ulinzi

  1. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tundu Lissu afunguka, mkataba wa Bandari na DP World umekiuka sheria ya ulinzi wa rasilimali. Ni sheria aliyoipambania Hayati Magufuli

  2. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tuhuma za JWTZ kupiga raia huko Kawe: Tunaomba Waziri wa Ulinzi ajitokezee kukemea, kulaani, na kukataza jeshi kujichukulia sheria mkononi

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Ndugu wanaJF wenzangu, nafikiri wengi wetu hapa JF tumesikia, tumesoma na wengine kuona kile kinachosemekana kufanywa na jeshi letu, ambalo tumelipa jina la "Jeshi la Wananchi wa Tanzania. Jeshi hilo tulilipa jina hilo kwa kuamini kwamba, jeshi hilo limeundwa kwa...
  3. matunduizi

    JamiiForums Je, mfumo wa ulinzi wa anga lsrael "Iron Dome" hauaminiki tena?

    Mfumo huu ambao unaaminika kuwa bora na wenye ufanisi mkubwa katika siku za hivi karibuni umeonyesha shaka. Mfumo huu ulibuniwa na kampuni ya kizawa Rafael advanced system 1: Hamas waliporusha makobora Tel aviv mengi kwa mkupuo battery za Iron dome zilichoka na ikabidi wafanye recharging. 2...
  4. J

    JamiiForums Utapeli Mitandaoni wakithiri Morogoro na Rukwa

    Nimesoma Report ya TCRA Nimeona uzembe mkubwa sana unafanywa na serikali za maeneo ya Rukwa na Morogoro, Kwa karibu kila report yao TCRA , mikoa inayoongoza kwa Utapeli ni Rukwa na Morogoro Kuna nini maeneo haya? 1.Wananchi wake hawana elimu nzuri ndio maana wanatapeliwa kirahisi? 2.Vyombo vya...
  5. J

    JamiiForums Waziri wa Ulinzi China, Li Shangfu afutwa kazi

    Rais Jinping amemfuta Kazi Waziri wa Ulinzi Li Shangfu bila kueleza sababu Baraza la Mawaziri la China litaendelea kufanyiwa mabadiliko kulingana na wakati tulionao, amesema Rais Jinping ----- China’s Defense Minister Li Shangfu was fired on Tuesday two months after he disappeared from...
  6. M

    JamiiForums Ushauri kuhusu mbwa anayefaa kwa ulinzi

    Nimepata mahal;i pa kununua mbwa wazuri wa kisasa. Wote ni wazuri na ninaomba ushauri nichukue breed ipi. Kuna pure German shepherd, pure Belgian Malinois, na cross ya Pure German shepherd (jike) na Pure Belgian Malinios (dume)!! Ukiwatazama kwa macho ni vigumu kutofautisha yupi ni yupi! Ila...
  7. R

    JamiiForums Kamati ya Ulinzi na usalama wilaya na Mkoa ina mamlaka ya kisheria kugawa ardhi?

    Je, sheria ya ardhi kuna Sehemu inamtaka mkuu wa Mkoa au Wilaya na kamati zao za ulinzi na usalama wana mamlaka yakumilikisha watu ardhi? Je, kuna mjumbe wa kamati hizi ambaye ni mtaalam wa ardhi? Je, sheria inatamka kwamba migogoro ya ardhi itatatuliwa na hizo kamati za ulinzi na usalama au...
  8. MK254

    JamiiForums Urusi: Ndege tatu za kijeshi zalipuliwa zikiwa uwanjani

    Yaani hali imekua ya hatari sana maana humo jeshini Urusi kuna wanajeshi wanahujumu moja kwa moja, ndege za kijeshi zilizokua chini ya ulinzi mkali zimetegeshewa mabomu na kulipuliwa uwanjani Moscow. ========= Defence Intelligence of Ukraine has reported that two Russian aircraft and a...
  9. W

    JamiiForums Nini kazi ya Jeshi la Ulinzi?

    Wakati wa Merchantalism, Nchi za ulaya zilitumia sana Jeshi kutoa ULINZI kwa wafanya biashara na misafara Yao iliyozinguka duniani kote kukusanya vitu vya thamani ambavyo vilikuwa muhimu kwa ustawi wa mataifa Yao. Kwenye Colonialism naona Hali ni sawa, wazungu kwalitumia Jeshi lao kupata...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Polisi Mbeya: Ulinzi waimarishwa kuelekea uchaguzi mdogo wa Ubunge Mbarali

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limejipanga vyema kuimarisha ulinzi na usalama kuelekea uchaguzi mdogo wa ubunge katika jimbo la Mbarali. Akizungumza na vyombo vya habari leo Septemba 18, 2023 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi wa Polisi Benjamin Kuzaga amesema, "Vikosi vyote vya...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania, Msumbiji zakubaliana kuendelea kushirikiana katika masuala ya Ulinzi na Usalama

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax akizungumza baada ya kufunga Mkutano wa ulinzi na Usalama baina ya Tanzania na Msumbiji uliofanyika kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, amesema: Tulikuwa na kikao cha tano cha Kamati ya Pamoja ya...
  12. Z

    JamiiForums German Sherpherd: Mbwa wenye akili kubwa ya ulinzi

    HUyu ndiye German Shepherd (Pure breed) Mbwa mwenye akili kubwa sana ya ulinzi. Ana kiwango kikubwa sana cha kufundishika.
  13. L

    JamiiForums Mchango wa China kwenye operesheni za ulinzi wa amani barani Afrika utaendelea kuwa muhimu

    Katika miaka ya hivi karibuni hali ya usalama katika baadhi ya maeneo ya Afrika imekuwa na utatanishi, na utulivu uliokuwepo kwa miongo miwili au mitatu iliyopita, sasa unaonekana kuwa mashakani. Iwe ni mgogoro unaondelea nchini Sudan pamoja na ule wa jirani yake Sudan Kusini, au wimbi jipya la...
  14. Mwanamwana

    JamiiForums KWELI Pamoja na Ulinzi mkali jumba la kifalme Uingereza, kuna mwamba alipenya mpaka chumbani kwa Malkia Elizabeth

    Wote mnaweza kufikiria ni namna gani mtu asiye mkazi au mfanyakazi au mwenye appointment kwenye makazi rasmi ya Malkia wa Uingereza angeweza kupenya bila kuonekana, akafanikiwa kuingia ndani ya jumba hilo, akapiga misele kidogo, akaingia ofisi ya Malkia Elizabeth kufyonza mvinyo maalum wa...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Makatibu Wakuu SADC wakutana kwa dharura kujadili hali ya ulinzi na usalama DRC

    Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Kamati ya Utatu ya Makatibu Wakuu wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) uliofanyika kwa...
  16. makame clan

    JamiiForums Natafuta mtu anayehitaji kuanzisha kampuni ya ulinzi

    Habari! Jamani natafuta mtu anaehitaji kuanzisha kampuni ya ulinzi. Ninayo leseni lakini sina mtaji natafuta mtu mwenye mtaji tufanye partnership Kama umekuwa interested Mawasiliano. 0672650624
  17. Jackal

    JamiiForums Urusi yahamisha mifumo ya ulinzi wa anga toka kisiwa inachogambania na Japan cha Kuril kupeleka kwenye mpaka na Ukraine

    My take: Baada ya mambo kuwa magumu kwenye vita vyake na Ukraine, kupoteza silaha nyingi,Urusi yaanza kuhamisha silaha toka maeneo mengine kupeleka frontline dhidi ya Ukraine.Njia rahisi ya kumaliza vita,ni Putin kuondoka Ukraine,ikiwemo Crimea 🤔 .... Russia has taken away anti-aircraft missile...
  18. Zacht

    JamiiForums Rais wa Cameroon afanya mabadiliko kwenye Bunge na Wizara ya Ulinzi

    Huku mapinduzi yakizidi kuenea ukanda wa Afrika Magharibi, Rais wa Cameroon bwana Paul Biya mwenye umri mwenye miaka 90 amelifanyia mabadiliko Bunge pia amefanya mabadiliko makubwa katika Wizara ya Ulinzi. Hivi karibuni ameteua watumishi wapya katika huduma za ndani na nje za Wizara. Biya...
  19. Victoire

    JamiiForums Gabon: Jeshi lamtangaza Jen. Nguema kuwa Rais wa Mpito, alikuwa Kiongozi wa Kikosi cha Ulinzi wa Rais

    Haya kumekucha Gabon, Brice ambae ndo alikuwa mkuu wa ulinzi wa Rais ndo kawa Rais. Kwa uchunguzi wangu ,huyu Nguema ni binamu wa Ali Bongo. Na Ali Bongo alimpa kazi maalum ya kumuandaa mtoto wa kwanza wa Ali Bongo anaeitwa Valentin ili aje kuwa Rais. Naona Brice kaamua, no way kwanini aandae...
  20. BARD AI

    JamiiForums Serikali yafuta mapendekezo ya kuzifanyia Marekebisho ya Sheria zinazohusu Umiliki wa Maliasili

    Serikali imeyaondoa mapendekezo yaliyopelekwa Bungeni ya kufanya marekebisho ya sheria ya Sheria ya Mamlaka ya Nchi Kuhusiana na Umiliki wa Maliasili ya mwaka 2017 na Sheria ya Mapitio na Majadiliano Kuhusu Masharti Hasi Katika Maliasili ya nchi ya mwaka 2017 kuwa zisitumike katika miradi ya...
Back
Top Bottom