakaa na zimeshatuchosha. Kwa miaka zaidi ya kumi tumekuwa na muonekano huo huo hii ni aibu ya taifa.zania Zinahitajika kubadilishwa
  16. Mgao wa umeme unatoka wapi kama tulikuwa na uzalishaji wa ziada wa umeme?

    Nchi yetu kwa sasa imepata changamoto ya upungufu wa mvua, hii ni kwa mujibu wa mamlaka ya hali ya hewa nchini (TMA), jambo lililopelekea upungufu wa uzalishaji wa umeme hapa nchini, hiyo ni kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa na shirika letu la umeme hapa nchini (Tanesco) jana tarehe...
  17. Rais Samia amefanya uzalishaji uongezeke, tutakaa sawa

    Ni hivi, hicho kipindi mnachosema umeme ulikuwa haukatiki, ulikuwa haukatiki majumbani. Japo pia tuwe wakweli kwamba ulikuwa unakatika lakini sio kwa kiwango hiki, lakini ULIKUWA UNAKATIKA. Hata hivyo katika kipindi hicho, biashara nyingi zikiwemo VIWANDA zilifungwa. Watu walikuwa hawazalishi...
  18. R

    Sisi tuliochagua wapinzani tumekatiwa umeme na maji. Vipi upande wenu huko majimbo yanayopendwa na serikali?

    Hahahahahaa!! Inabidi nianze uzi kwa kicheko. Tumepitia kipindi kigumu kama nchi. Licha ya kuwashauri kwa muda mrefu kwa kurudia rudia tukidhani wanatuelewa wakashupaza shingo. Leo Rais Samia, Makamu wa Rais na makundi yake yote hawawezi kukwepa mdororo huu wa maji na umeme. Tumerudi mwaka...
  19. Chemsha bongo: Kama uzalishaji umeme umepungua kwa 21%, je, maji yamepungua kiasi gani?

    Kama Tanzania inazalisha umeme kwa 65% gesi na kwa 35% maji, hivyo jumla ni 100%. Na ghalfla Tanesco akasema uzalishaji umeme umepungua kwa 21% kutokana na kupungua kwa kiwango cha maji; Je, maji kwenye mabwawa yamepungua kwa asilimia ngapi? Nitatoa jibu baadae kidogo TANESCO...
  20. M

    Nashauri Pesa za Sherehe za Uhuru 9 Disemba, 2021 zisitishwe na Pesa zielekezwe katika Changamoto za Umeme na Maji nchini

    Kusheherekea kwa Mbwembwe zote miaka 60 ya Uhuru huku Taifa likiwa na Changamoto muhimu za Maji na Umeme huenda Kikatafsiriwa kuwa ni Kielelezo tosha cha Uzuzu ( Ujuha ) mwingi unaopatikana Afrika na kwa Waafrika wengi ( japo siyo Wote )
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…