ulinzi

  1. T

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina awekewe ulinzi iwapo kweli tuna maana ya kupiga vita ufisadi!

    Watu waliojiapiza maisha yao, kufa au kupona, kuuwa ama kuuwawa, ni mafisadi! Ikiwa kweli mnamaanisha kupambana na watu hao hatari, anapotokea mtu mmoja kujitoa mhanga kuwataja hadharani watu hatari kama how, Sisi ambao tuko nyuma ya vita hiyo, jambo moja tu tunapaswa kufanya, Ni kumuunga...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nimesikitishwa kusikia wanasiasa wanawaza kubinafsisha utengenezaji wa mifumo ya TEHAMA ya vyombo vya ulinzi na Haki jinai kwa makampuni ya nje

    Baada ya ripoti ya CAG kuonyesha watumishi WA umma na mashirika yanayomilikiwa na serikali yameshindwa kufanya vizuri na hivyo kuiletea hasara nchi wanasiasa wapo busy kusoma ripoti na kutengeneza mahusiano ya kibiashara na makampuni ya Kigeni kuja kuchukua hizi fursa wapate ten percent Maeneo...
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania Jengo la Wizara ya Ulinzi mjini Moscow lachomwa moto

    Tutaongea lugha moja hivi karibuni.... A fire has broken out in the Defence Ministry building on Znamenka Street in the centre of Moscow. Source: Russian Kremlin-aligned news outlet TASS, citing emergency services Details: One of the buildings of the Russian Defence Ministry at 19 Znamenka...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali iko tayari kumuwekea ulinzi Ole Sabaya?

    Naandika hii si kwa ubaya, nia yangu ni njema kabisa. Zipo taarifa kwamba Ole Sabaya ameachiwa huru baada ya kukiri makosa, katika uleule mpango tulioutilia mashaka wa Plea bargain, Sabaya amekiri mbele ya Mahakama, pamoja na mengine mengi, amekiri kumsumbua kwa uonevu wa kumsingizia uongo...
  5. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Azimio wamtumia taarifa IGP Kenya kuomba ulinzi maandano ya Machi 27

    Muungano wa Azimo la Umoja nchini, Kenya umemwandikia barua Mkuu wa Jeshi la Polisi la nchi hiyo (IGP), Japhet Koome kumtaarifu kuhusu kufanya maandamano na maombi ya Kitaifa. Barua hiyo iliyosainiwa na mwenyekiti wa halmashauri kuu ya Azimio la Umoja, Dk Wycliffe Oparanya imeandikwa leo...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi, Bashungwa akagua zoezi la usafirishaji misaada kwa Malawi

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Lugha Bashungwa (Mb) ametembelea Ofisi za Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula Kanda ya Dodoma, kwa lengo la kujionea utekelezaji mzima wa zoezi la usafirishaji wa msaada wa chakula kwenda nchini Malawi. Zoezi hili linatekelezwa na Jeshi la...
  7. Lidafo

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa vijana kuwa na uzalendo na kufundishwa uzalendo wanapojiunga na majeshi ya ulinzi na usalama

    Kwanza nitoe pongezi kwa majeshi yote ya ulinzi na usalama kwa kazi nzuri wanayoifanya ya kulinda amani na mipaka ya nchi yetu, Huu ni mtazamo wangu kwa jinsi ninavyotazamia haya masuala ya ulinzi na usalama. Kuna jambo ambalo kama serikali inabidi ilizingatie kwa maslahi mapana ya taifa, Jambo...
  8. lufungulo k

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna usafirishaji wa Mabinti wadogo kwenye Mabasi kuja Dar es salaam ili watumikishwe kwa kazi za ndani. Serikali ilitazame hili

    Jana nimesafiri toka Gairo kuja Dar, kwa usafiri wa bus (jina kapuni) katika usafiri ule niligundua usafirishaji wa mabinti wa rika mbalimbali kuja mjini kwa ajili ya kazi za uyaya. Wengine ilitilisha hadi huruma maana ni wadogo mno, mpaka kuzusha mijadala ndani ya bus hilo. Alijitokeza mama...
  9. funaku

    JamiiForums Tanzania Teknolojia imetuweka uchi, Taarifa zetu binafsi zipo ughaibuni. Sera ya Ulinzi wa taarifa ipitiwe

    Bila shaka kama nchi tumekuwa out-paced na ukuaji wa teknolojia ya mawasiliano na mitandao ya kijamii. Leo hii kila mtanzania ikiwemo viongozi,vyombo vya serikali ikiwemo vya ulinzi na usalama wapo watsapp, tiktok, google, Instagram n.k. Mawasiliano yote au almost yote katika shughuli za...
  10. funaku

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Makamu wa Rais Kamala Harris nchini Tanzania, mifumo ya ulinzi nchini isiingiliwe na Marekani

    Tunafurahi kwa diplomasia nzuri ya kufungua nchi kwa dunia. Jitihada kubwa inayofanywa na mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kurejesha mahusiano na mataifa mbalimbali hususani ya Magharibi sio ya kubezwa ...ni jitihada kubwa na leadership style ya kipekee ambayo inaleta manufaa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Urusi inavyonyanyasa ulinzi wa anga wa Marekani nchini Ukraine uitwao Patriot Air Defense System

    Wakati Marekani imeamua kupeleka Patriot nchini ukraine ikasemekana kuwa muarobaini wa mashambulizi ya anga ya urusi nchini ukraine umepatikana!! Kumbe hakuna kitu! Patriot ni kama midoli tu mbele ya Kinzhal hypersonic missile system. Russian forces have delivered a massive missile strike on...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Hussein Bashe aagiza Mshindo Msola akamatwe

    Wazir wa Kilimo ameagiza Mshindo Msolwa na wafanyakazi wengine wanosimamia ghala la kuhifadhi Mbolea wakamatwwe baada ya kubainika wamehifadhi mchanga unaofhaniwa unatumika aidha kama bosheni au kuchakachua Mbolea inayopelekwa Kwa wakulima. Mifuko zaidi ya 700 imekutwa ndani ya ghala Hilo...
  13. HERY HERNHO

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi wa Urusi atembelea mstari wa mbele wa vita

    Waziri wa Ulinzi wa Urusi, Sergei Shoigu, amefanya hii leo ukaguzi wa vikosi kwenye uwanja wa mapambano mashariki mwa Ukraine, wakati mapigano yakiendelea viungani mwa mji wa mashariki wa Bakhmut. Wizara ya ulinzi imesema leo kuwa Shoigu alikagua kituo cha uratibu katika mkoa wa kusini wa...
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Drone za Ukraine zaanza kujongea Moscow, anga ya Urusi wazi bila ulinzi

    Hii imewashangaza sana Urusi kwa drone kukaribia Moscow bila kugunduliwa...... Drones that the Kremlin said were launched by Ukraine flew deep inside Russian territory, including one that got within 100 kilometers (60 miles) of Moscow, signaling breaches in Russian defenses as President...
  15. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Kuna Haja ya Mataifa Kuzidisha Mapambano Dhidi ya Usafirishaji Haramu wa Binadamu

    Hivi karibuni matukio ya usafirishaji haramu yameonekana kuzidi kushika kasi na kuibuka katika mazingira ambayo watu wengi wasingeweza kudhani. Makala ya hivi karibuni iliyorushwa na kituo cha televisheni cha BBC ilionesha jinsi baadhi ya watu wenye ulemavu wanavyorubuniwa na kupelekwa nchini...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini ajira za ulinzi wanataka waliopita JKT pekee

    Wakuu habar za mda? Hvi ni kwanini ajira nyingi za vyombo vya ulinzi wanahitaji watu waliopita JKT na JKU (kwa Zanzibar)? MTaani wapo vijana wengi waliosoma na hata ambao hawana elimu ambao hawakubahatika kupita jkt&jku kwa sababu tofauti tofauti, na wana penda kujiunga na vyombo vya ulinzi na...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Ulinzi wa viongozi nani alitudanganya?

    Ipo tofauti kati ya ulinzi, usalama na maonyesho ya ulinzi. Kiongozi mtaani kwenye uwanja wa vita. Kiongozi mtaani nchini kwake. Kwamba hatuna ya kujifunza ila labda wajifunze kwetu? Siyo siri kuna mahali tuna kwama. Kwa hakika baada ya CCM yapo mengi ya kuwekwa sawa.
  18. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Serikali itasimamia na kulinda Uhuru wa Kujieleza

    Serikali kupitia Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye imesema, inakusudia kuvifanya vyombo vya habari nchini kufanya kazi kwa uhuru na kwamba, haitaviingilia kwenye uhuru wao. Waziri Nape amesema, Marekebisho ya Sheria ya Huduma za Habari yaliowasilishwa bungeni...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi Ina Maana Gani Kwako Kama Mwananchi?

    Hatimaye Tanzania imepata Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, sheria ambayo imekuwa ikipigiwa chapuo na wanaharakati wengi wa masuala ya haki za binadamu waliokuwa wanataka sheria hiyo iwepo ili taarifa binafsi za watu ziweze kuwa salama. Mnamo Januari 31, 2023, Spika wa Bunge Tulia Ackson...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Upepo kisiasa umebadilika, Lissu aongezewe ulinzi

    Siyo siri tena kuwa tangia kurejea nchini kwa mwanasiasa TAL, hali ya kisiasa nchini imebadilika kabisa. Haipo shaka kuwa huyu ndiye mwanasiasa anayefuatiliwa zaidi kwa sasa hapa nchini na makundi yote. Humo wamo wafuasi wa chama chake na hata wafuasi wa vyama hasimu, chawa na viongozi wao bila...
Back
Top Bottom