Juzi Rais wetu alisema tangu awe Rais TEC wamemtolea matamko mengi
Nimsaidie Rais wetu kuna zaidi ya hapo, Umoja wa ulaya, Balozi za nchi za Ulaya, Vyombo vya habari vya kimataifa, seneti ya Marekani, Umoja wa mataifa mpaka nchi za Afrika kuanzia Kenya, Ghana na Botswana wamekuwa wakitoa...
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika taarifa kwa vyombo vya habari imesema Serikali imepokea taarifa na matamko kwa umma yaliyotolewa kwa nyakati tofauti na washirika wa maendeleo na Serikali za mataifa mbalimbali kuhusu matukio ya Oktoba 29, 2025.
Wakati na baada ya...
Kuna wanafunzi wawili wote wamesoma chekechea hadi form 6 Tz.
Moja kabaki Tanzania mwengine kaenda Uingereza, wote wanasomea degree ya usimamizi wa biashara
Kwao wana hali za kawaida, aliebaki anasoma kwa mkopo wa serikali, wa nje kapata mdhamini.
kutakuwa na utofauti wakishamaliza vyuo...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika tumepata Rais ,tumepata kiongozi imara,tumepata nahodha hodari,tumepata jemedari shupavu. Watanzania Tumepata Amiri Jeshi Mkuu Shupavu , Madhubuti na Shujaa kwelikweli. Tuna kila sababu ya kujivunia kuwa Na Rais Samia kitini. Tuna kila sababu ya kusema asante...
Benki Kuu ya Ulaya ilikataa kuunga mkono malipo ya €140 bilioni kwa Ukraine kutoka kwa mali za Urusi zilizotaifishwa, inaripoti Financial Times ikinukuu vyanzo.
Makala inasema kwamba ECB ilihitimisha kwamba pendekezo la EU linakiuka mamlaka yake.
Ndugu zangu Watanzania,
Soma
Serikali ya Tanzania imetoa ufafanuzi kuhusu azimio lililopitishwa na Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) Novemba 26, 2025, ambalo lilizungumzia madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini na kusababisha Kamisheni ya EU kusubirisha kwa muda utiaji saini wa Programu ya...
Bunge la Ulaya limeitaka Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya kusitisha msaada kwa serikali ya Tanzania na kuwawekea vikwazo wahusika wa ukandamizaji uliofanywa baada ya uchaguzi mkuu. Wabunge wa Ulaya wamelaani vikali vitendo hivyo na kutaka kuachiwa kwa wapinzani waliokamatwa.
Wamesisitiza kuwa...
Moja ya Maazimio yaliyopitishwa na Bunge la Umoja wa Ulaya jana na leo ni kuwawekea vikwazo wote waliohusika na mauaji ya Maelfu ya Watanganyika kwenye wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu pamoja na Wanaohusiana nao.
Mimi naanza na Majina nyie wekeni wengine
1. Samia Suluhu Hassan na Familia yale...
Walicho nifurahisha Ulaya ni kusimamisha misaada kupitia mikononi mwa serikali haramu lakini mashirika yataendelea kupata misaada kama kawaida.
Hakuna misaada itaingia kwa serikali pesa zote zitagawanywa huku kwa upinzani wa serikali.
Hapo Mkutanoni wapo Mawaziri wa Saudi Arabia na UAE (Umoja wa Falme za Kiarabu)
Waziri Wa UAE: Na niruhusu niseme hili kwa Kiingereza ili uweze kuelewa ninachosema. Siku itakuja ambapo tutaona wanamgambo na magaidi wenye misimamo mikali zaidi wakitoka Ulaya, kwa sababu ya ukosefu wa kufanya...
Kamati ya Bunge ya mambo ya Nje ya Bunge la Ulaya imepiga kura ambapo kura 53 zimeunga mkono pendekezo la kusitisha Euro Milioni 156 kwenye mpango kazi wa Tanzania kwa mwaka 2026 huku kura mbili pekee zikiamua kwenda tofauti.
Mwenyekiti wa kamati hiyo, David McAllister amesema Tanzania imeamua...
Hakuna Mtalii Wala Muwekezaji Makini anayeweza kwenda Tanzania Kwa Sasa wakati Hana Hakikisho lake la Usalama wake mwenyewe na uwekezaji wake.
Wasomi Ngulo walionya haya hata kabla ya Oct 29!!.
DEC 9 ni maandamano makubwa ya Amani.
https://www.facebook.com/share/v/17qxXJt2YN/
kuna video nyingi sana, huo mfano mmoja.
Msikilizeni huyu dada, anaelezea kwa kirefu kiasi gani maandamano yalivyoandaliwa na baadhi ya diaspora wa Tanganyika ili kuiangamiza Tanzania, kisha lawama yote amepewa samia na kmkm, na watu kuwa na visasi...
Ni raia wa Eritrea, Cameroun na Uganda ndio walikuwa na asilimia kubwa wakiomba ukimbizi Ulaya wanapewa.
Eritrea na Cameroun wanapewa sana kwenye maswala ya siasa.
Waganda kwenye maswala ya ushoga.
Sasa kwaanzia tarehe 29 October mbongo Ulaya akiomba ukimbizi kwa maswala ya kisiasa faster...
Baada ya uchafuzi wa Kongo uliomuweka Kabila Mdogo madarakani, wakongo waishio Ulaya waliojiita Les Combattants walihakikisha wale waote waliosapoti na kumpigia kampeni Kabila hawafanyi show Ulaya.
Waliopatwa na hiyo dhahama walikuwa Koffi Olomide na wengineo. Kosa lao kubwa lilikuwa kupokea...
Kutokana na China kuwa na teknolojia kubwa hasa katika utengenezaji wa bidhaa za high technology imeanza kuwekeza viwanda katika mataifa ya Ulaya kutokana na mataifa hayo kuwa nyuma katika teknolojia hizo.
Hatimaye EU imeona hii ni fursa ya wao kujifunza kutoka kwa Wachina. Ila wanapokosea...
Lolote lile litakalifanyoka na Vijana wa JWTZ wanaokerwa na Utekaji, Uuaji, Ufungwaji wa Makanisa, Majaribio ya Kuua Viongozi wa Dini ya Ukristo, kubagaWa Kwa Rasimali za Nchi n.k ,lolote lile liyakalifanywa na Wazalendo Hawa.
NCHI NZIMA ITAWAWAFANYIA SHEREHE, JUMUIYA ZA KIMATAIFA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.