Nakupa ukweli mchungu

Joel360

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
981
631
Huu uzi siyo mrefu. Nataka nikupe ukweli mchungu wewe mwanaume mwenzangu kwamba "Ukioa mwanamke mwenye makalio lazima uchapiwe labda kama huyo mwanamke anamwogopa Mungu".

Nakwambia hivyo kutokana na uzoefu wangu wa kimaisha, sehemu nilizoishi na kufanya kazi. Kwahiyo kama wewe una mpango wa kuoa makalio kama vijana wengi tulivyo basi hili ni jambo la kuzingatia sana.

Niwatakie mchana mwema!
 
Kuna k2 kumekkta boss au nije inbox tuongee kdg
 
Huu uzi siyo mrefu. Nataka nikupe ukweli mchungu wewe mwanaume mwenzangu kwamba "Ukioa mwanamke mwenye makalio lazima uchapiwe labda kama huyo mwanamke anamwogopa Mungu".

Nakwambia hivyo kutokana na uzoefu wangu wa kimaisha, sehemu nilizoishi na kufanya kazi. Kwahiyo kama wewe una mpango wa kuoa makalio kama vijana wengi tulivyo basi hili ni jambo la kuzingatia sana.

Niwatakie mchana mwema!
Umeshachapiwa nini mzee baba?

Mimi sijali hata kama wengine wanamla cha muhimu tu awe ananipa haki yangu

Hata uoe demu hana tako (flat skrini) njemba zinapita naye kama kawa
 
.. usipomuoa huchapiwi?

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Huu uzi siyo mrefu. Nataka nikupe ukweli mchungu wewe mwanaume mwenzangu kwamba "Ukioa mwanamke mwenye makalio lazima uchapiwe labda kama huyo mwanamke anamwogopa Mungu".

Nakwambia hivyo kutokana na uzoefu wangu wa kimaisha, sehemu nilizoishi na kufanya kazi. Kwahiyo kama wewe una mpango wa kuoa makalio kama vijana wengi tulivyo basi hili ni jambo la kuzingatia sana.

Niwatakie mchana mwema!
Awe nalo awe hana kuchapiwa kupo palepale tu.
 
Awe wa namna yeyote ile atapigwa tu!! Ili kumitigate possibility ya kuchawapiwa tafuta demu unamuweka ndani ila kama anazunguka sana kama mfanyabiashara au mfanyakazi anakutana na watu kibao so kupigiwa atapigwa tu ...wahuni sio watu wazuri. Hata akikaaa home wapo vijana wa kitaa Wana akili mbaya hata kwa ulozi watampta tu.
 
Umefanya utafiti na wanawake wangapi, ikiwa ivyo sasa hawa wenye makalio makubwa waolewe na nan
 
Umeshachapiwa nini mzee baba?

Mimi sijali hata kama wengine wanamla cha muhimu tu awe ananipa haki yangu

Hata uoe demu hana tako (flat skrini) njemba zinapita naye kama kawa
Hivi piga picha akilini mwako mkeo anapewa vitu na mwanaume mwingine, lile joto unalolipata, zile style unazopata kuna mtu anapewa, mkeo anatoa miguno ya mahaba halafu mwisho wa mchezo anako.jole.wa kabisa. Huyo ni mkeo boss, unajiskiaje ?
 
Kuna mke wa mtu namjua. Ikitokea ukamfunika uso, hujui mbele wapi nyuma wapi. Ni kwamba ni bapa kama meza ya kupigia pasi.
Lakini huwezi amini, anakipigisha nje ya ndoa kama vile anataka kuukomoa uchi wake.
Kwa kifupi, kuchapwa kwa mwanamke ni hulka na matakwa yake. Haijalishi awe na matako kama Vera Sidika au bapa kama Zuchu.
 
Back
Top Bottom