Waziri wa Ulinzi wa Urusi atembelea mstari wa mbele wa vita

HERY HERNHO

Member
Mar 4, 2022
70
313
Waziri wa Ulinzi wa Urusi, Sergei Shoigu, amefanya hii leo ukaguzi wa vikosi kwenye uwanja wa mapambano mashariki mwa Ukraine, wakati mapigano yakiendelea viungani mwa mji wa mashariki wa Bakhmut.
Wizara ya ulinzi imesema leo kuwa Shoigu alikagua kituo cha uratibu katika mkoa wa kusini wa Donetsk, bila kutaja mahala rasmi au wakati kamili wa ziara hiyo.

Katika video iliyochapishwa na wizara hiyo, Shoigu ameonekana akitoa medali kwa wanajeshi wa Urusi.

Maafisa wakuu wa jeshi la Urusi wamekuwa wakitembelea mara chache maeneo ya uwanja wa vita tangu walipoivamia Ukraine mwaka mmoja uliopita.

Shoigu, ambaye amehudumu kama waziri wa ulinzi tangu mwaka 2012, amekuwa akikosolewa vikali kwa utendaji wake katika vita hivyo.
2023-03-04T065744Z_457762759_RC2UMZ96RKVR_RTRMADP_3_UKRAINE-CRISIS-RUSSIA-SHOIGU.jpeg
 
Waziri wa Ulinzi wa Urusi, Sergei Shoigu, amefanya hii leo ukaguzi wa vikosi kwenye uwanja wa mapambano mashariki mwa Ukraine, wakati mapigano yakiendelea viungani mwa mji wa mashariki wa Bakhmut.
Wizara ya ulinzi imesema leo kuwa Shoigu alikagua kituo cha uratibu katika mkoa wa kusini wa Donetsk, bila kutaja mahala rasmi au wakati kamili wa ziara hiyo.

Katika video iliyochapishwa na wizara hiyo, Shoigu ameonekana akitoa medali kwa wanajeshi wa Urusi.

Maafisa wakuu wa jeshi la Urusi wamekuwa wakitembelea mara chache maeneo ya uwanja wa vita tangu walipoivamia Ukraine mwaka mmoja uliopita.

Shoigu, ambaye amehudumu kama waziri wa ulinzi tangu mwaka 2012, amekuwa akikosolewa vikali kwa utendaji wake katika vita hivyo.
View attachment 2536813
Kaenda kuwapongeza na kuwatia mzuka, nawaonea huruma sanaaa wa NATO
 
kwann asiende Putin kama Zele anavyofanyaga tangu wakiws Kyiev , kwa attitude ya Putin siku vita ikitua hata St.Petersburg anaeza ikimbia Urusi
 
Cha msingi hajashindwa vita, Hata angekuwa urusi anapambana na Tanzania vita isingekuwa rahisi.Tuachage ushabiki.
duh kutoka Kyiev had huko mashambani bado mnataka kuisifu Urusi ? Hata Marekan hajawai rudishea nyuma hv baadaya kufika mji mkuu
 
Waziri wa Ulinzi wa Urusi, Sergei Shoigu, amefanya hii leo ukaguzi wa vikosi kwenye uwanja wa mapambano mashariki mwa Ukraine, wakati mapigano yakiendelea viungani mwa mji wa mashariki wa Bakhmut.
Wizara ya ulinzi imesema leo kuwa Shoigu alikagua kituo cha uratibu katika mkoa wa kusini wa Donetsk, bila kutaja mahala rasmi au wakati kamili wa ziara hiyo.

Katika video iliyochapishwa na wizara hiyo, Shoigu ameonekana akitoa medali kwa wanajeshi wa Urusi.

Maafisa wakuu wa jeshi la Urusi wamekuwa wakitembelea mara chache maeneo ya uwanja wa vita tangu walipoivamia Ukraine mwaka mmoja uliopita.

Shoigu, ambaye amehudumu kama waziri wa ulinzi tangu mwaka 2012, amekuwa akikosolewa vikali kwa utendaji wake katika vita hivyo.
View attachment 2536813
Mbona kama yuko Manzese
 
Back
Top Bottom