Upepo mkali na mvua kubwa ambazo zimeendelea kunyesha maeneo mbalimbali hapa Nchini zimeathiri Miundombinu ya Umeme
Shirika la Umeme Nchini limeeleza kuwa hali hiyo imepelekea baadhi ya wananchi kukosa huduma ya umeme kwa nyakati tofauti
Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA), imetoa tahadhari ya Mvua...
Dumila ipo Mkoani Morogoro kiukweli hali ya upatikanaji wa umeme ni mbayaa kupitiliza.
Sio kwamba ulikuwa haukatiki kipindi cha mwendazake la hasha ulikuwa unakatika sana tu ila awamu hii imepitiliza
Alipoingia January Makamba hali ndio imezid kubadilika yaani umeme unaweza katika siku 5...
Yatapunguza gharama kwa asilimia 80%
An electric bus from Opibus during a test drive in Nairobi.
TECHCRUNCH
Swedish-Kenyan company Opibus has launched the continent's one of a kind electric bus which is expected to start operations later this year.
The bus is the first all-electric as...
Kiukwel awamu hii hatutaacha kuiona rangi juu yankukatika kwa umeme
Pia mods tunaomba thread hii isiunganishwe na uzi wa tanesco Kwan hakuna msaada tuupatao kwa kadhia hii yakukatika kwa umeme
Naanza mm muda huu mbezi beach umeme umekatika yaan unakuja baada ya muda fulan unarud
Asubuh...
Enzi ya Dr. Kalemani tuliingiza umeme kwa Tshs.27,000/, sasa hivi enzi ya Makamba tunaingiza umeme kwa Tshs.300K je, serikali ya awamu ya sita kwa viwango hivi itamaliza kusambaza nishati hii adhimu ya umeme kwa vijiji na vitongoji vyote by 2024?
Wakati wa bei ya Tshs. 27,000 JPM alikuwa...
Sijui tunafeli wapi wanazengo ila kimsingi natamani sana kama tungeanza kuhamia huku mdogo mdogo.
Hii gari ni ya usd 8000 tu roughly kama 18.5m hivi kwa wanaonunua gari za 25-30M naona kama hii chuma inanunulika kabisa.
Kigari kina Range ya 360KM per single charge which is fair enough kwa...
Lazma mjielewe TANESCO Mtangaze msitangaze lazma mkate umeme, kitu kinachopaswa kutangazwa ni kile kinachotokea kwa nadra sana, Sasa nyie kila siku mnakata umeme, acheni kututangazia fanyeni kazi zenu ukiwepo sawa hata usipokuwepo sawa.
Mnatumia mamilioni kila siku kutangaza makatizo ya umeme...
Baada ya Mh Rais kusema wazi kuwa wananchi waambiwe kuwa gharama za umeme sio 27,000 tena kama alivyotangaza Rais mwaka jana.
Hivi gaharama za kuunganishiwa Umeme zanzibar zikoje?
ZESCO imekuwa ikidaiwa madeni mengi sana ya Umeme na Tanesco na wamekuwa wakitegemea kusamehewa na wakisha...
Muda mrefu wa Kumkaanga ( Kumsiliba ) Spika Ndugai ili 'Kukonga' Nyoyo za Watanzania ambao 95% wanapenda Kuendeshwa na Matukio, Majungu, Uzushi na Uswahili upo, ila muda wa Kuwaeleza ni kwanini kwa Magufuli Umeme ulishuka mpaka Tsh 27,000/= na sasa ( Kwako ) umepanda na kuwa Tsh 320,000/= haupo...
Jamaa wapo fasta huenda template ilikuwepo kabisa, wameprint tu lakini mbona hawajafafanua kuhusu vijijini?
Alafu anasingizia katikati kuriharibiwa wakati maagizo ni ya kwake.
Huwa nashangaa sana wanaosifia Makamba ni akili kubwa.
Kwanza kabisa mimi ni muumini wa kumkosoa mtu yoyote kwa staha, siamini kwenye kudhihaki Wala kutukana. Kama raisi kuna sehemu amekosea basi tumkosoe kwa staha tumkosoe bila kumvunjia heshima, yeye ni binadamu anapitiwa.
Hili la umeme wa kuunganisha watu wote kwa 27,000 ni yeye amelileta...
Naangalia marudio ya hotuba ya rais hv sasa kupitia ITV rais Samia anatema cheche.
Amegusia suala la kuunganisha umeme kwa sh 27,000/= na akasema kuwa haina uhalisia kabisa na haiwezekani.
Amemtaka waziri wa nishati kuweka gharama zitakazowezesha Tanesco kujiendesha kwa faida. Tena akamtaka...
Rais Samia amesema Tanesco hawawezi kuunganisha umeme kwa gharama ya Shs. 27,000/= kwa wananchi wote wa vijijini kwa sababu gharama zinatofautiana kutoka sehemu moja hadi nyingine.
Kwa hiyo amesema kuna sehemu watalipa Shs. 27,000/= na sehemu zingine watalipa gharama halisi.
Wanabodi salaam,
Nianze kwakusema natambua maelekezo tunayopewa kwamba nchi yetu inakumbwa na tatizo la umeme kutokana utegemezi wa umeme wa maji na kwa sasa nchi imekumbwa na hali ya ukame hivyo kuathiri upatikanaji wa umeme maeneo mengi nchini.
Hata hivyo kinachoendelea kwenye Jimbo la mh...
===
Serikali ya Tanzania imesema imeingia mkataba wa ununuzi wa mabehewa ya abiria 89, vichwa vya treni ya umeme 19, seti za treni za kisasa 10 zenye behewa 80 vikiwa na gharama ya US$381,428,465 karibu TZS 880BL,
Hayo yamebainishwa leo siku ya Jumanne Desemba 28, 2021 na Rais wa Tanzania...
ELECTRICAL FENCE SPECIAL OFFER (19,000/= per meter)
fungiwa electrical fence kwa 19,000/= kwa mita moja, gharama iyo inajumuisha vifaa vyote vinavyotumika na ufundi, bei iyo ni kwa eneo la kuanzia mita 70 kuendelea, tunafanya kazi mikoa yote popote pale tunakufikia mteja, wahi sasa.
Piga...
Ukiacha hali ikawa hivi jua kwenye picha unaonekana wewe na sio wao!. Mtangulizi wako hakuwa malaika kusema labda kuna nguvu ya ziada aliitumia kufanya mambo yaende sawa!,alikalia kiti ulichokalia.
Heri ya sikukuu ya Christmas na mwaka mpya kwako na kwa serikali yako.
Wakuu habarini, naomba kujuzwa tender ya kusambaza umeme wa REA Mtera Dodoma alipewa contractor gani.
Supply and Installation of 220/33 kV, 2 x 10 MVA substation Extension in Mtera. Tender hii ilitangazwa mwaka 2013 kama sijakosea.
Natangauliza shukrani.