ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu uwekezaji wa Mo Dewji Simba ndiyo huu

    Kwanza suala la uwekezaji na umiliki wa hisa ni suala la kitaalamu na lina misingi yake, Simba hawaifuati. Mkutano Mkuu wa Simba uliridhia Mo kupewa 49% ya hisa za Simba. Ukototozi wa thamani ya klabu umefanyika? Bado. Wanachama wa Simba wanamiliki 51% ya hisa za Simba, kwani simba thamani yake...
  2. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Wadogo na rafiki zangu njooni hapa tuambiane ukweli

    Unajua miaka ya nyuma mambo kwa asilimia kubwa hayakuwa hivi yalivyo. Mimi nakumbuka kipindi hicho cha nyuma hata kupata watoto wazuri ilikuwa tunatumia mbinu za kiume hasa. Kama ni mikoani huko ilikuwa wakati mwingine inabidi ukimbize binti kwenye vichaka na uwe na utaalam wa kumpigwa "Ngwala"...
  3. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Huu hapa ukweli kuhusu majini (eneo ambalo wanapatikana kwa wingi jijini Dar es Salaam)

    Katika ulimwengu wa roho, Dar es salaam ni jiji ambalo wanaishi binadamu na majini. Majini ni nini? In my personal opinion which is based upon my personal understanding of the spiritual world, majini ni viumbe ambao kwa ujumla wao wapo more advanced in technology kuliko binadamu kwa ujumla...
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Haya CHADEMA njooni Tusemezane. Wala haina haja ya kupapasana mgongoni Ukweli ni Upi?

    Karibuni weekend nadhani ipo njema kabisa. Sasa ,mimi nimewaita kwa issue moja tu muhimu. Msikasirike sisi watu wenye Ubara ndani yetu huwa hatujui kuuma uma maneno. Nyie Watanzania wenzangu inakuaje mpaka sasa Zaidi ya Miaka 15 hamwoni haja ya kujenga Ofisi ya Makao Makuu?Mnaogopa nini? Ni...
  5. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Niliposema suala hili alilozungumza Kikwete, nilitengwa na kutukanwa sana. Huu ndiyo ukweli kuhusu Yanga

    Mechi zetu NBC L tunashinda kwa michongo; kwa kuwahonga Marefa na wachezaji wa timu pinzani. Hili hapa analisema Kikwete kuwa, tunashinda kwa njia ambazo hazitusaidii kwenye mashindano ambayo hatuna mtu wa kuongea naye. Tunapohonga timu nyingine ziikamie Simba, tunawanoa Simba zaidi na...
  6. MO11

    JamiiForums Tanzania Deportivo de Utopolo wakiongelea mechi ya jana, huyu kasema ukweli

    "Hawa wawili wameingiza goli mbili lakini kwa mbinde sana" Dah nimecheka sana!
  7. J

    JamiiForums Tanzania Nakupa ukweli mchungu

    Huu uzi siyo mrefu. Nataka nikupe ukweli mchungu wewe mwanaume mwenzangu kwamba "Ukioa mwanamke mwenye makalio lazima uchapiwe labda kama huyo mwanamke anamwogopa Mungu".  Nakwambia hivyo kutokana na uzoefu wangu wa kimaisha, sehemu nilizoishi na kufanya kazi. Kwahiyo kama wewe una mpango wa...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Askofu wa Katoliki Jimbo la Bukoba atetea uwepo wa kiti cha Rais Kanisani

    Wapendwa, nimeona mjadala juu ya kiti cha Rais na nikaonelea nitoe maelezo kidogo. Kanisa katika protocol zake inatambua na kuwaheshimu viongozi katika hadhi zao mbali mbali. Hii protocol siyo ya sasa au jana ni ya miaka mingi. Rais ni kiongozi wa nchi hivyo hadhi yake ni hadhi ya nchi siyo...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwakyembe Kuongoza Uchunguzi Malalamiko ya Mtihani wa Law School

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Damas Ndumbaro amemteuwa Dk Harison Mwakyembe kuwa Mwenyekiti wa kamati ya watu saba ili kutafuta chanzo cha kufeli kwa wingi katika mitihani ya mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo (LST). Kuundwa kwa tume hiyo kumekuja baada ya kelele za wananchi kufuatia hoja...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Watanzania tumezoea udanganyifu kwenye vyumba vya mitihani. Kilichotokea Law school of Tanzania ni matokeo ya kuzoea udanganyifu

    Habari! Mimi niliona hili tangu 2006 nilipohotimu darasa la saba, Mwalimu mkuu alipigana sana kuhakikisha anawapa majibu wanafunzi wake indirect. Mimi sijapendezwa na ule mchezo, hakika sikushiriki. Niliona ni dhambi, pili niliona najiweza. Sekondari 2010 wakati namaliza O -level sijaona...
  11. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Naomba niwaumize Yanga kwa kusema ukweli, Sudan hamuwezi kutoboa!

    Habari Wakuu. kweli huwa unaweka huru, japo inaumiza sana. Ndugu zangu Yanga, mtatamba sana kwenye ligi yetu, mtatamba mno. Bila Simba kuongeza "Quality 4" mtaisumbua sana. Linapokuja suala la mechi za kimataifa Yanga wataendelea kuteseka, kuumia, kukosa furaha, kujeruhiwa nk. kwa sababu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ubora unaosemwa wa Feisal haujawahi kuvuka mipaka ya Tanzania

    Ukianza na AFCON ambayo aliaminiwa sana na Amunike lakini alizingua sana, akawa anaruka ruka tu, nakumbuka mechi moja alitolewa mapema sana na Mkude aliingia kutuliza dimba. Ukija kwa Rivers UTD mechi zote mbili hakuna cha maana alichofanya zaidi ya kuruka ruka. Mechi ya juzi dhidi ya Al Hilal...
  13. Championship

    JamiiForums Tanzania Christiano Ronaldo aambiwe ukweli, muda umeshamtupa mkono, astaafu

    Huyu gwiji mkongwe katika mpira ameshachoka sasa. Wakati ni ukuta, anatakiwa kujiongeza na kutunza heshima yake. Wenzake wakifikisha miaka ya pensheni huwa wanakwenda Marekani au Uarabuni kula hela pasipo kamera nyingi na matarajio makubwa ya mashabiki. Hakika mpira wa miguu itaukumbuka uwezo...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Wanaume acheni uongo, ukweli utawaweka huru

    Unakuta mwanaume anafamilia yake anakorofisha na mke wake anakwenda kutafuta mchepuka. Akifika huko na hasira zake anadanganya hajaoa au kaoa lakn hampendi mkewe, anaenda mbali zaidi anasema anampenda huyo mchepuko zaidi na yuko tayari kuachana na mkewe, hapo hajui km anatengeneza Bomu mchepuko...
  15. Escrowseal1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni ukweli kiasi gani kwamba ukiigusa Kenya umemgusa Biden na EU

    Katika mahojiano VOA Swahili amesikika mkenya mmoja akidai kuwa ukiichokoza Kenya umemchokoza Biden na Europe kwa ujumla ni baada ya kijana wa Museveni kuandika kwenye Twitter utani wa kuivamia Kenya. Naombeni ufafanuzi wa madai haya ya mkenya bandugu .
  16. Mnyakyusa5000

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu

    Kama hauna kipato au fedha za kumhudumia mwanamke uliyenae kwenye mahusiano basi ujue: 1. Muda wako wa kuwa kwenye mahusiano haujafika. 2. Hauna mapenzi ya kweli kwa huyo mdada. 3. Unaendeshwa na hisia zako za kimwili na siyo upendo. 4. (1,2,3) yote kwa pamoja
  17. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameongea ukweli na kushauri vyema kuhusu viongozi kutambua mipaka yao kiuongozi

    Ndugu zangu Jana October 3/2022 mh Rais Samia alikuwa anawaapisha viongozi aliowateua katika mabadiliko madogo aliyoyafanya katika Balaza la mawaziri, Ambayo siku zote hulenga katika kuboresha utendaji na kuleta ufanisi kazini utakaokuwa na tija katika kuwatumikia na kuwahudumia wananchi. Pili...
  18. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Wazazi zungumzeni na watoto wenu kuhusu Ubakaji na Ulawiti

    Nimekuwa nikisikia hili suala la wazazi kuzungumza na watoto wao, lakini sikuwahi kulifuatilia kwa kuwa mtoto wangu ndiyo kwanza ana miaka sita. Sikuwahi kuona kama kuna kitu cha maana kinachoweza kutuweka chini kuzungumza zaidi ya kumtuma lete hiki na kile na kumsaidia kazi zake za shule. “Ila...
  19. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Akili inapokataa kuamini na kuukubali ukweli

    AKILI INAPOKATAA KUAMINI NA KUUKUBALI UKWELI Kaniandikia: "MMS kila mara unapoandika UISLAM ndipo unapochefua watu. Ubongo wako umekataa kulikubali hilo, nami nakuacha kama ulivyo. Lakini ujue unakera sana. Mimi ni mmoja wa wengi tunaopenda kusoma maandiko yako lakini hata para ya 1 nikiona...
  20. Akilihuru

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi kuhusu maeneo haya?

    Kwema ndugu, leo nikiwa maeneo fulan nilikutana na ubishi. Ubishi huo ulitokana na baadhi ya vijana wanaoishi katika kata ya Wazo, Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es salaam. Vijana hawa walikuwa wanabishana kuhusu maeneo fulani yanayopatikana katika kata hiyo ya Wazo ambapo wapo waliodai kwamba...
Back
Top Bottom