ukweli mchungu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ngongo

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA inakwenda shimoni

    Heshima sana wanajamvi. Nimekaa pale natafakari na kujiuliza mambo mengi sipati majibu. Natazama hizi kesi za michongo na hukumu za michongo naiona chadema inapitia mkondo ule ule wa NCCR-MAGEUZI. Ngongo kwasasa Tanga Michungwani.
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Kwa ilipofika Tanzania sasa, Samia hata akiamua kuwa Rais post 2030 atafanikiwa na hakuna wa kumfanya chochote!

    Kwenye Taifa lolote lile, vyombo vya kuilinda Katiba vinapokufa lolote lile linaweza kutokea na hakuna wa kufanya chochote kile. Ni ukweli mchungu kuwa sasa Tanzania Katiba inavunjwa waziwazi kwa Watu kuzuiwa kutekeleza Haki zao za Uhuru wa Kuabudu na hakuna lolote linalofanyika. Haki za...
  3. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Huu Hapa Ukweli Mchungu Kuhusiana na Maisha Unaopaswa kuujua mapema Kabla Hata ya kufikisha miaka 18

    Ukweli ni Kwamba MAISHA NI KUPANGA NA KUPANGA NI KUCHAGUA Na cha kusikitisha ni kwamba… KILA SIKU UNACHAGUA — hata bila kujua. Kila jambo unalofanya ni uchaguzi: – Unapochagua kulala badala ya kusoma... – Unapochagua kula bata badala ya kuwekeza... – Unapochagua kulalamika badala ya...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanaume wote JamiiForums na Kwingineko kuleni Chuma hiki cha Ukweli Mchungu

    Kudadadeki.....!!!!!!
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ukiukataa huu Ukweli Mchungu wa Dudu Baya ni lazima tu utakuwa una matatizo makubwa ya Akili

    Dudu Baya umemaliza kila Kitu. Tuliobahatika kutembea kidogo hapa na pale nchi kadhaa (Team Passport kujaa Mihuri ya Uhamiaji) tunakuunga mkono kwa 99.9%. Nilikuwa najiuliza sana tu kwanini ukienda Uingereza, Marekani, Ufaransa na Ubelgiji unawakuta mno Raia wa Nigeria (Wapopo), Congo DR...
  6. Setfree

    JamiiForums Tanzania WHO wathibitisha pombe ni sumu. Sasa nina ujasiri wa kusema: "kunywa pombe bila kulewa ni dhambi."

    Kama ulikuwa huna habari, kisayansi, pombe ni sumu. Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa Ethanol, kiambato kikuu katika pombe, ni dutu ya sumu kwa mwili wa binadamu. Shirika la Afya Duniani (WHO) through International Agency for Research on Cancer (IARC) linaiainisha pombe (ethanol in alcoholic...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa Kitanzania, Wanawake na Mabinti wa Kitanzania hebu kuleni Chuma hiki cha Ukweli Mchungu

    Tafadhali mwenye namba ya Simu ya huyu Dada aje PM anipe ili nimpigie na nimtumie Zawadi kwa kusema huu Ukweli.
  8. Stability

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Hakuna kundi la vijana hapa bongo linaloongoza kufurahia maisha kama mabinti wenye makalio makubwa

    Wengine picha zetu za before and after bado mbavu zimekakamaa njaa tupu🤣 ila hawa tipwa tipwa kamechipukia juzi kana 21yrs old ila ghafla unaona kanapiga picha mara kapo ngoro ngoro mara dubai, mwaka kesho kana duka la nguo hapo sinza.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Huu Hapa Ukweli Mchungu Kuhusu MAFANIKIO Unaopaswa Ku-ufahama Mapema Sana Kabla Hata ya Kufikisha Miaka 25. Wengi Hujutia Sana Kwa Kuchelewa Kuufahama

    Ukweli Mchungu ni Kwamba.... Kila kitu kinachotokea kwenye maisha yako kina mzizi mmoja: NAMBA. Na cha kushangaza zaidi? Namba hazidanganyi. Hazisahau. Hazisamehi. Kipato chako ni namba Matumizi yako ni namba Akaunti yako ya benki ni namba Uwekezaji wako ni namba. Na hata kufeli kwako —...
  10. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu- Viongozi waliokuwa madarani minaona acha waendelee sababu wananchi hai wanataka nini japokuwa sikubaliani na mambo mengi wanayoyafanya

    MIMI NIMETANGAZA NIA YA KUWA RAIS WA TANZANIA NI UKWELI WATU WANAHAKI YA KUNIPINGA ILA NASHANGAA SANA WATU HAO HAO UNAWAKUTA WANALALAMIKA KWENYE NYUZI NYINGINE Kuna watu kibao hawamsupport Rais Samia na ccm cha ajabu wanakuambia makonda anafaa, wengine dotto biteko, wengine makamba, wengine...
  11. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Ukifuatilia sana mambo ya dini, utabaini kuwa "Dini ni kwa ajili ya watoto"

    Au watu wazima wenye akili za kitoto ( The gullible ones). Story za dini hizi za wazungu na waarabu ni utoto utoto tu. Ni ajabu sana kuona mtu mzima bado ana amini kwa dhati kuhusu mambo ya dini. Baba zima bila aibu eti linaongea kuhusu adhabu ya kaburi au moto wa jehanamu etc. Ma Sheikh...
  12. Sheffer95

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu nilio ukubali ndo huu

    Hapa karibuni nilileta thread inayosema " Hivi wanaume wenzangu mlifanyaje" ukweli niliokuja kuujua ni kwamba kumbe yule mwanamke niliyetaka kumfanya mchepuko anafahamiana na mke wangu. Na kwakifupi ana muheshimu sana kwasababu huko nyuma kidogo mke wangu aliwahi msaidia kum connect mahali...
  13. Mangwea1900

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kwa wanaume wote

    1. Kuwa mwangalifu na afya yako siku zote. 2. Jiwekeze kiuchumi kwani fedha itakuwa msaada wako umri ukienda. 3. Umri ukienda sana thamani inategemea hali yako ya kifedha. 4. Umri ukishaenda hakuna atakayekuajiri. 5. Watoto ulio nao wote wapi tayari kukaa na mama yao akiwa mzee kuliko wewe...
  14. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Huu ni ukweli mchungu, nchi ya wanasiasa matajiri kuliko wafanyabiashara

    Hakuna nchi inayoweza kupiga hatua kubwa za kimaendeleo endapo SIASA zake zinalipa kuliko VIWANDA VYAKE,Katika nchi ambayo Wanasiasa ni matajiri Kuliko Wafanyabiashara na wajasiriamali, hapo ni lazima umaskini utanawiri tuu!!! Hayaa ni maoni yangu baada ya kukaa na kutafakari jinsi watu wengi...
  15. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ukweli mchungu: Waliokataliwa sio CHAUMMA, bali ni CCM

    Ukitafakari kwa kina, utagundua huu ndio ukweli . Mwanza hawajaikaa CHAUMMA, bali wameikataa CCM inayotuhumiwa kuifadhili CHAUMMA ili kiwe chama kikuu cha upinzani badala ya CHADEMA. Hasara ya CHAUMMA ni kupoteza hata ile imani kidogo watanzania waliokuwa nayo juu ya chama hiki. Somo...
  16. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu ni kuwa Wachaga hawawezi kuachia CHADEMA kilaini kama mnavyoamini, Wachaga na maslahi ni kifo tu ndo kinaweza kuwatenganisha

    Ukweli mchungu ni kuwa Mbowe hawezi kuachia CHADEMA kilaini kama mnavyoamini, Wachaga na maslahi ni kifo tu ndo kinaweza kuwaachanisha Hivi mnawajua Wachaga vizuri kweli kwenye mambo ya maslahi?? Au bado hamuwajui?? Wale jamaa bana kwenye mambo ya maslahi akishakuwa king'ang'anizi hawezi kuacha...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu ambao kila mtu anauona uwe CCM au CHADEMA lakini anaumia kimyakimya

    Ni kitendo cha Wanzanzibar kujazana Serikalini. Niseme nimeshuhudia awamu zote za uongozi lakini hakuna awamu iliyojaza wazanzibar Serikalini kama hii, karibu kila ofisi kila idara utawakuta, na hawajifichi kutokana na lafuzi ya kiswahili Chao. Sibagui mtu inauma maana wamechukua ajira za...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Tatizo sio watekaji, tatizo liko vichwani mwa wananchi

    Watanzania wengi kichwani . Ukipiga stori na Mtanzania mwenzako utagundua hili. Ni wachache sana ukikaa nao mezani kupiga stori utaweza kuondoka na kitu. Wengi wataishia kuropokaropoka tu. Hii hali ya miongoni mwa Watanzania Mimi sijui ni man made au ni genes. Vyovyote vile iwe man made au...
  19. Damaso

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu Kuhusu Ujengaji Misuli: Uzuri wa Ujana, Hatari ya Uzee

    Ujengaji wa misuli ni mchezo wa kuvutia unaohitaji nidhamu, mazoezi makali, na lishe bora. Kwa vijana, ni njia nzuri ya kujenga mwili, kujiamini, na hata kupata umaarufu au kipato. Mwili unaochongwa kwa ustadi huvutia wengi na kuashiria afya na nguvu. Lakini, kuna upande wa pili wa shilingi...
  20. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu , lazima usemwe

    Tuangalie mambo ambayo ni ya kweli ila yanapindishwa ili tu kupata faraja na huruma Kwa baadhi ya watu. 1.Dini ,manabii ,wachungaji na masheikh. Hawa kuna namna wameushikilia ulimwengu,licha ya kuwepo watu wachache wenye uelewa wa huu utapeli lakini bado most of them huwaambii kitu kuhusu...
Back
Top Bottom