Tutarajie Ukraine Kuwa Israel ya Ulaya?

Tutarajie Ukraine Kuwa Israel ya Ulaya?

Hamatan

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
7,404
Reaction score
17,162
Ni jambo la kawaida kwa jamii ya watu walio sensitive na matukio, kuelekeza nguvu zao kwa matatizo yanayowazunguka. Hali hiyo, huifanya jamii inayojitambua kuibuka na tafiti na gunduzi mbalimbali.

Mataifa kama Israel, kutokana na mazingira ya kuwepo kwenye vita za mara kwa mara, yameelekeza nguvu zao na tafiti zao nyingi kwenye silaha. Na leo Israel kuwa miongoni mwa mataifa wauzaji wakubwa wa silaha Duniani:

Israel's defense industry is a major global exporter, with the Stockholm International Peace Research Institute data showing the country ranking among the top ten global arms exporters.

Top buyers of Israeli military weapons and systems include:
  • India: Largest single consumer of Israel arms. Purchases range from air defense and radar systems to joint research and co-development of military hardware.
  • United States: A consistent buyer of specialized equipment and technology to fill specific capability gaps.
  • Germany: A major European buyer, most notably purchasing the sophisticated Arrow 3 missile defense system in a multi-billion dollar agreement.
  • Abraham Accords Partners (UAE, Bahrain, Morocco): A growing segment of Israeli arms exports (roughly 12%) goes to Arab nations that normalized ties, heavily investing in systems like missile defense and artillery.
  • The Philippines: Another primary recipient of Israeli-manufactured defense hardware.
  • Other Clients: Various European, Asian, and African nations purchase specific systems like the PULS rocket system and Elbit’s drone and avionics packages.
Je, Ukraine nayo ipo mbioni kuelekea njia ya Israel?
Waliokuwa wanafuatilia masuala ya vita vya Iran, wanajua kuwa Marekani na nchi za kiarabu ziliomba kuuziwa drones za kudungua drones za Iran.

Na hivi karibuni Ukraine iliweza kutengeneza robots za kuoigana vita ili kukabiliana na upungufu wa askari. Robots ziliweza kuwaua askari wa Urusi na baadhi kusalimu amri na kukubali kuchukuliwa mateka.

NB: Siku zote kwenye mwenye akili, akifanya jambo kwa muda mrefu sana, humjengea uzoefu, uzoefu unaoweza kumpeleka kwenye ugunduzi. Siku za karibuni zimeshuhudia drones za Ukraine zikipiga ndani kabisa ya Urusi, jambo ambalo hapo awali halikuwezekana. Drones hizo zimepiga viwanda vya mafuta vya urusi kiasi cha kushusha uzalishaji wa mafuta wa Urusi kwa 40%.

Kitendo cha askari wa Ukraine kupewa silaha kutoka mataifa mbalimbali, na askari wake kupewa mafunzo na mataifa mbalimbali, na yenyewe kuelekeza nguvu zake za kitekinolojia kwenye masuala ya vita, haitashangaza siku moja kuiona Ukraine ikiwa na utaalam mkubwa wa masuala ya kivita kushinda mataifa mengi yanayoisaidia leo.

Ukraine’s military has transformed into a globally recognized hub for unmanned systems, electronic warfare, and long-range precision strikes. Through rapid commercial-sector innovation and international partnerships, Ukraine produces nearly all of its frontline drones and has deployed deep-strike munitions capable of reaching targets over 1,750 kilometers away. [1, 2, 3, 4, 5, 6]
Key advancements across Ukraine's military arms include:
  • Uncrewed Aerial Vehicles (UAVs): Ukraine’s autonomous and AI-guided drone capabilities have expanded massively. The Liutyi serves as a primary long-range strike drone, while the AI-equipped Molfar employs evasion maneuvers to bypass interceptors. Specialized incendiary drones, known as "Dragon drones," are utilized to spray molten thermite and destroy cover.
  • Naval Drones: Unmanned Surface Vehicles (USVs) like the MAGURA V5 and the Sea Baby have revolutionized asymmetric warfare, operating as reconnaissance platforms, anti-aircraft units, and kamikaze weapons that actively neutralize vessels in the Black Sea.
  • Long-Range Missiles: Ukraine has developed its own domestic long-range missile and rocket systems, including the Neptune, Vilha, Flamingo, and Ruta, which bolster its deep-strike capabilities.
  • Electronic Warfare (EW): Battlefield-driven modifications have accelerated Ukraine’s EW and anti-drone interceptor arrays (such as the AIR Pro), providing a mobile, low-cost countermeasure against enemy munitions.
 
I wish the world were a safe place for all living beings, instead of turning into a field of chaos, war fanaticism, and the killing of human beings.
 
Back
Top Bottom