ulaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Graduate wa chuo, tafuta documents zifuatazo omba passport ya kusafiria nenda Ulaya ukapate ramani ya maisha yako

    Mchanganuo wa Nyaraka za zinazohitajika kwa anayetafuta Pasipoti ya Kusafiria Kwa Safari ya Ulaya na Kuweka Mipango ya Maisha. Kabla ya kuanza safari yako ya Ulaya na kuanza hatua mpya ya maisha yako, unahitaji kuwa na nyaraka sahihi zinazohitajika wakati wa kuomba pasipoti ya kusafiria. Hizi...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tetesi za usajili Ulaya kabla ya dirisha kufungwa Septemba 1, 2023

    Dirisha la usajili Ligi Kuu kubwa Ulaya linatarajiwa kufungwa Saa 5:59 Usiku wa Septemba 1, 2023, kuna taarifa nyingi kuhusu usajili, hizi ni baadhi Chelsea ina nafasi kubwa ya kumsajili kiungo wa Brighton, Moises Caicedo (21) kwa Pauni Milioni 115 (Tsh. Bilioni 364) ambaye pia anawaniwa na...
  3. music mimi

    JamiiForums Tanzania Vyuo Ulaya au America vinavyotoa certificate kwa ada nafuu

    Ndugu zangu naomba mnisaidie majina ya vyuo ulaya au US vyenye ada nafuu kwa kozi za muda mfupi. Viwe kwenye European Union kwa ulaya kama Scandinavia etc. Nataka nipambane nikasome majuu.
  4. R-K-O

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Katika muhula wa kwanza wa Hayati Rais Magufuli Tanzania haikuwahi kupokea msaada wa kifedha kutoka kwa nchi yoyote

    Ni kipindi nakumbuka Mwamba aliibatiza jina nchi kuwa donor country (nchi inayotoa misaada) na kuna usemi kwamba Tanzania tulijihudumia bila misaada ya wazungu tulijibana bana tule kwa urefu wa kamba ndio maana hata vyuma ilibidi vikazwe. Palikuwa pana ukweli?
  5. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Bomba la Ges toka Nigeria- Ulaya unaenda kuikosti Niger?

    Wachambuzi wa mambo wamejikita katika upatikanaji Uranium huko nchini Niger kwa kusema France atalazimika kuingiza jeshi kusuport ECOWAS kuipiga NIGER kama jeshi la nchi hiyo halitomrejesha Rais aliyepinduliwa. Licha yakuwa Niger ni mzalishaji mkubwa mmojawapo wa Uranium dunian ila bado Ulaya...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya watishia Kuifungia Twitter, Snapchat na Tiktok endapo zitatumika kuhamasisha Machafuko Mtandaoni

    Majukwaa ya mitandao ya kijamii kama vile TikTok na Snapchat yatakabiliwa na uwezekano wa kuzimwa kama haitashughulikia maudhui yenye matatizo wakati wa ghasia chini ya sheria ya maudhui ya Umoja wa Ulaya. Kamishna wa Ndani Thierry Breton, amesema hayo wakati akijibu mahojiano ya redio ya...
  7. political monger senior

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya soka la Afrika: Guélor Kanga kukutana na kamati ya nidhau kuhusu sakata la umri wake

    Mchezaji wa timu ya taifa ya Gabon Guélor Kanga Kaku atakutana na kamati ya nidhamu ya CAF kueleza kwa nini mama yake alifariki mwaka 1986 lakini yeye alizaliwa 1990. [emoji20]
  8. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Marekani na nchi za Umoja wa Ulaya zimepinga Azimio la UN la kukataza watu kuchoma Quran

    Umoja wa kimataifa, UN imepitisha azimio lililopigwa na nchi za Marekani na Umoja wa ulaya la kuzuia uchochezi na ubaguzi wa kidini hasa uchomaji wa Quran. Azimio hilo limekuja baada ya mwezi uliopita raia wa Iraq kuchoma Quran nje ya msikiti mkuu wa mjini Stockholm Sweden na kuchomea...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yatunukiwa tuzo ya kimataifa ya ubora na Taasisi ya Umoja wa Ulaya

    Benki ya CRDB kwa mara nyingine imetunukiwa tuzo ya kimataifa ya ubora na Taasisi ya Umoja wa Ulaya ijulikanayo kama ESQR (European Society for Quality Research). Tuzo hiyo imetolewa Jumapili, t Julai 9, 2023 jijini Brussels Ubeligiji, yalipo makao makuu ya Umoja wa Ulaya ambao hivi karibuni...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Rais wa kwanza shoga kutoka Ulaya aapishwa huko Latvia

    Kweli jamii zetu hutofautiana sana kimtizamo. Je tunaelekea huku na sisi siku moja? Huyo anaitwa Edgar Rinkevics, ametumikia muda mrefu (tangu 2011) kama waziri wa mambo ya nje wa Latvia huko Ulaya Mashariki. Umoja wa Ulaya umewahi kuwa na viongozi mashoga wa serikali lakini sio kiongozi mkuu...
  11. TPP

    JamiiForums Tanzania Fun Fact: China yaishinda Marekani na Australia mashindano ya Hisabati Ulaya

    Interesting... Timu ya wanafunzi ya wanawake kutoka China imeweza kuchukua ushindi wa nafasi ya kwanza katika mashindano maarufu ya hisabati ya European Girls Mathematical Olympiad yaliyo fanyika nchini slovenia Mashindano hayo yalihusisha team 55 (38 kutoka mataifa ya ulaya). Nafasi ya...
  12. TPP

    JamiiForums Tanzania Tujifunze: Kipindi ambacho dini na imani zilianza kupoteza nguvu na kuanguka Ulaya

    Je, wafahamu ni kipindi gani hali ya kupoteza nguvu na kuanguka kwa dini Ulaya kilianza miaka ipi na karne gani? Simple fact: Tujifunze, wenda hali hii ya sasa ya mataifa mengi ya ulaya kuteteleka katika mambo ya imani na dini yakushanganza na kujenga maswali mengi katika ufahamu wako kuhusu...
  13. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Waarabu wanatuharibia mpira wa Ulaya

    Ruben Neves katika umri wa miaka 26 huku Barcelona wakiwa wanamuhitaji amechagua kwenda zake Uarabuni. Huko Chelsea lundo la wachezaji wako mbioni kuelekea Uarabuni. Alianza Ngolo Kante, na sasa Koulibaly na golikipa Mendy muda wowote wataelekea Uarabuni. Waarabu wamedhamiria kweli nina...
  14. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Mfalme Abdullah II wa Jordan amwaga darasa la "Nini Maana ya Kuwa Muislam" kwenye Bunge la Ulaya

    Mfalme Abdullah wa pili wa Jordan amwaga darsa la "Nini Maana ya Kuwa Muislam" kwenye bunge la Ulaya kwa ufupi wenye kina. Darsa hili ni fundisho na faida kwa Waislam na wasio Waislam. Tusikilize👇🏾 Tutaleta tafsiri ya Kiswahili baadae.
  15. figganigga

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA waenda Mapumzikoni Ulaya baada ya ziara ya +255

    Salaam Wakuu Viongozi wakuu wa CHADEMA wameanda zao Italy na Ujerumani baada ya kuhitimisha Ziara ya +255. Chama kikuu cha upinzani, CHADEMA, hivi kilizindua kampeni maalumu ya kudai katiba mpya ikiwa ni takribani wiki mbili tangu Rais Samia Suluhu wa nchi hiyo kutangaza azma ya kuufufua...
  16. Mayova

    JamiiForums Tanzania Sheria za Red Card Ulaya

    Wapendwa naombeni kujua kwa wale wazoefu. Hivi mchezaji wa ligi ya uingereza EPL akipata kadi nyekundu akiwa kwenye mechi ya ligi ya ndani kadi inaweza kumfanya asicheze next matches mfano za FA, UEFA, carabao au itamfanya asicheze mechi tatu za ligi tu kwakuwa kadi hiyo ameipata akiwa kwenye...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Afrika bara la nyumbu Ulaya bara la siafu, Tanzania ni nchi ya bora liende

    Habari zenu Wana jukwaa, imani yangu sote tuko wazima wa afya njema na kwa wale walio na changamoto ya afya mungu awasaidie waweze kupona na kuendelea na majukumu ya kila siku. Watanzania hivi mnaamini kwamba maendeleo yanapatika Kwa urais kama mnavyodhani? Mnaamini kwamba ili uweze kuwa...
  18. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: Sweden yaanzisha mchezo wa ngono, kama soka tu. Kuwa mwenyeji mashindano ya mabingwa Ulaya

    Sweden imepitisha ngono kama sehemu ya Michezo na itaandaa na kuwa mwenyeji wa Mashindano ya kusimamia kucha Huku Ulaya.. My Take Uhuru wa Mwanadamu ukizidi unakuwa kufuru na upumbavu.. ======= Inadaiwa kuwa michezo hiyo inatarajiwa kuanza hivi karibuni ikiwa na kanuni na taratibu pamoja na...
  19. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Hata Ulaya, fainali ya Champions League huwa haichezwi neutral ground

    Kuna watu wanadhani kuufuata mfumo wa Ulaya kutawezesha fainali ya Klabu Bingwa Afrika na Kombe la Shirikisho kuchezwa katika uwanja ambao mojawapo ya timu husika haitakuwa mwenyeji. Ukweli ni kwamba wenzetu wa Ulaya huwa wanakuwa wameshauchagua mji ambao fainali itachezwa, bila kujali mojawapo...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waridi wa BBC Suzana Michael: 90% ya Wadada wanaoenda kutafuta Maisha Ulaya, Marekani na Asia huishia kufanya Ukahaba

    "Nilipokuwa Mdada na kuona Maisha yangu hayaeleweki niliamua kupambana ili niende Nje ya nchi nikiamini huko ndiko kuna Maisha mazuri ila najuta kwani niliishia kuwa Kahaba ( Malaya ) kwa Miaka miwili hadi kuamua kurejea nchini Tanzania ambako nimegundua kama ukijipanga hapa kuna Maisha mazuri...
Back
Top Bottom