Hili ni swali zito la kihistoria, na ni sawa kabisa kuliuliza au kulifikiria mwenyewe.
⚠️Katika uchambuzi wangu wa Leo Hakuna ubaguzi Wala hakuna chuki Bali ni kujifunza ukweli.
⚠️Nitachambua kwa uwazi, bila kuficha wala kuchochea chuki yoyote
ili unielewe vizuri,fahamu Kuwa Kuna vitu viwili...
Kenya watu wanaojiweza wana magari latest kwasababu huduma za gereji zipo za uhakika.
Arusha hadi Nairobi ni safari ya masaa tano tu unaweza kwenda na kurudi kwa mafuta lita 50 kwenye chombo kama BENZ gl 300.
kwanini hata matajiri bado wanasita kununua vitu latest vya ulaya ?
Nawaandikia Marekani, Umoja wa Ulaya, Uingereza na Canada.
Kama sehemu ya mamilioni ya Watanzania tunaodhulumiwa haki zetu za Utawala huu mbovu wa CCM napenda kwanza kuwashukuru sana Marekani na Nchi zote za Jumuiya ya Ulaya na Mataifa mengine ya Magharibi kama Uingereza na Canada kwa namna...
Historia inaonyesha ufaransa na Uingireza iliwahi kunyonga watawala wawili Kwa sababu mbalimbali
Kwa upande wa ufaransa ilimnyonga Louis na Malkia Maria Kwa sababu kuu ni
Umaskini na njaa
Kodi kubwa
Kokosekana Kwa haki na usawa
Kuupuuza matatizo ya wananchi
Kwa upande wa kiongozi wa...
The United States has been holding parallel discussions with Moscow, Kyiv and European leaders, reviewing multiple draft frameworks aimed at ending the war. Despite repeated assurances from Trump that an agreement was within reach, a final dea
Baada ya Mataifa ya Ulaya kupigwa ushuru wa asilimia 10 kutokana na kumzuia bwana Trump kujitwalia kisiwa cha Greenland
Mataifa yameungana na kuweka mipango kama Trump atajinyakulia kisiwa hicho basi na wao ,watasusia mashindano hayo ambayo yatafanyika nchini Marekani hapo july mwaka huu
Hapa...
Wakati akizungumza na wananchi wa Ikungi mkoani Singida, katika mkutano unaofanyika Kata ya Puma leo Januari 22, 2026, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, amesema kuwa amepata taarifa kwamba umoja wa ulaya EU walikokuwa wameweka vikwazo dhidi ya Tanzania...
Tanzania may soon consider leaving the Rome Statute of the International Criminal Court (ICC). This debate has grown stronger after recent calls on the court in The Hague from Lawyers for the victims, backed by groups like the World Jurists Association and the Madrid Bar Association to...
Kama ni kweli ''wakoloni '' walikuwa ni wabaya kiihivyo kama communists walivyotuminisha, how is that elimu ambayo ilitolewa kwetu ndiyo ile ile iliyotolewa ulaya kwao wazungu waliotutawala? i mean, tulikuwa tunafanya mtihani mmoja cambridge same sylabus, kwa maana nyingine high school graduate...
Tamko la waziri wa China ni la unafki nchi kuingiliwa na mataifa mengine ikiwa na wauwaji sio kosa huo ndio urafiki wa kweli.
Nchi kuingiliwa ikiwa na demokrasia na hakuna utekaji wala mauwaji hapo ndipo sasa tutasema haitakiwi kuingiliwa ni kosa.
Lakini nchi yenye mauwaji na utekaji na hila...
Tume ya uchaguzi wa Tanzania iwe na viongozi wote toka Marekani na Ulaya tu. Wasimamizi wa uchaguzi Kuanzia ngazi ya madiwani, wabunge, kura za Urais viongozi wa kuhesabu kura na kutangaza matokeo rasmi wawe wanatoka Marekani na Ulaya(Uk, Germany).
Mkuu wa Tume ya uchaguzi awe mzungu...
Ili kuwepo na usawa na haki kwenye mpira wa Afrika. Mashindano yote ya CAF (Afcon, Chan, Caf Champions league, Caf Confederation league)yachezeshwe na marefa toka Ulaya kama Uingereza, Italia, Ujerumani.
In order to improve African football, All Caf competition (Afcon, Chan, Caf Champions...
Mwanasiasa wa Bunge la Ulaya amehoji uwezekano wa Marekani kumkamata Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro na kumfikisha katika Mahakama , lakini imeshindwa kumkamata na kumuwajibisha Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu anayesimamia vikosi vyake kuishambulia Palestine
Kwa wale ambao hawajawahi kufuatilia maendeleo ya Nchi tofauti tofauti za Africa
Nafikiriki kupitia AFCON inayo endelea kwa sasa, wameweza kupata picha Morocco ni kama Ulaya.
Pamoja na kuwa na viwanja vya mpira vya hadhi ya Ulaya takriban 9 vikiwemo vya kupokea mashabiki takribani 95,000 kwa...
Ukitizama michuano ya AFCON unapata ladha ya soka la Ulaya kwa kiasi kikubwa kutokana na aina ya wachezaji na team wanazochezea Ulaya.
Mfano kikosi cha timu ya Taifa ya Congo chote kinacheza soka la Ulaya kasoro Mayele pekee.
Serikali haramu ikipiga tu picha na kiongozi wa US au ulaya utaona tambo kibao halafu kesho yake wanawanakataa na kupigwa spana yani ni machizi .
Wanajaribu kupiga picha na watu wa ulaya na US ili kututia viini macho bahati nzuri wazungu wamesha washtukia wanawakataa na kuwapiga spana hawa...
Ukiangalia mikoa iliyoendelea utaona haina rasilimali nyingi sana ila kuna akili ya maendeleo
Mifano ya mikoa ni kama Kilimanjaro, ni mkoa wenye rasilimali chache ila wamepata maendeleo kwa kutumia akili.
wameipa thamani elimu iliyowapa sifa ya kujaa katika taasisi nyeti zinazosimamia na...
Tanzania inahitaji fidia kutoka kwa mabeberu yaliyochota mali na kuchukua watu utumwani.
Hii ni sambamba na kutoa idadi kamili ya maafa yaani waliouawa kwa mijeledi na kunyongwa nyakati za ukoloni
Parliament raises the alarm on human rights in Tanzania 🚨
Members of the European Parliament adopted two resolutions on the human rights situation in Tanzania following October’s elections.
• Members condemn the violent post-election crackdown, which left thousands dead or injured, with...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.