NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,572
- 13,396
Hapa JUZI tulisikia kiongozi mmoja aliingia kwenye tuhuma na kashfa za kulawiti mwanafunzi wa CHUO
Lakini UVCCM hawakujitikeza na kulaani jambo Hilo.
Tukasikia tena Mtoto kapotea na ghafla mwili wake umeokotwa ukiwa baadhi ya viungo vya mwili vimenyofolewa Cha ajabu UVCCM hawakujitokeza hata kulaani suala Hilo Bali wapo bize na Mtandao wa Twita Ufungwe.
NALIA NGWENA kwa Moyo mkunjufu na WA unyenyekevu mkubwa naungana na Rais WA Nchi Dr Samia Suluhu Hasani Kulaani vikali tukio Hili la ajabu katika Taifa letu.
Na nichukue Fursa hii kumuomba Mh Raisi kama itampendeza kiundwe kikosi kazi Maalumu na Mimi mwenyewe NALIA NGWENA Nikiwemo, kikosi hiki Maalumu kwa ajili ya Mapambano ya WAHUNI wanaotumwa na WAGANGA katika kutimiza mambo Yao ya kishirikina.
Nawasilisha ombi na hoja.
Pia soma:

Update: Mwili wa Mtoto Albino (Asimwe) wakutwa hauna baadhi ya viungo
Mtoto mwenye Ualbino Asimwe Novath aliyekuwa na miaka miwili na miezi sita, mkazi wa Kitongoji cha Mbale Kijiji cha Bulamula kata ya Kamachumu wilaya ya Muleba mkoani Kagera amekutwa amefariki na mwili wake umefungwa kwenye mfuko (Sandarusi) huku ukiwa hauna baadhi ya viungo. Akizungumzia...
www.jamiiforums.com