ulaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Superbug

    JamiiForums Tanzania Iliwezekanaje ulaya watu walikufa kwà maelfu kila siku kwà korona halafu kufumba na kufumbua watu wote wakawa hawafi tena?

    Hili swali najiuliza sipati majibu ulaya na Marekani walikufa maelfu kwà maelfu kila siku iendayo kwà mungu halafu kufumba na kufumbua ugonjwa wa korona ukakoma hima? Italy kila siku walikuwa watu wanakufa 5000/day mpaka malori ya jeshi yakawa yanabeba maiti! Marekani jumla walikufa watu karibu...
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Msumbiji yaanza kusafirisha Gesi kwenda Ulaya

    Wakati sisi mwaka 2015 tulimuingiza madarakani muhutu ambaye badala ya kuendeleza mazungumzo ya uwekezaji wa gesi alipoyakuta kwa mtangulizi wake aliamua kuachana kabisa na mambo ya gesi leo Msumbiji ambao walitukuta nyuma yetu kwenye masuala ya Gesi wameanza kusafirisha Gesi kuelekea ulaya...
  3. Webabu

    JamiiForums Tanzania Demokrasia inazidi kuyamaliza mataifa ya Ulaya

    Kwa kutumia demokrasia watu wenye sifa mbaya kiutawala na ambao wamewahi kuzitiia nchi zao kwenye mizozo wamekuwa wakirudi madarakani kwa kasi.Mmojawapo ni Benjamin Netanyahu wa Israel. Muda wote wa uongozi wake mbali na kuwaadhibu wapalestina alikuwa daima yuko mahakamani kwa shutuma...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Ulaya wana gesi ya kutosha kabisa tofauti na walivyotegemea

    Bara la Ulaya sasa lina akiba kubwa sana ya gesi asilia tofauti na walivyotegemea hapo awali kufuatia kutiliwa ngumu na Russia ambayo imekuwa ikilipiza kisasi cha kuwekewa vikwazo na nchi za magharibi kwa kitendo chake cha kuivamia taifa la Ukraine...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Bi. Jutta Urpilainen Kamishna wa Umoja wa Ulaya aongea na kuwaasa vijana wa Tanzania

    26 October 2022 Dar es Salaam, Tanzania Bi. Jutta Urpilainen Kamishna wa Umoja wa Ulaya aongea na kuwaasa vijana wa Tanzania Video courtesy of Azam TV Kamishna wa EU akizungumza baada ya kundi la 26 la vijana kutoa mikoa mbalimbali ya, Tanzania kuonesha uvumbuzi wao pamoja na kazi za...
  6. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Bei ya makaa ya mawe duniani imefika USD 270 kutoka USD 50 kwa tani sababu ya vita vya Ukraine na Urusi, ulaya wanahitaji nishati

    Bei ya makaa ya mawe duniani imefika USD 270USD kutoka USD 50 kwa tani sababu ya vita vya Ukraine na Urusi, ulaya wanahitaji nishati. Tanzania ina akiba ya tani Millioni 290 ardhini, kwa hesabu zaharakaharaka hiyo ni Trillioni 184. Vituo vya afya na lami kila kona; VIONGOZI WANGU...
  7. sanalii

    JamiiForums Tanzania Kwanini vyombo vya habari vya Magharibi havitangazi maandamano yanayoendelea nchi nyingi za Ulaya?

    Maandamano yanaendelea nchi kama Italy, France na Germany kupinga hali ngumu ya maisha pamoja na NATO, nastaajabu kuona habari hizi hazipewi headline, kwanini ?
  8. L

    JamiiForums Tanzania Bei ya gesi yafikia rekodi mpya Ulaya

    Bei ya gesi huko Ulaya inazidi kupanda na kufikia rekodi mpya, hali ambayo inaziletea nchi za Ulaya wasiwasi mkubwa kuhusu uhaba wa nishati. Ufaransa imeweka mpango wa kubana matumizi ya nishati kote nchini, na kutoa wito kwa wananchi wapunguze muda wa kuoga, na kuzima kabisa vifaa vya...
  9. Gama

    JamiiForums Tanzania Punde Ulaya itajitosheleza kwa nishati, nuclear fussion yaja

    UK imeanza majaribio ya kuzalisha nishati kwa kutumia Nuclear Fussion mfumo ambao umekuwepo ki majaribio tu Nuclear fusion plant to be built at power station Yesterday 8:08 PM React| Apower station has been chosen to be the site of the UK's, and potentially the world's, first prototype...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Belarus utadhani Bahi Dodoma kumbe Ulaya

    Mzuka wanajamvi! Mara ya kwanza kuona hii picha nilidhani Bahi, Kongwa huko kumbe ni Belarus Ulaya ya Lukashenko mshirka wa Putin. Yani hapana tofauti na Bukombe na Nyarugusu kwa kina mwamba. imhotep
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Yoweri Museven: Wabunge wa Bunge la Ulaya wapunguze ujuaji

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni amelikosoa bunge la Umoja wa Ulaya baada ya kuitaka serikali yake kusitisha mradi wa kimkakati wa bomba la mafuta na nchi jirani ya Tanzania. Wiki mbili zilizopita wabunge wa Umoja wa Ulaya walipitisha azimio la onyo la ukiukwaji wa haki za binadamu na hatari ya...
  12. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Njia pekee nyepesi ya kuingia Ulaya kwa wale wanaohitaji kujilipua ni hii...

    Habari zenu wana JF wenzangu, Wakati wabongo wakiwa busy kulaumiana kuhusu Panya Road, tozo, kuendekeza siasa uchwara na kuangalia video za porn ili baadae wakajichue. Kwa upande wa Burundi maelfu kwa maelfu wanazidi kujilipua katika nchi mbali mbali za Ulaya kupitia Serbia. Kinachotakiwa ni...
  13. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Bloomberg: Umoja wa Ulaya kulegeza vikwazo kwa makaa ya mawe kutoka Urusi

    Bloomberg wanaripoti Umoja wa Ulaya upo mbioni kulegeza vikwazo vya makaa ya mawe kutoka Urusi. NB: Du!
  14. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya na Neo Colonialism-kiini cha kupinga bomba la mafuta toka Uganda hadi Tanzania

    Bunge la Ulaya limeazimia kuufuta mradi wa bomba la mafuta toka Uganda hadi Tanga Tanzania. Sababu za kitoto wanazotoa ati ni uharibifu wa mazingira na haki za binadamu!! Huu ni uhujumumu wa moja kwa moja kwa uchumi wa nchi za kiafrika zinazotaka kujikomboa katika umasikini kwa kutumia...
  15. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni apuuza azimio la Ulaya

    Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema kuwa hakuna atakayezuia mradi mkubwa wa bomba la mafuta Afrika mashariki, akipuuza azimio la wabunge wa Ulaya lililotaka mradi huo ucheleweshwe kutokana na lilichokiita ''ukiukwaji wa haki za binadamu''. Kampuni ya Total Energies ya Ufaransa na shirika la...
  16. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marwa kutoka Kenya atumia miezi 3 kutembelea nchi 23 barani Ulaya

    Anatuletea habari za ndani kabisa jinsi bara la Ulaya lilivyo 2022 na viza ya Schengen Msafiri jasiri Marwa toka Kuria Kenya anatuonesha jinsi bara la ulaya lilivyo na mambo mengi ambayo ni shule kwa nchi za bara Afrika kuhusu umuhimu wa mifumo isiyotetereka na endelevu. Huwezi kuona tofauti...
  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya kutuamulia Tanzania na Uganda nini Cha kufanya ni kutudharau?

    Bunge la Ulaya limesema kuwa ni marufuku Tanzania na Uganda kujenga bomba la mafuta na gesi kutoka Uganda kwenda Tanga Tanzania kwakuwa mradi unachafua mazingira na unadhulumu watu linakopita ni sawa? Maswali hapa ni: 1. Wazungu wanapata wapi nguvu hii ya kutuamulia sisi nini kizuri na nini...
  18. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Asanteni sana Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) , Tunaenda kujua Umuhim wa Hayati Magufuli !!

    In my humble Opinion , without being sentimental , without hiding anything in my thoughts, to the actual truth with my open mind and clean Heart , by gathering all the courages , Ninawapongeza Bunge la Umoja wa Ulaya ,Asanteni sana sana ndugu zangu wadhungu , Ahsanteni , mmejua...
  19. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaweka msimamo mradi wa bomba la mafuta baada ya kauli ya Bunge la Ulaya (EU)

    Serikali ya Tanzania imesema hakutakuwa na athari zozote za kimazingira wakati wa utekelezaji wa Mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirisha Mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima Uganda hadi Chongoleani Tanga kwani tahadhari zote zilizingatiwa kitalaamu. Waziri wa Nishati, Januari...
  20. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Ulaya yatapatapa kuzuia ujenzi wa bomba la mafuta la Uganda hadi Tanzania

    Kama wewe ni wale waafrika wanahamaki wanamapinduzi tukiwaita wamagharibi mabeberu kutokana na ulevi wa fikra waliyofanikikiwa kukupandikiza, na kama uko Afrika ya mashariki yafaa uzinduke sasa. Kutokana na mipango ya nchi za maghararibi nchi za Uganda na Tanzania haziruhusiwi kuendeleza miradi...
Back
Top Bottom