Movie ya Rango ilitabiri huu Mgao wa maji na Umeme utaisha lini

February Makamba

JF-Expert Member
Jan 31, 2020
2,116
2,820
Kuna watu wanahisi huu mgao labda ni kitu cha muda mfupi, yani labda by December mambo yatakuwa shwari.

Hii imenikumbusha ile scene ya movie ya Rango ambapo Rango anakutanishwa na Mayor wa kijiji cha Dirt kwa mara ya kwanza.

Kijiji cha Dirt kimekuwa kina shida ya ukame na watu hawana maji kwa muda mrefu. Lakini Kumbe Mayor ambaye kazi yake ni kuwalinda wanakijiji na kuhakikisha wanapata maji ndiye aliyekuwa anayazuia maji na kuyamwaga sehemu ili wananchi wasipate.

Mayor anasema "You control the water, you control everything"

Rango alipofika ofisini kwa mayor alishangaa kukuta wananchi hawana hata tone la maji lakini mayor amejaza maji ofisini na anakunywa kama anasa.

Rango anamjibu "I guess power has its privileges"

(Ni kama hapa Bongo. unahisi hawa elites kuanzia Serikali kuu mpaka wabunge wanapata shida ya maji makwao??? Kama Hapa bongo akija kiongozi mkubwa tu kwenye ziara sehemu umeme na maji hayakatiki hata akikaa wiki, sembuse akiwa kwake?

Je hawa wabunge huwa wanajua wanachi wanavyoteseka? Au wanajua tunavyoteseka ila hawajali?
Maana kuna mawili, either hawajui au wanajua ila hawajali.

Na vyote ni very concerning.)

Mayor wa kijiji cha Dirt alikuwa anajua wananchi wake wanavyoteseka, alitoka nje kuwaangalia wananchi na anaendelea kusema "You see them mr. Rango? All my friends and neighbours? Its a hard life here, Very hard..But you know how they make it through and each every day?

They beleive. They beleive tha the water will come. They believe against all odds and evidence that tommorow will be better than today. People have to beleive in something Mr. Rango"

Sasa sisi watanzania hatuna utofauti na wanachi wa Dirt. Evidence zote plus Historia zinaonesha kuwa hakutakuwa na maisha mazuri kupitia CCM.

Lakini bado kuna watu wanamuomba Mungu wakiamini against historia yote + Evidence zote za matendo yao tunayoyaona kuwa tommorow will be Better. Kwamba somehow CCM italeta maisha mazuri kwa kila mtanzania.

Amini amini nawaambieni, huu mgao is here to stay.
Huu mgao upo sana mpaka mwaka 2025 late february maana tunajua tukiletewa maji na umeme hapo kufikia October mwaka huo tutakuwa tumeshasahau kama tulikuwa na mgao kuanzia 2022 na tutawachagua tena ili wakatimize ahadi zao walizotuahidi mwaka 2015.

Lakini pia kuweni makini, hiyo early 2025 sio kwamba itakuwa mgao umeisha kabisa..La hasha! itakuwa ni kama pause tu, au break ya wadhamini.
Early 2026 ngoma inogile tena.

Sasa kwenye movie ya Rango, Rango aliendelea kuwa shujaa na kuja kumuexpose Mayor kwa udhalimu aliokuwa anafanya na kurudisha Maji kwenye kijiji cha Dirt.

Je, hapa bongo Rango yupo?
Je, Nani ni Rango wa Tanzania?
Je ni wapinzani?
Je ni taasisi/nchi za nje kuingilia kati?
Je ni sisi wananchi wenyewe kuingia barabarani?
Au Rango bado hajazaliwa?

Kuna watu wanahisi huu mgao labda ni kitu cha muda mfupi, yani labda by december mambo yatakuwa shwari.

Hii imenikumbusha ile scene ya movie ya Rango ambapo Rango anakutanishwa na Mayor wa kijiji cha Dirt kwa mara ya kwanza.
Kijiji cha Dirt kimekuwa kina shida ya ukame na watu hawana maji kwa muda mrefu. Lakini Kumbe Mayor ambaye kazi yake ni kuwalinda wanakijiji na kuhakikisha wanapata maji ndiye aliyekuwa anayazuia maji na kuyamwaga sehemu ili wananchi wasipate.
Mayor anasema "You control the water, you control everything"

Rango alipofika ofisini kwa mayor alishangaa kukuta wananchi hawana hata tone la maji lakini mayor amejaza maji ofisini na anakunywa kama anasa.

Rango anamjibu "I guess power has its privileges"

(Ni kama hapa Bongo. unahisi hawa elites kuanzia serikali kuu mpaka wabunge wanapata shida ya maji makwao???Kama Hapa bongo akija kiongozi mkubwa tu kwenye ziara sehemu umeme na maji hayakatiki hata akikaa wiki, sembuse akiwa kwake? Je hawa wabunge huwa wanajua wanachi wanavyoteseka? Au wanajua tunavyoteseka ila hawajali?
Maana kuna mawili, either hawajui au wanajua ila hawajali.
Na vyote ni very concerning.)

Mayor wa kijiji cha Dirt alikuwa anajua wananchi wake wanavyoteseka, alitoka nje kuwaangalia wananchi na anaendelea kusema "You see them mr. Rango? All my friends and neighbours? Its a hard life here, Very hard..But you know how they make it through and each every day? They beleive. They beleive tha the water will come. They beleive against all odds and evidence that tommorow will be better than today. People have to beleive in something Mr. Rango"

Sasa sisi watanzania hatuna utofauti na wanachi wa Dirt. Evidence zote plus Historia zinaonesha kuwa hakutakuwa na maisha mazuri kupitia CCM.
Lakini bado kuna watu wanamuomba Mungu wakiamini against historia yote + Evidence zote za matendo yao tunayoyaona kuwa tommorow will be Better. Kwamba somehow CCM italeta maisha mazuri kwa kila mtanzania.

Amini amini nawaambieni, huu mgao is here to stay.
Huu mgao upo sana mpaka mwaka 2025 late february maana tunajua tukiletewa maji na umeme hapo kufikia October mwaka huo tutakuwa tumeshasahau kama tulikuwa na mgao kuanzia 2022 na tutawachagua tena ili wakatimize ahadi zao walizotuahidi mwaka 2015.

Lakini pia kuweni makini, hiyo early 2025 sio kwamba itakuwa mgao umeisha kabisa..La hasha! itakuwa ni kama pause tu, au break ya wadhamini.
Early 2026 ngoma inogile tena.

Sasa kwenye movie ya Rango, Rango aliendelea kuwa shujaa na kuja kumuexpose Mayor kwa udhalimu aliokuwa anafanya na kurudisha Maji kwenye kijiji cha Dirt.
Je, hapa bongo Rango yupo?
Je, Nani ni Rango wa Tanzania?
Je ni wapinzani?
Je ni taasisi/nchi za nje kuingilia kati?
Je ni sisi wananchi wenyewe kuingia barabarani?
Au Rango bado hajazaliwa?

Me nakumbuka tu
Sheriff where are we going?!
Now we ride mh mhh dats means we're riding right now.

Bank being robed bank being robed
Wat
He means there's no water in the bank

I am Rango
Ooh your the one who killed Jenkins brothers.
Yeah killed em with one bullet.

Hello brother, Thirsty

Kiingereza changu chenyewe Cha vidudu🙆🙆🙆
 
Uchaguzi ukikaribia watu watalegezwa watasahau
Na wabongo wengi walivyokuwa mazuzu watasahau

Ova
 
(Ni kama hapa Bongo. unahisi hawa elites kuanzia Serikali kuu mpaka wabunge wanapata shida ya maji makwao???
Kwenye mikutano au mahojiano, mbunge anasema "wanapata shida ya maji, sio peke yao, na mimi nimo maana naishi hapahapa Tanzania (jimboni)". Anajitoa ufahamu kuwa yeye anaweza kununua na kuogea maji ya AFYA kwa kupitia booonge la mshahara apokeao kwa mwezi na maposho kedekede.
 
Dah.. Na unakuta kuna mamtu kwenye crowd akisema hivyo yanamshangilia kinoma
 
Kuna watu wanahisi huu mgao labda ni kitu cha muda mfupi, yani labda by December mambo yatakuwa shwari.

Hii imenikumbusha ile scene ya movie ya Rango ambapo Rango anakutanishwa na Mayor wa kijiji cha Dirt kwa mara ya kwanza.

Kijiji cha Dirt kimekuwa kina shida ya ukame na watu hawana maji kwa muda mrefu. Lakini Kumbe Mayor ambaye kazi yake ni kuwalinda wanakijiji na kuhakikisha wanapata maji ndiye aliyekuwa anayazuia maji na kuyamwaga sehemu ili wananchi wasipate.

Mayor anasema "You control the water, you control everything"

Rango alipofika ofisini kwa mayor alishangaa kukuta wananchi hawana hata tone la maji lakini mayor amejaza maji ofisini na anakunywa kama anasa.

Rango anamjibu "I guess power has its privileges"

(Ni kama hapa Bongo. unahisi hawa elites kuanzia Serikali kuu mpaka wabunge wanapata shida ya maji makwao??? Kama Hapa bongo akija kiongozi mkubwa tu kwenye ziara sehemu umeme na maji hayakatiki hata akikaa wiki, sembuse akiwa kwake?

Je hawa wabunge huwa wanajua wanachi wanavyoteseka? Au wanajua tunavyoteseka ila hawajali?
Maana kuna mawili, either hawajui au wanajua ila hawajali.

Na vyote ni very concerning.)

Mayor wa kijiji cha Dirt alikuwa anajua wananchi wake wanavyoteseka, alitoka nje kuwaangalia wananchi na anaendelea kusema "You see them mr. Rango? All my friends and neighbours? Its a hard life here, Very hard..But you know how they make it through and each every day?

They beleive. They beleive tha the water will come. They believe against all odds and evidence that tommorow will be better than today. People have to beleive in something Mr. Rango"

Sasa sisi watanzania hatuna utofauti na wanachi wa Dirt. Evidence zote plus Historia zinaonesha kuwa hakutakuwa na maisha mazuri kupitia CCM.

Lakini bado kuna watu wanamuomba Mungu wakiamini against historia yote + Evidence zote za matendo yao tunayoyaona kuwa tommorow will be Better. Kwamba somehow CCM italeta maisha mazuri kwa kila mtanzania.

Amini amini nawaambieni, huu mgao is here to stay.
Huu mgao upo sana mpaka mwaka 2025 late february maana tunajua tukiletewa maji na umeme hapo kufikia October mwaka huo tutakuwa tumeshasahau kama tulikuwa na mgao kuanzia 2022 na tutawachagua tena ili wakatimize ahadi zao walizotuahidi mwaka 2015.

Lakini pia kuweni makini, hiyo early 2025 sio kwamba itakuwa mgao umeisha kabisa..La hasha! itakuwa ni kama pause tu, au break ya wadhamini.
Early 2026 ngoma inogile tena.

Sasa kwenye movie ya Rango, Rango aliendelea kuwa shujaa na kuja kumuexpose Mayor kwa udhalimu aliokuwa anafanya na kurudisha Maji kwenye kijiji cha Dirt.

Je, hapa bongo Rango yupo?
Je, Nani ni Rango wa Tanzania?
Je ni wapinzani?
Je ni taasisi/nchi za nje kuingilia kati?
Je ni sisi wananchi wenyewe kuingia barabarani?
Au Rango bado hajazaliwa?

Mark my word, tunakaribia kuingia Mgao mkali, kama mvua zilinyesha na bwawa halikujaa vipi kuhusu kiangazi ambacho ndio kinaanza?
 
Back
Top Bottom