umaskini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Hili swala la bangi serikali iliangalie upya..kwa Sasa duniani bangi nibiashara kubwa mno ,tunajipa umaskini bila sababu !

    Hakuna kitu kinaniacha hoi kwa serikali kuruhusu pombe Kali ambazo zinaua watu zimejaa madukani!! Kama kitoko,k vant ,nyagi,john walker ,master,na nyingine kibao watu wanakauka mapafu ,afu inaenda kung'ang'ana na .. zao la bangi ambalo ni mmea TU ,biblia inayataja yote kama majani ya kondeni ...
  2. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Bila upendo na umoja ni ngumu sana kuuondoa umaskini kwenye familia

    "Bora mtu baki kuliko ndugu" Hii ni kauli maarufu sana nyakati hizi kwasbabu ya upendo wa wanafamilia wengi kupungua baina yao. Wanafamilia wamekuwa hawapendani na kupelekea umaskini kuzidi kushamiri. Kwanza tujue kuwa bila familia imara hakuwezi kuwa na taifa imara. Mafanikio ya taifa yanaanza...
  3. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Hakuna anayeupenda umaskini ila suala la kuzipata pesa za mauza uza hapana kwa kweli, wacha tuzisake kibishi turidhike na kidogo tunachokipata

    Hizo pesa za mauza uza hata waganga wanazikimbia ilhali wao wana uwezo wa kuzipata ila hawazitaki kabisa, hata mhitaji akifanikiwa kuzipata mganga anazikwepa. Mganga pale anakuwa ni dalali tu anaewaunganisha anaezitaka na majini. Huyo anaezitaka inabidi atoe kitu muhimu kwake kwa majini ili...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongeza muda mpango wa TASAF, zaidi ya kaya 173,076 zaondokana na umaskini

    NAIBU Waziri Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Deo Ndejembi amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali wanufaika wa mradi wa kunusuru kaya maskini (TASAF) kwa kuuongezea muda mradi huo hadi mwaka 2025 ambapo awali ulikua uishie mwaka 2023. Moja ya manufaa ya mpango huo ni kuendelea...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Tafuta hela, kutafuta taarifa za watu ni umaskini

    Watu wako busy sana na kufuatilia maisha na taarifa za watu. Muda ni rasilimali adhimu tena adimu. Muda ukikuacha huwezi kuupata tena. Kwanini unahangaika na maisha ya watu? Jali muda wako na uuheshimu. Muda unaourumia kwa umbea, majungu, na uzandiki , utumie kuzalisha mali na kuboresha maisha...
  6. kwisha

    JamiiForums Tanzania Hii kauli ya kusema Wazungu ndo chanzo cha umaskini Afrika ifuatwe

    Umaskini tuna utaka wenyewe ila Wazungu wanatumia madhaifu yetu kuwa opportunite yao, hata angekuwa wewe ndo Mzungu. Kwa akili zetu hizi wa Afrika za ubinafsi ni lazima ungetajirika. Kwa ufupi kinacho tufelisha wa Afrika ni ubinafsi wetu ndo una tufelisha tu. Na kingine sisi ni waoga saana...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Umaskini wa nchi za Afrika ni matokeao ya kukataa kukosolewa. Unapokosolewa ni afya kwa nchi yako. Kubali kukosolewa, badilika au achia ngazi

    Kwa asilimia kubwa mimi nawakubari wazungu.kwanza wanatumia akili sana kutatua mataizo yao tofauti na sisi wa Africa tunaotaka mambo yetu yote yaamliwe na mizimu (babu zetu wa kale) au Muumba wa mbingu na nchi.katika maandiko matatakatifu tunaambiwa """ watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa...
  8. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Tangu tumepata uhuru ni hayati Julius Nyerere na hayati John P. Magufuli waliujua kwa undani na umaskini wa watanzania wengi na kuwaonea huruma

    Julius alikuwa na huruma juu ya raia wa chini. Hakutaka wateseke na tozo, kodi, ada za shule na hata kuhangaika kupata chakula. Julius alipambana kila Mtanzania angalau asipate tabu sana ila mabeberu na vibaraka wa mabeberu walimkwamisha. Hayati John Pombe alipambana masikini wasihangaike...
  9. L

    JamiiForums Tanzania “VBA”mkoani Guizhou yaonesha mafanikio ya kupunguza umaskini vijijini nchini China

    Katika msimu wa joto uliopita, mashindano ya mpira wa kikapu ya vijijini katika wilaya ya Taijiang mkoani Guizhou, China yalivutia macho sana. Ingawa hakuna nyota na ufadhili wa kibiashara, mashindano hayo yaliyofanyika milimani si kama tu yamewashangza watazamaji wenyeji, bali pia yamefuatiliwa...
  10. Amina68

    JamiiForums Tanzania Kijana,usilie na ajira,beba vyeti vyako onana na waziri,(komaa nae) utaajiriwa, uoga wako ndio umaskini wako! Ila usiombe Pesa

    Habari wanajukwaa! Kijana,usilie na ajira,beba vyeti vyako onana na waziri,(komaa nae) utaajiriwa, uoga wako ndio umaskini wako! Njia hii unafanya kazi,na utapata kazi, siku zote usije jaribu kumtafuta waziri wa wizara ,ukamuomba pesa, Wewe beba vyeti vyako nenda, siku hizi ajira ni huruma na...
  11. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Siyo kweli kwamba wanawake tunapenda sana pesa, hatupendi umasikini

    Habari zenu wana nzengo? Wanaume wa leo wanatimiza miaka 50 wanakaa kwa baba na mama Wanaume wa leo hawatunzi wazee wao, wazee wanatunzwa na mabinti Wanaume wa leo hawatunzi nyumba zao, badala yake wako busy na kuhudumia michepuko. Wanaume wa leo wengi hawasomeshi watoto, watoto wanasomeshwa na...
  12. plan z

    JamiiForums Tanzania SoC02 Vijana tujiingize kwenye njia za kutengeneza pesa Mtandaoni Ili tuweze kujikwamua kutoka kwenye umaskini

    Ulimwengu wa sasa umebadilika tofauti na miaka ya nyuma na njia za kujiingizia kipato kwa nyakati hizi ni tofauti na kipindi cha nyuma. Zamani mtu unaweza kuamka huna hata shilingi kumi na ukatoka mtaani ukapata chochote na usilale njaa, lakini kwa nyakati hizi ukiwa katika hali hiyo unaweza...
  13. F

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ujasiriamali ni njia ya kujikwamua na umaskini kwa kutumia mtaji mdogo

    Unaweza kujikwamua au kujiajiri katika ujasiriamali kwa kutumia mtaji kidogo lakini kwq manufaa makubwa Mfano: Mimi nina bachelor ya masuala ya jinsia katika maendeleo ila bado sijapata ajira serikalini isipokuwa nimejiajiri katika shughuli za uuzaji uji kwa mtaji wa shilingi elf 70000/= kwa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Utekelezaji Ilani ya CCM umegeuka chanzo cha Umaskini, njaa na mateso Tanzania

    Wakuu mambo si mambo. Kila goti sasa litapigwa. Na kila neno lilokuwa halijasemwa sasa litasemwa. Ilani ya Chama cha mapinzduzi kama zilivyo ilani za vyama vingine vya kisiasa ndio hutoa picha halisi ya namna Nchi itakavyopiga hatua kimaendeleo na ktk nyanja zingine za maisha. Huwezi kupanda...
  15. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Kwanini umaskini na ujinga huenda pamoja?

    Wakati ambapo unawaza namna gani ujikwamue kutoka kwenye umaskini; kuna mwingine anawaza namna gani azidi kukukandamiza kutokana na umaskini wako! Hoja ya maskini mara nyingi huonekana kama ni malalamiko yasiyo na maana. Na hutafutiwa majibu ili kudhoofisha hoja hizo. Maskini (iwe ni mtu...
  16. maganjwa

    JamiiForums Tanzania Umaskini wa nchi yetu nani alaumiwe?

    Wadau nawasalimu Kwa jina la jamhuri ya muungano wa tanzania. Kazi inaendelea. Kichwa cha habari chausika. Naenda moja Kwa moja kwenye mada. Nawaza Sana hivi ni kwanini tangu tumepata Uhuru 1961 mpaka leo neno umaskini ndo kibwagizo chetu? Na mpaka leo tunaongea Maji Safi kijijini, shule...
  17. Theorist Mosses

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kodi nyingi ndani ya taifa bila malengo maalum ni chanzo cha umaskini

    Utangulizi Taifa letu ni miongoni kati ya nchi zinazo toza kodi kwenye biashara, uwekezaji na ajira. ikiwa na maana ya kwamba ni mpango endelevu utakao saidia kutatua changamoto mbalimbali za wananchi kupitia kwenye elimu, siasa, kilimo, sayansi na teknolojia. Kodi zinafaida na hasara, sheria...
  18. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Umasikini, mateso, wizi, mikanganyiko na unyanyasaji vinatokea CCM ikiwa Madarakani

    Baada ya kupata Uhuru wa Tanganyika, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliwatangazia watanganyika kwamba nchi yao ilikuwa na maadui watatu ambao ni Umaskini, maradhi na ujinga. Ili kuyaondoa hayo mambo matatu, pia Mwalimu akasema kuwa tunahitaji watu, Ardhi, siasa safi na Uongozi bora. Tangu...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Naingia kulima kahawa Makete

    Hapa wahaya, wanyakyusa na wachaga, wanyiha, wangoni nk nipeni experience ya kilimo cha kahawa , naingia makete serious kulima kahawa, soko la kahawa ni uhakika, though bei zinapanda na kushuka kutegemea msimu na msimu, kipi kigumu kwenye kilimo cha kahawa
  20. Poker

    JamiiForums Tanzania Kula dagaa ni umaskini au maharage, sasa mbona bei iko juu?

    Maharage kilo 2800 Dagaa kilo 8000 Sasa kwanini ukila unaonekana hohehahe?
Back
Top Bottom