Kinachoendelea Ulaya baada ya mchezaji wa Mpira Kareem Benzema kuonesha kuwa anaisupport Palestina

Mr Nyau

JF-Expert Member
Oct 18, 2018
1,128
2,338
Kinachoendelea Ulaya baada ya mchezaji wa Mpira Kareem Benzema kuonesha kuwa anaisupport Palestina

— France officially accuses him of being member of the Muslim Brotherhood
— MP in France wants to revoke his citizenship
— A representative in France wants to withdraw his Golden Ball
 
Mambo mengine ni ya ajabu sana hivi hapa anasupport Palestine au unasuport Hamas maana kile kitendo cha Hamas kwenda kuua raia wasio na hatia tena bila kujali ni mtoto, mzee, mgonjwa, mkristo muislam au myahudi ule ni zaidi ya unyama na wanapaswa kuingia gharama kwa kile walichokifanya.

Hamas wasitumie raia wa palestine kama ngao ya kuficha uovu wao. Kwani Somalia wao mbona ni jamii moja na dini moja lakini bado wanachinjana? huyo Benzema mbona hakuwahi kukemea kundi la Al shabab? Tuache unafiki haya makundi ya namna hii sio ya kuyatetea, hata hayo makundi yakishika madaraka huwatesa raia wao kisha hao raia wanaanza kukimbia nchi zao na kwenda huko Ulaya mfano Talebani.
 
Kinachoendelea ulaya baada ya mchezaji wa Mpira kareem benzema kuonesha kuwa anaisupport Palestina

— France officially accuses him of being member of the Muslim Brotherhood
— MP in France wants to revoke his citizenship
— A representative in France wants to withdraw his Golden Ball
Aaahaaa

Akomae humo humo
 
Mambo mengine ni ya ajabu sana hivi hapa anasupport Palestine au unasuport Hamas maana kile kitendo cha Hamas kwenda kuua raia wasio na hatia tena bila kujali ni mtoto, mzee, mgonjwa, mkristo muislam au myahudi ule ni zaidi ya unyama na wanapaswa kuingia gharama kwa kile walichokifanya.

Hamas wasitumie raia wa palestine kama ngao ya kuficha uovu wao. Kwani Somalia wao mbona ni jamii moja na dini moja lakini bado wanachinjana? huyo Benzema mbona hakuwahi kukemea kundi la Al shabab? Tuache unafiki haya makundi ya namna hii sio ya kuyatetea, hata hayo makundi yakishika madaraka huwatesa raia wao kisha hao raia wanaanza kukimbia nchi zao na kwenda huko Ulaya mfano Talebani.
HAMAS limeundwa na Israel Na Taliban limeundwa na USA.

Na Palestina wanauliwa with or Without Hamas, Western Bank kuna Hamas? Si Hamna kule? Wale si wana Amani? Mbona wanauliwa na Amani yao? For your Information toka hii vita ya Gaza Ianze wiki iliopita Tayari Wapalestina 54 wa Western Bank wamefariki na wengine zaidi ya 1000 wamejeruhiwa, kama Israel inapigana na Hamas why waue na Western Bank ambapo Hamna Hamas?

Unahitaji kuwa Binadamu tu kutambua huu ni uonevu
 
Kinachoendelea Ulaya baada ya mchezaji wa Mpira Kareem Benzema kuonesha kuwa anaisupport Palestina

— France officially accuses him of being member of the Muslim Brotherhood
— MP in France wants to revoke his citizenship
— A representative in France wants to withdraw his Golden Ball
Wapumbavu...
 
Yaani israel ijiundie adui kisha ianze kupambana na adui aliyemtengeneza mwenyewe, how come, are you serious?
 
Ndio ninamfahamu baba Mwajuma ndala ndefu leo
 
Safi sana, hapa nakubaliana na wewe

Sasa kwanini Israel akipambana na kundi la HAMAS ambalo ni yeye mwenyewe kalianzisha unakasirika?

Na kwanini US akipambana na Taliban ambalo ni kundi mwenyewe kalianzisha wewe hutaki??
Hakuna mtu anaekasrika Mtu yoyote akipigana na yoyote. Ila watu wanakasirika raia wa sio na hatia kuuliwa. Juzi Hospitali, kabla ya hapo Hospitali nyengine, jana wamepiga Bakery, then baadae Apartment, Hadi Kituo Cha Un ambacho kilihifadhi wakimbizi kimepigwa, so far hakuna data zozote wamekufa Hamas wangapi, kuna uwezekano Hamas waliokufa hata 100 hawafiki, ila wanawake na watoto? Maelfu wamekufa, Inshort Majority ya waliokufa ni wanawake na watoto.

Mtu yoyote yule Awe Israel awe Hamas, Awe Usa, awe Babaako ama Babaangu ni Cowards na mpuuzi wa mwisho dunia hii kama njia yake ya kupigana vita ni kutarget wanawake na watoto, Mrembe utakavyomremba ila huo ndio ukweli.
 
Yaani israel ijiundie adui kisha ianze kupambana na adui aliyemtengeneza mwenyewe, how come, are you serious?
Sio Maneno yangu, issue ya Israel kutengeneza na kutoa Fedha kwa Hamas sio siri viongozi kibao wa Israel wamekiri na Ushahidi huu

1. Brig. Gen. Yitzhak Segev, who was the Israeli military governor in Gaza in the early 1980s. Segev later told a New York Times reporter that he had helped finance the Palestinian Islamist movement as a “counterweight” to the secularists and leftists of the Palestine Liberation Organization and the Fatah party, led by Yasser Arafat (who himself referred to Hamas as “a creature of Israel.

2. Avner Cohen, a former Israeli religious affairs official who worked in Gaza for more than two decades, told the Wall Street Journal in 2009 “Hamas, to my great regret, is Israel’s creation,” Back in the mid-1980s, Cohen even wrote an official report to his superiors warning them not to play divide-and-rule in the Occupied Territories, by backing Palestinian Islamists against Palestinian secularists. “I … suggest focusing our efforts on finding ways to break up this monster before this reality jumps in our face,” he wrote.

3. “When I look back at the chain of events, I think we made a mistake,” David Hacham, a former Arab affairs expert in the Israeli military who was based in Gaza in the 1980s, later remarked. “But at the time, nobody thought about the possible results.”

Hao ni viongozi watatu wa Israel waliokiri kufund Hamas ili ipunguze Nguvu Fatah ya Yasser Arafat wakati huo,

Wall Street Journal ni website ya Kulipia utapata archive ya hio artle hapa

Same kwa Usa alifund kundi LA Islamists Afghanistan wapambane na USSR/Urusi wakati ule, baada ya wale jamaa kushinda maji yakazidi Unga Interest za Kundi KAMA Afghanistan baada ya Urusi kuondoka Hazi align na Usa hasa Decision ya Taliban Kufyeka Opium.

Wanapigana nao sasa sababu hayo makundi sasa yameshakua makubwa yanawashinda tena Kuyacontrol, ila wame ya tengeneza.
 
Kinachoendelea Ulaya baada ya mchezaji wa Mpira Kareem Benzema kuonesha kuwa anaisupport Palestina

— France officially accuses him of being member of the Muslim Brotherhood
— MP in France wants to revoke his citizenship
— A representative in France wants to withdraw his Golden Ball
Mchezaji.mjinga huyo uhuru wa kujieleza una mipaka mfano huwezi kwenda kuwa mwandishi wa habari Istael ukaandika makala ya kumsig8a Hitler aliyeua wayahudi mamilioni

Alitakiwavaangalie nchi alipo misimamo yao kuhusu hao Hamas
 
Back
Top Bottom