Nchi za ulaya na kuukataa uislam

Nchi za ulaya na kuukataa uislam

Mangi Meno

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2024
Posts
366
Reaction score
1,109
Na baada ya Taifa la Poland kutangaza kupiga marufuku kujengwa kwa Misikiti "Mosques" ,Na kupinga kupiga adhana basi nchi nyingi za Ulaya zimeanza kufuata nyayo hizo.

Na nchi kama Uingereza watu zaidi ya 100,000 waliandamana pale London, Ili kupinga uwepo wa imani hio kwenye Taifa hilo, hio yote ni kwa sababu nchi za Ulaya zinataka kuyarudia hayo maisha hapo chini .Yani kuirudisha nuru ya Ulaya na sio kuingiza tamaduni mpya zikaiharibu

Na kwa agenda walizoweka ni wazi watafanikiwa juu ya hilo. Kwa maana juzi tuu kule Ulaya kuna ambao walipigwa risasi kwa kusujudu barabarani na kuleta msongamano

Na naona kauli za Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu alipowaonya juu ya ongezeko hilo .Sasa wamegundua zina ukweli ndani yake na nia njema Naaam

Soma pia Uislamu wa Itikadi Kali: Somo la Ulaya, Unafiki wa Kimfumo, na Onyo kwa Marekani

1779605509418.png
 
Hata afrika hususani mataifa ya weusi tii yanapaswa kuukataa uislam, ni aibu nchi kama nigeria, senegali, gambia kuukumbatia uislam, ona madhara yake huko nigeria ni vurugu tupu za kidini kila uchao boko haram wanasumbua
 
Nawao wasianzishe vita kule uarabuni ni ràhis tu hao kobaz hawataenda huko ulaya.

Lkn kama wataendelea na kobaz hawataacha hata wafanye nini waarabu ni tofaut na ngoz ya tako mnapelekeshwa ovyo kama nyumbu
 
Mbona kama wamechelewa! Na hao wahamiaji waliowapokea na kuwapa hifadhi watawapeleka wapi?
 
Tatizo uislam una mafundisho ya chuki dhidi ya wasiokuwa waislam, uhamasishaji wa matumizi ya nguvu kama kupigana jihad, kujitoa muhanga kuua watu wengi kwa kujilipua, huu utamaduni ndio hatari kwa dunia
 
Ulaya walichelewa sana kuwadhibiti wahamiaji waislam, wangeweka masharti ukiingia ulaya ni sharti uachane na uislam na ni marufuku kujenga misikiti
 
tulia we muislam, mnafundishana chuki kila uchao mnaita wenzenu makafiri, nyie ndio makafiri wenyewe
tulia we muislam, mnafundishana chuki kila uchao mnaita wenzenu makafiri, nyie ndio makafiri wenyewe
Hivi kuanzia 2025 tu hadi leo ni nchi gani Kati ya za kiislamu na hao wazungu wanaongoza kuua wenzao kwa wingi?

Nimesema wazungu sio ukristo
 
Tatizo uislam una mafundisho ya chuki dhidi ya wasiokuwa waislam, uhamasishaji wa matumizi ya nguvu kama kupigana jihad, kujitoa muhanga kuua watu wengi kwa kujilipua, huu utamaduni ndio hatari kwa dunia
Na nyinyi Wakristo mfundishwe kutumia akili na kuwa waadilifu.

Tuanzia nchi za Kiislamu Qatar , Saudia , Bahrain , UAE wapi Kuna kujitoa muhanga na kujipua .

Nenda Indonesia, Brunei , Kazakhstan, Turkiye, Turkmenistan nk mbona hakuna hayo matukio ?

Kihistoria mbona Wakristo wameua wengi kisa kueneza ukiristo, kuanzia Romana Empire , Crusader, colonialism nk mbona hauongelei huko ?

Dehumanization na Demonization hiyo ndio project iliyoWabrainwash ndio maana mpaka Leo Muislamu pekee akifanya tukio anatambulishwa kwa dini yake na kuchaguliwa Uislamu , akifanya Yahudi au Mkiristo haliitwi tukio la kigaidi wala dini yake kupakwa matope
 
Hata afrika hususani mataifa ya weusi tii yanapaswa kuukataa uislam, ni aibu nchi kama nigeria, senegali, gambia kuukumbatia uislam, ona madhara yake huko nigeria ni vurugu tupu za kidini kila uchao boko haram wanasumbua

unasikitisha sana
 
Mbona kama wamechelewa! Na hao wahamiaji waliowapokea na kuwapa hifadhi watawapeleka wapi?
Hawajachelewa sana actualy, kama. Sikosei majuzi wahamiaji kutoka mataifa ya uarabuni waliopo ujeruman walitaka sharia iwe sehem za nchi hiyo, iliibua mtafaruku mkubwa.
Chama kilichoshinda juzi kilia hidi kumaliza huo ujinga maana ujeruman si taifa la mrengo huo
 
Hata afrika hususani mataifa ya weusi tii yanapaswa kuukataa uislam, ni aibu nchi kama nigeria, senegali, gambia kuukumbatia uislam, ona madhara yake huko nigeria ni vurugu tupu za kidini kila uchao boko haram wanasumbua
Propaganda za vyombo vya kimagharibi bado zinaendelea kukutafuna tu Mzee!?, mbona kila kitu kipo wazi siku hizi!!?
 
Na nyinyi Wakristo mfundishwe kutumia akili na kuwa waadilifu.

Tuanzia nchi za Kiislamu Qatar , Saudia , Bahrain , UAE wapi Kuna kujitoa muhanga na kujipua .

Nenda Indonesia, Brunei , Kazakhstan, Turkiye, Turkmenistan nk mbona hakuna hayo matukio ?

Kihistoria mbona Wakristo wameua wengi kisa kueneza ukiristo, kuanzia Romana Empire , Crusader, colonialism nk mbona hauongelei huko ?

Dehumanization na Demonization hiyo ndio project iliyoWabrainwash ndio maana mpaka Leo Muislamu pekee akifanya tukio anatambulishwa kwa dini yake na kuchaguliwa Uislamu , akifanya Yahudi au Mkiristo haliitwi tukio la kigaidi wala dini yake kupakwa matope

Kwenye uislam tatizo kubwa ni uwepo wa mafundisho yanayohamasisha chuki. Kwenye ukristo, hakuna mafundisho yoyote yanayohamasisha chuki au kuwataka waumini wakristo kuwaua wasio wakristo, tofauti na kwenye uislam. Kwenye ukristo, waumini wanahamasishwa kupeleka upendo na huruma kwa wasio wakristo ili watu wawatenge na wasio waumini kwa kugaona matendo ya upendo na huruma kwa watu wa Mungu. Japo ni ukweli kuwa wapo wakristo waovu, lakini watafanya uovu wao bila ya kuegemea mafundisho yoyote ya kiimani.

Mfano mdogo tu, kuhusiana na matukio ya 29 Oktoba 2925, viongozi wa Kikristo walilaumu vitendo vya mauaji kwa sababu ni kinyume na mafundisho ya Ukristo, cha ajabu viongozi wa Uislam wenyewe walipongeza mauaji, na kutamka kuwa watu wakiandamana tena, wao watawaamrisha waislam watoke kwenda mabarabarani kuwakata watu vichwa! Kwenye matukio kama hayo, wewe unasemaje? Huko Nigeria, makundi ya kigaidi ya waislam yamewaua wakristo zaidi ya 400, tena wakiwa kwenye ibada. Hapa Tanzania, kuna wakati makanisa yamechomwa moto, Zanzibar kuna wakati padre ameuawa na waislam, maduka yanayouza pombe kuchomwa moto. Je, kuna msikiti umewahi kuchomwa moto? Kuna shekhe amewahi kuuawa na wakristo?

Ukweli unabakia pale pale kuwa uislam unahitaji sana busara ya muumini, lakini akisema afuate yale maandiko ya kishetani kwenye Quran yanayohamasisha waislam kuwaua wasioukubali au kuupokea uislam, Dunia haitakalika.

Baadhi ya Vifungu Vinavyohamasisha Mauaji Kwenye Quran:
  • Surah Muhammad (47:4): "So, when you meet those who disbelieve, smite at their necks till when you have killed and wounded many of them.".
  • Surah Al-Anfal (8:12): "...I will cast terror into the hearts of those who disbelieved, so strike [them] upon the necks and strike from them every fingertip".
 
Kwenye Bible mbona Kuna references nyingi zinazohamasisha violence au nyie vilaza hamsomi Bible kwa akili na umakini ?
IMG_20240204_074332.jpg

1589626440983.png

IMG_20250517_084420.jpg

Hizo Aya ulizo weka zina tafsiri yake , sasa inamaamisha kuua hovyo kila asiyeamini katika Uislamu . Sasa Muislamu gani angeaacha kufanya na je , Dunia ingekalika ? Waislamu wanaotumia Aya hizo kuhalalisha maujaji ya kiholela na Fujo ni wapuuzi wachache . Assignment fupi takwimu Waislamu wako wangapi na hayo makundi yanayofanya ni wangapi ? Kiuhalisia hawazidi hata asilimia 5% ya Waislamu wote lakini mna demonizing all Muslim kwa vitendo vya watu wachache au nchi chache.

Wakitokea Wakristo kuunda vikundi vya Fujo na kuua watu wengine kwa kigezo cha dini na kutumia vifungo vya juu vya bible je , ni ruhusa kusema Wakristo Magaidi ?

Bali kihistoria wamewahi kutokea ila Waislamu tumekuwa mbuzi wa kafara kuingizwa wote na dini kwa ujumla media propaganda na chuki zikichangia . Mfano Jirani Uganda Joseph Kony alifabya uasi na mauaji mazito , pamoja na ukatili chungu mzima huku akidai anafuata Biblia na kupigana ukiristo
IMG_20251011_122105.jpg
 
Nakubaliana nawe kuwa waislam wanaofanya ugaidi kwa kuegemea kwenye imani ya kiislam ni wachache sana. Mimi siamini kama wanafika hata hiyo 5%. Lakini hata hao waislam wachache wanaofanya ugaidi kwa mgongo wa uislam, kilicho kibaya sana, ni kuwa huwasikii viongozi wa kiislam wakisimama na kuwakana na kuwatangaza kuwa wanafanya kinyume cha mwongozo wa uislam. Fikiria kama kule Nigeria, vikundi vya waislam vinaenda kushambulia na kuwaua wakristo wakiwa kwenye ibada. Watu ambao hawajawafanyia chochote dhidi ya uislam wao. Lakini humsikii kiongozi hata mmoja wa waislam au mataifa yakiislam yakikemea ushetani huo, au yakiwaelekeza waislam kuwa vitendo hivyo siyo mafunzo ya uislam. Hiyo unataka ilete tafsiri gani?

Vifungu ulivyonukuu kwenye Biblia, siyo msingi wa ukristo. Hicho kifungu kinachoelekeza kuwaua waMaleki, ni wakati wa Agano la kale, ni kipindi cha kabla ya Ukristo. Nikueleweshe kidogo: Wakati wa Agano la kale, Mungu aliwaadhibu wanadamu pale pale wanapokosea. Aliwaadhibu kupitia matukio ya kiasili kama vile mafuriko, moto, matetemeko, au hata kwa njia ya vita. Agano la kale liliagiza 'jino kwa jino, jicho kwa jicho', lakini Agano jipya ambalo ndiyo msingi wa Ukristo, Yesu alisema hivi,"Imeandikwa kwenye Torati, jino kwa jino jicho kwa jicho, lakini mimi nasema samehe hata 7 mara 70. Imeandikwa kwenye Torati, umpende rafiki yako umchukie adui yako, lakini mimi nawaambieni, wapendeni maadui zenu maana kama mkiwapenda marafiki zetu na kuwachukia maadui zetu, mna tofauti gani na wasiomjua Mungu, kwa maana wasiomjua Mungu nao huwapenda marafiki zao na kuwachukia maadui zao". Huo ndio utimilifu wa Torati aliouleta Kristo. Baada ya Kristo, Mungu hawaadhibu watenda dhambi hapo hapo, anawasubiria mpaka siku ya hukumu. Ndio ule mfano wa Kristo unaosema yaache magugu na ngano vikue pamoja mpaka siku ya mavuno, ambapo ngano itawekwa ghalani, magugu yatachomwa moto.

Hiyo nukuu yako nyingine ya kusema Yesu alisema hakuja kuleta amani bali vita, hakumaanisha vita ya kupigana bali alimaanisha ugomvi katika familia, ndiyo maana anasema Baba atagombana na mwanae, mtu na kaka yake au dada yake. Akimaanisha kuwa kutokana na mafundisho yake, wapo wanafamilia watayapokea, wakati wanafamilia wengine watabakia na dini yao ya kale ya kiyahudi, na hivyo kusababisha ugomvi wa kifamilia. Lakini hakuna mahali popote kwenye ukristo ambapo wakristo wameelekezwa kuwaua wasio wakristo auwasioupokea ukristo. Hiyo ni tofauti na uislama ambao kwenye Quran kuna maandiko mengi yanayohamasisha vita na mauaji dhidi ya wasio wakristo. Lakini hiyo haimaanishi kuwa waislam wote ni wauaji. Kinachosaidia ni kuwa wapo miongoni mwa wakufunzi wa uislam wanaojitahidi kutoa tafsiri iliyo tofauti na kuwataka kuwaua wasio waislam wakisema kuwa kifungu hicho ni pale waislam wanaoshambuliwa. Lakini wapo wanaotafsiri kuwa agizo la kuwaua wasio waislam ni la wakati wote, hao ndiyo wanaofanya ugaidi maeneo mbalimbali tunayoyashudia. Na kwa kiasi kikubwa ni waislam wa madhehebu ya Shia.
 
Back
Top Bottom