Hili swala la bangi serikali iliangalie upya..kwa Sasa duniani bangi nibiashara kubwa mno ,tunajipa umaskini bila sababu !

Mganguzi

JF-Expert Member
Aug 3, 2022
1,032
2,769
Hakuna kitu kinaniacha hoi kwa serikali kuruhusu pombe Kali ambazo zinaua watu zimejaa madukani!! Kama kitoko,k vant ,nyagi,john walker ,master,na nyingine kibao watu wanakauka mapafu ,afu inaenda kung'ang'ana na .. zao la bangi ambalo ni mmea TU ,biblia inayataja yote kama majani ya kondeni . Bangi kwa Sasa ni biashara kubwa sana duniani inalipa na pesa yake Haina mbambamba, kwa Sasa kilo 20 ni laki tatu! Kilo mia ni kama 1.5 m afu tunaendelea kubanana kulima tumbaku ambayo inamadhara makubwa zaidi hata bangi yenyewe
 
leggalize it
20230119_213523.jpg
 
Wahusika bado mtazamo wao uko kwenye njozi ya "BANGI NIBANGUE....."
 
Back
Top Bottom