Nimesikitishwa kusikia wanasiasa wanawaza kubinafsisha utengenezaji wa mifumo ya TEHAMA ya vyombo vya ulinzi na Haki jinai kwa makampuni ya nje

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,106
Baada ya ripoti ya CAG kuonyesha watumishi WA umma na mashirika yanayomilikiwa na serikali yameshindwa kufanya vizuri na hivyo kuiletea hasara nchi wanasiasa wapo busy kusoma ripoti na kutengeneza mahusiano ya kibiashara na makampuni ya Kigeni kuja kuchukua hizi fursa wapate ten percent

Maeneo yanayonyemelewa Kwa Kasi na wanasiasa ni pamoja na sekta ya TEHAMA ambapo Mawaziri na wabunge wanaangaika kugawana sekta za serikali kuondoa makampuni ya utoaji huduma ya wazawa yaliyopo na kuleta makampuni ya Kigeni.

Mtakumbuka mara ya mwisho wakati Mhe. Rais akizindua kamati itakayoratibu mchakato WA kupata maoni kuhusu Haki jinai alitamani vyombo vinavyotoa Haki jinai kutumia technology kuweka kumbukumbu na kutenda haki.....pamojana na ukweli kwamba baadhi ya taasisi tayari zina mifumo ikiwemo mahakama lakini wapo watu wanatafuta kuondoa kandarasi na mifumo inayosimamiwa na e- Government pamoja na taasisi za kijeshi nakuleta wageni waje kusanifu, kufunga, kuendesha na kusimamia mifumo hii kupitia kinachoitwa uwekezaji.

Baadhi ya watu wanaotengeneza na kuchampioni makampuni ya Kigeni yaje nchini wapo Mawaziri na manaibu waziri ambao Hadi sasa onasemekana tayari wametengeneza kampuni, wamenunua hisa za makampuni au wamewaelekeza ndugu zao kununua umiliki WA kamapuni wakiamini wanakwenda kufrastrate kampuni zilizopo serikali ivunje mkataba wapewe wao.

Yapo madhara yakubinafsisha sekta ya TEHAMA Kwa sekta binafsi hasa za nje, moja ya madhara makubwa Kwa nchi nikuuza uhuru. Ukiweza kukabidhi taarifa zako nyeti nje ya nchi means umeshauza Uhuru wako.

Tunapotaka kufanya reform tunapaswa kuwapa nguvu taasisi za ndani kuliko taasisi za nje. Ikumbukwe Leo hii kampuni nyingi za TEHAMA Duniani zinauza technology 100% na hivyo serikali ikiwekeza kununua technology huku ikiwawezesha watendaji WA ndani itasiadia Sana kupunguza uvujaji wa taarifa za nchi.

Maoni yangu Kwa Mhe. Rais , anapowaza kubadili mfumo wa Haki jinai asiwekeze kuleta private sekta kutoka nje, aviwezeshe vyombo vya dola kusimamia TEHAMA Tanzania.

Majeshi ya nchi zote zilizoendelea na zilizoendelea ni wazalishaji wakuu WA maafisa TEHAMA. Ukikosa wataalam wa TEHAMA huna Siri na ukikosa usiri kwenye taarifa huna Taifa.

Niombe Mhe. Rais anza kufanya uchunguzi utagundua mikataba mingi ya TEHAMA iliyoinhiwa huko nyuma hakuna USIMAMIZI wala uwajibishwaji WA waliopewa kandarasi. Viongozi wengi waandamizi Bila kujali mabilioni ambayo serikali imewekeza wanataka kuvunjwa Kwa makitaba ya zamani ili wao wapewe mikataba mipya. Nikuombe uwaelekeze wote wenye kandarasi za TEHAMA wakabidhi mifumo husika Kwa watendaji wa ndani kama ilivyokuwa Sera ya JPM na upige marufuku uuzaji WA kandarasi nje Kwa zile kandarasi ambazo Jeshi na E-Ga wanaweza kuzifanya.

Kwa namna yoyote Ile kampuni za nje kuja kuwekeza kutengeneza na kusimamia mifumo nyeti ya TEHAMA nchini hakuna afya. Bora tuchelewe kufika lakini tufike tukiwa salama. Mifumo yetu ya Jeshi la Polisi, NIDA, mifumo ya magereza, mifumo ya Jeshi la Ulinzi , Uhamiaji na TRA tuamue kwa pamoja kwamba vijana wetu waliopo kwenye majeshi na ndani ya e-GA wanaweza kusimamia na kutengeneza mifumo hii.

Taifa limesomesha vijana wengi Sana, inatia mashaka tunapoona kazi ambazo Watanzania na vyombo vyake vya dola wanapaswa kufanya tunakabidhi makampuni ya nje Kwa fedha nyingi huku tukiwa na vijana wenye taaluma wasio na ajira.

Lini vyombo vyetu vitaweza kujisimamia? Hawa vijana tunaozalisha vyuoni wanafanya kazi gani? Kwanini Jeshi la polisi lisitengeneze mfumo wake wa upelelezi? Kwanini mahakama isifanye hivyo? Mifumo ya kutoa file point A kwenda B tunahitaji kwenda kumkabidhi mchina au mmarekani? Upo wapi Uhuru wetu?

Nimesema niyaseme haya baada ya kuona mjadala au Kasi kubwa ya makampuni ya nje kutuma watu huko nyumbani kuja kusaka tenda baada ya kubaini mwezi MEI Mhe. Rais atapokea ripoti ya Haki Jinai kama alivyoelekeza.
Makampuni mbalimbali Naona yanafukuzia mchongo wa mifumo ya TEHAMA wakiamini kwamba baada Tu ripoti ya Haki Jinai kupokelewa Mhe. Rais atalekeza zitangazwe tenda za kutengeneza mifumo ya TEHAMA. Lakini tujiulize, tunahitaji kuwaleta wazungu na wachina kuja kutengenezea mfumo wa kuratibu Haki jinai? Taifa lenye watu milioni sitini tumeshindwa kuzaa watoto wakutengeneza elekronic filing system? Tumeshindwa kuzalisha wataalam wakutengeemneza databases?

Mhe. Rais kama kuna eneo tunapaswa kuwaaminisha vijana wetu kwamba wanaweza na kuwapa Uhuru NI eneo la TEHAMA. Tusipowapiga mafuruku wanasiasa kuwaza tenda wapate fedha tutauza nchi. Uhuru wetu upo kwenye technology..........

Naamini hata tume ya Haki Jinai itaona na kushauri Kwa upeo huu huu niliona Mimi. Tunahitaji Uhuru, vijana wetu wanaweza kutuweka huru tukiwaamini. Majirani zetu Taifa dogo wameachana na ten percent za wanasiasa Leo hii wanatishia ulinzi wa ukanda wetu Kwa Sababu wanao usiri mkubwa. ......Mwalimu Nyerere alitufunza kutunza Siri, tunapokutana na mabadiliko ya teknologia tuwaandae wanetu waendelee kutunza Siri.
 
Wanafuta tu falsafa ya saa100. Samia ni mvivu sana kila sekta ikikwama option inayokuja kichwani mwake ni ubinafsishaji .siju hatujufinzi tu huko nyuma ubinafsishaji haujawahi kuleta faida kwwnye nchi kwa mfano lukuki tu TRC
 
Wanaelekea kubaya kama wanachokoza Majeshi.
 
Majeshi yetu ya kupasua matofari ya mchanga yawe na technology ipi kwa mfano kiwanda tu Cha Nyumbu kimeshindwa kutengeneza hata magari ya raia miaka Kenda miaka rudi tumebaki kuagiza magari used toka Japan.

Mwafrika hawezi kujitawala"Botha
 
Nasisitiza.
I second
 
Yapo madhara yakubinafsisha sekta ya TEHAMA Kwa sekta binafsi hasa za nje, moja ya madhara makubwa Kwa nchi nikuuza uhuru. Ukiweza kukabidhi taarifa zako nyeti nje ya nchi means umeshauza Uhuru wako
Uhuru upi huo? Kama tu Russia inaweza infiltrate mifumo ya TEHAMA USA unadhani hawawezi Tanzania? Huduma za TEHAMA hazina uhusiano wowote na kuuza uhuru, wao Wana design mfumo nyie na IT wenu mtauendesha labda wanakuja tu kufanya maintenance. Hata silaha mnanunua kwao, Radar mmenunua kwao, ila eti mfumo ndio kuuza uhuru? Una akili kweli?
Tunapotaka kufanya reform tunapaswa kuwapa nguvu taasisi za ndani kuliko taasisi za nje.
Taasisi zipi za ndani? Hizi za mafisadi ambao Kila siku wanakula Hela?! Niambie tu taasisi Gani hata Moja ya serikali inaaminika kutumia pesa zake kwa usahihi? Hata hao JWTZ wamewahi kuhusika kwenye ufisadi huko nyuma ila Kwa heshima Yao mjadala haukujadiliwa conclusively bungeni.
 
Wanafuta tu falsafa ya saa100. Samia ni mvivu sana kila sekta ikikwama option inayokuja kichwani mwake ni ubinafsishaji .siju hatujufinzi tu huko nyuma ubinafsishaji haujawahi kuleta faida kwwnye nchi kwa mfano lukuki tu TRC
Nitajie taasisi Moja tu ambayo Bado ipo serikalini na inaleta faida au tija kwa umma? Hivi unadhani NIDA angepewa mtu binafsi tender ya kuchapisha kadi unadhani tungekua hatujapata.

Utasema usalama!! Mbona watu wanahonga hta wasio raia na wanapewa vitambulisho?. Tatizo tunadhani vitu kumilikiwa na state ndio uzalendo na private sector ndio ufisadi. Hoja iwe mwekezaji mwenye tija ila sio eti ubinafsishaji ni mbaya. It can't be worse than TRC iliyo chini ya serikali na unaweza ona ufisadi unaofanyika huko.
 
Nauliza hap wazalendo wana operating system ya kurun mifumo yao. Wanatengeneza hardware zozote? Kama software za kurun mifumo yao wanazitolea huko kuna shida gani mifumo ikitokea huko.
 
Wanafuta tu falsafa ya saa100. Samia ni mvivu sana kila sekta ikikwama option inayokuja kichwani mwake ni ubinafsishaji .siju hatujufinzi tu huko nyuma ubinafsishaji haujawahi kuleta faida kwwnye nchi kwa mfano lukuki tu TRC
Sasa mwenzako kawasilisha hoja kwa utulivu na heshima kabisa kwa kumuomba Mhe. Rais alitupie jicho jambo hilo wewe unakuja na maneno magumu yasiyo na hekima. Si ungechangia kwa ustaarabu uleule. Rais wa nchi unamuita 'mvivu?' Tutumie vizuri uhuru wetu wa maoni. Nampongeza mleta hoja ana hoja na maombi mazuri kwa Mhe. Rais. Naamini Rais wetu ni msikivu.🙏🙏🙏
 
Hivi kwa dunia ya sasa na technologies issues kuna cha kuficha kweli tena kwa nchi km Tanzania.

Maana hatuna unachozalisha kwenye ict km nchi. Mifumo yote iliyopo ni adopted kutok nje.

Ubinafsishaji ni mzuri sana km tuyawapa watu wenye weredi na uwezo kusiwe na janjajanja.
 
Usiishie kusikitika tu, bali tuambie ulitaka wafanye nn wakati vijana mmejikita kwenye betting, kudanga na u-marioo?
 
Back
Top Bottom