ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Je, kuna ukweli watu wengi hufanya kazi kwa bidii zaidi siku ya Jumanne tofauti na siku nyingine ya wiki?

    Je, kuna ukweli watu wengi hufanya kazi kwa bidii zaidi siku ya Jumanne tofauti na siku nyengine ya wiki?
  2. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Kama hakuna atakayezungumza ukweli kuhuru Iran mimi nitazungumza

    Huu uzi umejikita kiinteligensia, facts na uchambuzi wa evidences zaidi ya ushabiki wa ule uzi mwingine. Eti nini? Eti hali mbaya ya nini? LIKO WAZI CHOPA YA KIONGOZI WA IRAN imeshushwa kwa space laser. Naomba unionyeshe hiyo "hali mbaya ya hewa" Hii chopa imeshushwa na sio ajali. I think...
  3. Mcheza Piano

    JamiiForums Tanzania Tuseme Ukweli: ukisikia neno Mashavu unawaza nini?

    Mimi nawaza mambo ya connection, yani kupeana mashavu / michongo ya maisha, wewe je?
  4. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Kibiashara Facebook is more powerful than Instagram

    Ukimuona mtu anaichukulia poa Facebook basi huyo sio mfanyabiashara wala mjasiriamali. Hajui chochote kuhusu business. For your information Facebook is more better in business than instagram. Ina watu wengi sana ambao wapo active na wanafikika kwa kirahisi sana kuliko Instagram. # Facebook...
  5. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Historia ya Tanganyika: Kubali Ukweli Hata Kama Ukweli Unapingwa na Dunia Nzima

    AMESEMA ALIYESEMA NITAWAFELISHA WANAFUNZI KWA HISTORIA ZANGU ZISIZO NA VYANZO VYA KUAMINIKA Lupweko said: Mzee utawafelisha watoto kwenye mitihani yao kwa historia zako ambazo hazina vyanzo vya kuaminika Lupweko, Mimi sina historia iliyo yangu. Historia ni kama ilivyotendwa na wahusika hao...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli haupingi Zanzibar ipo Kama hakuna Zanzibar mbona kuna Rais wa Zanzibar?

    Kama hakuna Zanzibar, mbona kuna rais wa Zanzibar? Anawakilisha nani?
  7. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe kuwa na machawa ni raha sana

    Kama mzigo upo basi kuwa na machawa ni jambo la muhimu sana. Vita yako ni yao kazi yako kubwa ni kuwaweka kwenye payroll kuhakikisha flow ya cash haikati.
  8. Accumen Mo

    JamiiForums Tanzania Ukweli ambao unafichwa juu ya biashara ya utumwa Tanzania na Africa kwa ujumla

    Wasalaam wanajf Kama kichwa cha uzi kinavyosema , huu ndio ukweli watu wanapotoshwa miaka yote . Fuatilia hii clip hapo chini
  9. Tindo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Upendo Peneza aeleza sababu za kuondoka kwake CHADEMA

    Dada anafunguka vibaya huko kuhusu mambo ya cdm. Anamuanika Mbowe hadharani. === Video: Mwananchi
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mwenendo wa Dunia & the Prophecy

    Habari: Kuna mataifa kadhaa duniani ambayo haya ndiyo ya kutizama sana Israel, Marekani, Vatcani ukiangalia vizuri Israel utagundua kuwa Kuna maandalizi makubwa ya kumkaribisha masihi kumbuka baada ya kifo cha Allen Sharon pm rabi yitzak kaduri alisema masihi atakua karibu kuijilia Israel...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Unaendelea kuteseka kwasababu kuna ukweli hutaki kuukubali

    UNATESEKA KWA SABABU KUNA UKWELI HUTAKI KUUKUBALI. 1. Kakuacha ila hutaki kukubali kuachwa 2. Hawana muda na wewe ila unalazimisha wawe nao 3. Njia siyo yenyewe ila unalazimisha iwe yenyewe. 4.Wameamua kwenda bila wewe ila unalazimisha uwe safari nao moja. KUNA UKWELI NI MGUMU KUUPOKEA...
  12. Uhuru24

    JamiiForums Tanzania Kuna mwenye ukweli na hili???

    Nimepita instagram nimekutana na hili tangazo,sasa nikataka kujua channel zipi zinapatikana kwenye hicho king'amuzi ndio akanitumia oradea yote ya hizo channel kama imabyoonekana. Nikapiga picha nikaona mbona hili ni kama zogo la DStv??? Sasa huku tunaishi toauti hivyo labda mwenye uelewa au...
  13. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwa dunia ya sasa mke wa kweli yupo kijijini au mjini ?

    Eti wakuu wanawake wa mjini wa kuunga unga kelele nyingi na njaa ya kutisha. Mjini bwana unapiganiwa hatari mwanamme mmoja inagombaniwa na wanawake wa nne maisha ni magumu sana. Ukiwa mtenda mabaya maisha yatakuwa mabaya.
  14. Chaliifrancisco

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe hawa Wadudu wa Arusha hata sio wenyewe

    Kuna mada nimeziona nyingi kuhusu wadudu. Ukweli ni kwamba wanaotrend sana kama wadudu kipindi hiki sio wadudu. Kwanza hao ni wakuja tu huyo kenyoyo sio wa Arusha ni wa Mto wa Mbu. Wadudu OG ni wanaitwa Wadudu wa Dampo na wengie waliitwa Watato wa Mbwa ni madogo ambao labda wengine kwa sasa...
  15. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba kama Nchi tunahitaji watu kama Tundu Lissu na Hayati Magufuli walioboreshwa

    Habari JF , TL na JPM personality zao zinafanana sana ukiachana tofauti zilizopo za kisiasa na ni wazalendo kweli kweli Hivyo Kiuhalisia hakuna zuri ambalo JPM alifanya Tundu lissu asingefanya ukiachana na matamshi ya TL kulingana na kuwa nje box . Vivyo hivyo hakuna baya ambalo JPM alifanya...
  16. HONEST HATIBU

    JamiiForums Tanzania Tuongee ukweli hapa 🤣🤣

    Tuongee ukweli kati ya Yammi na mke wa Barnabas nani mzuri be honest😜
  17. Mateso chakubanga

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu

    Rais wa zamani wa Marekani Mh Barack Obama amesema watu wanaomzunguuka walikua wanamwambia ukweli anapokosea na pia kuhoji uhalali wa maoni yake anapokosea wala sio kumsifia kwa kila jambo,ni hatari watu unaowaamini wasipokwambia ukweli"
  18. HONEST HATIBU

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Isiyo na Rushwa: Ni Ndoto au Ukweli?

    Tanzania Isiyo na Rushwa: Ni Ndoto au Ukweli? Utangulizi Tanzania ni nchi yenye fursa nyingi na uwezo mkubwa. Hata hivyo, nchi yetu pia inakabiliwa na changamoto kubwa ya rushwa. Rushwa ni kizuizi kikubwa kwa maendeleo yetu, kwani inakatisha tamaa uwekezaji, inasababisha ukosefu wa usawa, na...
  19. KHM 1995

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu utajiri wa ndagu

    Habari zenu wakuu, natumaini mko poa. Kabla sijaenda mbali ningependa wataalamu na wazoefu wa hili suala la dangu za utajiri je lipo? Kama lipo linafanya kazi? Kama linafanya kazi stakeholder na maexpert wa field hii wajitokeze tujue hii kitu inaexit au scams tu. Asante kwa kuwakilisha, wazee...
  20. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Ukweli Usemwe Ali Kiba hajawahi kuwa na Enzi ya Ufalme kwenye Bongo Flavor sana sana Amedumu kwenye Mziki wa Bongo tu

    Kulikuwa na wafalme kama hawa 1.. Joseph Mbilinyi SUGu, Mr II, 2proud, Taita 2. Professor J 3. JUMA Nature 4. Inspector Haroun 5. Ferouz 6. Mr. Nice 7. Mr. Blue 8. Mangwea 9. Afande Selle 10. 20 Percent 11. Fid Q 12. G.Nako na Clue yake yote 13. Dully Sikes (Huyu ndio Mr. Bongo Flavor) 14...
Back
Top Bottom