Hii kauli ya kusema Wazungu ndo chanzo cha umaskini Afrika ifuatwe

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Umaskini tuna utaka wenyewe ila Wazungu wanatumia madhaifu yetu kuwa opportunite yao, hata angekuwa wewe ndo Mzungu.

Kwa akili zetu hizi wa Afrika za ubinafsi ni lazima ungetajirika. Kwa ufupi kinacho tufelisha wa Afrika ni ubinafsi wetu ndo una tufelisha tu.

Na kingine sisi ni waoga saana kuchukuwa maamuzi pale tunapo ona kiongozi ana kosea. Na wamshukuru saana wenzetu wa Afrika ya Kati Burkina Faso na wengine wameanza kufanya mapinduzi wakiona nchi ina ongozwa kiupumbavu.

Waafrika wote tukiwa hivi hawa viongozi wetu wataanza kuwa na heshima na sisi. Watafanya mambo kwasababu ya nchi sio kwa ajili yao tu maana watajua kuomba uraisi ni sawa na kutowa maisha yako kafara.

Lakini sasa maraisi wetu ni wafalme una sikia watu wana sema ukimsema raisi vibaya kifungo jela kwani aliye mchangua huyo raisi na kumuweka madarakani nani?

Kama sio huyo unaye sema akisema raisi ni kifungo au adhabu

Africa peoples wake up
 
cucumber.jpg
 
Safi.

Inaonyesha wewe SI kijana wa hovyo.

Umeona mambo si sawa na unasema hivyo.

Hongera mkuu.

Kamwe usikubali kuwa chawa kisa tu umeahidiwa vijisenti ambavyo kesho vinaisha.
 
Back
Top Bottom