Ma CCM yangemuachia Lissu, wakazungumza naye, Uzito wa Oktoba 29 ungepungua, na Pengine Lissu angesawazisha hili suala kwa US na Ulaya

Ma CCM yangemuachia Lissu, wakazungumza naye, Uzito wa Oktoba 29 ungepungua, na Pengine Lissu angesawazisha hili suala kwa US na Ulaya

Wanajua moto watakaowashiwa na Tundu siku ya kwanza atakapokuwa mbele ya mic 🎤
 
Ila kama kawaida, Ma CCM hayana akili, Yana viburi

Yanangoja tu ICC na Vikwazo .

Bado RAIA titaandamana kama kawaida

Mkiua tena ni Moto, msipoua , tunaingia Ikulu !!!

Mtachagua wenyewe aaaahhh!!.
Hakuna mwenye akili kuyaona hayo
 
sisiemu wenyewe wanategemea akili ya Lisu

Yesu mbele ya Pilato​

1Mara kulipokuwa asubuhi wakuu wa makuhani walifanya shauri pamoja na wazee na waandishi na baraza nzima, wakamfunga Yesu, wakamchukua, wakamleta mbele ya Pilato.[#Mt 27:1-2; Lk 22:66; 23:1; Yn 18:28]

2Pilato akamwuliza, Wewe ndiwe mfalme wa Wayahudi? Akajibu, akamwambia, Wewe wasema.[#Mt 27:11-30; Lk 23:2-25; Yn 18:29—19:16]

3Nao wakuu wa makuhani walikuwa wakimshitaki mambo mengi.

4Pilato akamwuliza tena akisema, Hujibu neno? Tazama ni mambo mangapi wanayokushitaki!

5Wala Yesu hakujibu neno tena, hata Pilato akastaajabu.[#Mk 14:61; Isa 53:7]

Pilato Amtoa Yesu Asulubiwe​

6Basi wakati wa sikukuu huwafungulia mfungwa mmoja, wamwombaye.

7Palikuwa na mtu aitwaye Baraba, amefungwa pamoja na watu waliofanya fitina, na kufanya uuaji katika fitina ile.

8Makutano wakaja, wakaanza kuomba awafanyie kama vile alivyozoea.

9Pilato akawajibu, akisema, Je! Mnataka niwafungulie mfalme wa Wayahudi?

10Kwa maana alitambua ya kuwa wakuu wa makuhani wamemtoa kwa husuda.[#Yn 11:48; 12:19; Mt 21:38]

11Lakini wakuu wa makuhani wakawataharakisha makutano, kwamba afadhali awafungulie Baraba.

12Pilato akajibu tena akawaambia, Basi nimtendeje huyu mnayemnena kuwa ni mfalme wa Wayahudi?

13Wakapiga kelele tena, Msulibishe.

14Pilato akawaambia, Kwani, ni ubaya gani alioutenda? Wakazidi sana kupiga kelele, Msulibishe.

15Pilato akipenda kuwaridhisha makutano, akawafungulia Baraba; akamtoa Yesu, baada ya kumpiga mijeledi, ili asulibiwe.

Askari Wamdhihaki Yesu​

16Nao askari wakamchukua ndani ya behewa, ndiyo Praitorio (yaani, nyumba ya uliwali), wakakusanya pamoja kikosi kizima.

17Wakamvika vazi la rangi ya zambarau, wakasokota taji ya miiba, wakamtia kichwani;
18wakaanza kumsalimu, Salamu, Mfalme wa Wayahudi!

19Wakampiga mwanzi wa kichwa, wakamtemea mate, wakapiga magoti, wakamsujudia.

20Hata wakiisha kumdhihaki, wakamvua lile vazi la rangi ya zambarau, wakamvika mavazi yake mwenyewe; wakamchukua nje ili wamsulibishe.[#Mt 27:31-56; Lk 23:26-49; Yn 19:16-30]

Kusulubiwa kwa Yesu​

21Wakamshurutisha mtu aliyekuwa akipita, akitoka mashamba, Simoni Mkirene, baba yao Iskanda na Rufo, ili auchukue msalaba wake.[#Rum 16:13]

22Wakamleta mpaka mahali paitwapo Golgotha, yaani, Fuvu la kichwa.

23Wakampa mvinyo iliyotiwa manemane, asiipokee.[#Zab 69:21]

24Wakamsulibisha, wakagawa mavazi yake, wakayapigia kura kila mtu atwae nini.[#Zab 22:18]

25Basi ilikuwa saa tatu, nao wakamsulibisha.

26Palikuwa na anwani ya mashitaka yake iliyoandikwa juu, MFALME WA WAYAHUDI.

27Na pamoja naye walisulibisha wanyang’anyi wawili, mmoja mkono wake wa kuume na mmoja mkono wake wa kushoto. [

28Basi andiko likatimizwa linenalo, Alihesabiwa pamoja na waasi.][#Isa 53:12]

29Nao waliokuwa wakipita njiani wakamtukana, wakitikisa-tikisa vichwa, wakisema, Ahaa! Wewe mwenye kulivunja hekalu na kulijenga katika siku tatu,[#Zab 22:7; Zab 109:25; Mk 14:58; Yn 2:19]

30jiponye nafsi yako, ushuke msalabani.

31Kadhalika na wakuu wa makuhani wakamdhihaki wao kwa wao, pamoja na waandishi, wakisema, Aliponya wengine; hawezi kujiponya mwenyewe.

32Kristo, mfalme wa Israeli, na ashuke sasa msalabani tupate kuona na kuamini. Hata wale waliosulibiwa pamoja naye wakamfyolea.[#Mt 16:1,4]

Kifo cha Yesu​

33Na ilipokuwa saa sita, palikuwa na giza juu ya nchi yote, hata saa tisa.[#Amo 8:9]

34Na saa tisa Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Maana yake, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?[#Zab 22:1]

35Na baadhi yao waliosimama pale, walisema, Tazama, anamwita Eliya.

36Na mmoja akaenda mbio, akajaza sifongo siki, akaitia juu ya mwanzi, akamnywesha, akisema, Acheni, na tuone kwamba Eliya anakuja kumtelemsha.[#Zab 69:21]

37Naye Yesu akatoa sauti kuu, akakata roho.

38Pazia la hekalu likapasuka vipande viwili toka juu hata chini.[#Kut 26:31-33]

39Basi yule akida, aliyesimama hapo akimwelekea, alipoona ya kuwa alikata roho jinsi hii, akasema, Hakika mtu huyu alikuwa Mwana wa Mungu.
 
Wacha waendelee na kiburi chao, waendelee kumshikilia tu ndio wanazidi kuharibu zaidi. Huyo mjuba angekuwa nje presha ya watu wa nje ingepungua kwa kiasi kikubwa
 
Kina cruz wanazidi kupata umaarufu nchini kwa miswada yao huko kwao kuhusu mambo ya hovyo nchini. Wamuachie tu huyo mjuba pengine upepo wa waamerika utabadilika. Waamerika wameanzisha miswada kutaka mbinyo ila kuna watu wanapuuzia miswada hiyo hawajishughulishi kuipunguza makali kinamna kwa kuwaachia wanasiasa inaowashikilia
 
Ila kama kawaida, Ma CCM hayana akili, Yana viburi

Yanangoja tu ICC na Vikwazo .

Bado RAIA titaandamana kama kawaida

Mkiua tena ni Moto, msipoua , tunaingia Ikulu !!!

Mtachagua wenyewe aaaahhh!!.

Kuna watu wanampisha shot mama samia,

Lisu kuwa jela I'm sure sio wazo la Rais

Ila kuna washauri wananufaika lisu kuwa jela because lawama zote zinakuwa kwa Rais na sio kwao

Ila trust me, kuna watu behind this
 
N kvp kuongea na lissu ingepunguza uzito wa 29 October?
Kwamba idadi ya watu waliouawa ingepungua au?

N kvp lissu kuachiwa angelainisha Hao USA na Ulaya?
Kwamba hao wasingezungumzia yaliyotokea 29 October kisa lissu yupo huru?

Kwamba target yako n kumuona lissu yupo huru tuu na sio waliohusika na mauaji kushughulikiwa?

Em naomba unijibu hayo kabla sijaona hii mada ni ya kipumbavu.
 
Akikujibu tu ni tag
 
downloadfile-1.png
 
Ushawishi wa LISSU unatosha kuwafanya marekann na Ulaya wakubali kua 'Matukio ya Oktoba 29, tutashughulika nayo wenyewe ndani bila kuathirí Uhusiano Wetu na NCHI wahisani".

Idadi ya WALIOULIWA, ingebaki kua Kubwa tu MAELFU kwa MAELFU.

Lissu kua Huru ni HAKI yake, Na lazima Waloua watu Okt 29, tuwashushulikie sisi wenyewe ndani bila kuathirí Uhusiano Wetu na NCHI wahisani.

Matukio ya Okt 29 yangebaki kushughulikiwa na sisi wenyewe, huku Wahisani wakibaki kama Observers.

Ni Fikra zangu, Sababu kubwa ya CCM kutafuta namna ya kushabikiwa ni CHADEMA, ni sababu wanajua CHADEMA ni Rafiki wa Wamagharibi.
 
Ila kama kawaida, Ma CCM hayana akili, Yana viburi

Yanangoja tu ICC na Vikwazo .

Bado RAIA titaandamana kama kawaida

Mkiua tena ni Moto, msipoua , tunaingia Ikulu !!!

Mtachagua wenyewe aaaahhh!!.
Hili sidhani kama nj wazo sahihi maana linaweza kumuweka Lisu aonekana kama kibaraka wa mabeberu uvumi ambao ccm wamekuwa wakiutumia kuwachafua Chadema.
 
Ushawishi wa LISSU unatosha kuwafanya marekann na Ulaya wakubali kua 'Matukio ya Oktoba 29, tutashughulika nayo wenyewe ndani bila kuathirí Uhusiano Wetu na NCHI wahisani".

Idadi ya WALIOULIWA, ingebaki kua Kubwa tu MAELFU kwa MAELFU.

Lissu kua Huru ni HAKI yake, Na lazima Waloua watu Okt 29, tuwashushulikie sisi wenyewe ndani bila kuathirí Uhusiano Wetu na NCHI wahisani.

Matukio ya Okt 29 yangebaki kushughulikiwa na sisi wenyewe, huku Wahisani wakibaki kama Observers.

Ni Fikra zangu, Sababu kubwa ya CCM kutafuta namna ya kushabikiwa ni CHADEMA, ni sababu wanajua CHADEMA ni Rafiki wa Wamagharibi.
Bado haijaingia akili unavyomhusisha lissu na hayo mambo.

Lissu anaweza kuuawa kama hao wngn walivyouawa na bado watanzania tulivyo Wapumbavu hakuna atakayesema chcht
 
Bado haijaingia akili unavyomhusisha lissu na hayo mambo.

Lissu anaweza kuuawa kama hao wngn walivyouawa na bado watanzania tulivyo Wapumbavu hakuna atakayesema chcht
Labda amgesema Lissu kama ni mtu wa HAKI ni rahisi kuaminika kwa USA kutokana na misiamo yake wanaanzaga vizuri wakina Lissu ila mwisho wao huwa madikteta maana Lissu hana aiba ya ukali kitu ambacho ni kibaya tunaona hata trump USA anataka kua dikiteta
 
Jamaa amesema lissu angeachiwa angepunguza uzito wa mauaji ya 29, Ndo nataka kujua n kwa vp atapunguza.

Lissu kuwa mtu wa haki atapunguza vp huo uzito, kwamba itaonekana hapakuwa Na mauaji au watu waliuawa watano?
 
Sheria itafuata mkondo wake watu kuwajibishwa ndo wananchi wanataka
 
Back
Top Bottom