ukweli mchungu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Picha ya Msiba Wako: Ukweli Mchungu

    Siku moja bila kujua utapiga picha ambayo itakuja kutumika kwenye msiba wako.
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Ukweli Mchungu wa 'Nongwa' Zake

    WARIOBA NI MTU WA HOVYO SANA... Kuna muda tunajizuia sana kuongea juu ya huyu mzee lakini tunashindwa kabisa kwa kuwa ana mambo ya hovyo sana na amezanza huu uhovyo muda mrefu sana.. Jose yeye kila kitu kinachofanywa na serikali ni makosa na lazima awe na mawazo tofauti na kukosoa na...
  3. Am the One

    JamiiForums Tanzania TUSIPOJITUMA TUTATUMWA: Ukweli Mchungu Kuhusu Mustakabali wa Afrika

    TUSIPOJITUMA TUTATUMWA: Ukweli Mchungu Kuhusu Mustakabali wa Afrika. Kuna jambo la kutisha linaloendelea sasa hivi: Vijana wa Kitanzania na Waafrika kwa ujumla wanalegezwa taratibu na mambo yasiyo na tija. Kamari, uraibu wa michezo bila uzalishaji, na anasa za muda mfupi zimekuwa kipaumbele...
  4. O

    JamiiForums Kenya “Je, ndoa ni leseni ya ridhaa ya milele? Ukweli mchungu kuhusu ubakaji ndani ya ndoa ambao jamii inakataa kukubali.”

    Kwa ndoa Kuna ubakaji unakubaliana
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake na singles wanabeba mzigo wa rushwa Kenya EACC Survey yafichua ukweli mchungu

    Kenya imeamka na reality check mob sana baada ya Ethics and AntiCorruption Commission (EACC) kutoa survey mpya ya 2025 na findings zake ni eyeopening kabisa. Kulingana na report, wanawake na watu single ndio wanatoa bribes mara nyingi zaidi kuliko wanaume au wale wako kwa ndoa. Why? Simple wao...
  6. east36

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Machawa wa CCM na uhalisia wa maisha ya mtanzania

    Nauliza kwa dhati kabisa Nauliza swali ambalo wengi wanaogopa kuliuliza waziwazi… Hivi hawa machawa wa CCM wanaishi nchi hii hii tunayoiishi sisi, au wanaishi kwenye dunia yao? Kwa sababu ukweli hauhitaji kupakwa rangi, Maisha yamekuwa magumu kupindukia Vijana hawana ajira Wananchi wanalia...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nje ya tetesi za Mheshimiwa kuachana na mke wake baada ya DNA kuonyesha mtoto si wake, ukweli mchungu wanaume wengi tunakuza watoto wasio wetu

    Hivi sasa kinachoendelea huko mitandaoni ni kelele kwamba Mheshimiwa flani kaachana na mke wake baada ya DNA kuonyesha mtoto si wa kwake, Hakuna chanzo rasmi kilichothibithisha kwa uhakika kama hii ni habari ya kweli au porojo za mitandaoni, lakini ukweli mchungu ambao haupingiki, kuna wanaume...
  8. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Ukweli gani mgumu umekubaliana nao baada ya kuwa mtu mzima?

    Acha nianze:

 Maisha hayana huruma - unaweza kufanya kila kitu kwa ubora na kama inavyotakiwa na bado ukafeli. Ukimya ni jibu - jifunze kunyamaza na kucontrol hisia zako, itakupunguzia matatizo mengi ambayo si ya lazima. Watu watakuja na kuondoka kwenye maisha yako, ni mzunguko wa asili...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ukweli mchungu ila vijana wanaokwenda South Africa bora wakabaki hapa

    Leo kuna kijana anataka kwenda south Africa kutafuta maisha alinipigia na yupo mkoa fulani siwezi kutaja. Kwa tafiti zangu za kuzurura na kutembea sana ila kule sasa sio pakutafuta maisha kwa mtu ambaye shule huna, unakwenda kwa kutumia viza za miezi,huna kibari cha kazi. Waliofaidi ni wale...
  10. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Samia haumizwi na vifo vya Watanganyika, hajali chochote kuhusu Watanganyika. Uteuzi wa Baraza la Mawaziri ni kielelezo tosha

    Kila siku tunasema humu. Kwa tulipofikia ni sisi Watanganyika kuamua kujikomboa tu. Na hiki ndicho kilichobaki na suluhisho pekee mbele yetu. Kama kuna mtu aliyekuwa anadhani kuwa Samia anaumizwa na vifo vya Watanganyika basi ajue anakosea sana. Kama kuna mtu alikuwa anadhani kuwa Samia...
  11. H

    JamiiForums Tanzania UKWELI MCHUNGU (GEN Z Hawataki Kusikia Lakini ni Ukweli 100%)

    1. School Won’t Make You Rich — But School Is NOT a Scam Shule haikubuniwa kukufanya uwe tajiri. Shule ilibuniwa kukufanya uwe mtu wa kawaida mwenye nidhamu, uwezo wa kusoma, kuandika na kufikiri. Kufanikiwa ni kazi ya skills, mtaji wa mawazo, na maamuzi ya kiuchumi, sio tu cheti. Cheti ni...
  12. Damaso

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu wa vifo vya watu wasio na hatia wakati wa maandamano nchini Tanzania

    Ni huzuni kuu inayotanda mitaani. Machozi yanayodondoka kwenye nyuso za mama waliopoteza watoto wao, kelele za huzuni za ndugu wanaojaribu kuelewa kwa nini wale waliokuwa wakidai haki leo wamelala milele. Tanzania, nchi iliyojulikana kwa amani na utulivu, leo inajikuta ikitikiswa na maswali...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Wanaume kuna muonekano ukiwa nao, huwezi kuja JF kulalamika kuwa kila mdada unayemtongoza anakuomba omba hela

    Habarini, Tofauti na kichwa cha habari, katika pitapita zangu TikTok nlikutana na account ya jamaa mmoja mtanzania, anajiita Dr Julian sio mwanamziki wala sio muigizaji, hapost maisha expensive, ila aloo hiyo idadi ya wadada wanao-andika thirst comments kwenye picha za huyo mkaka , na...
  14. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Huu ndio ukweli mchungu kuhusu OKTOBA 29 , hakutakuwa na maandamano Bali ni Kutiki tu

    Ninasimamia ninachoamini na ninaamini watanzania hawapo tayari kwa maandamano yasiyo na mwisho na Hilo ndilo linafanya maandamano yanayoratibiwa kufanyika OKTOBA 29 kukosa hoja ya ushawishi na utekelezaji na kuyapuuza. Huu ndio ukweli mchungu wa OKTOBA 29 : Kwanza , watu wataamka mapema...
  15. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kuhusu Ndoa za Kiafrika!

    Siku ya kwanza, Mwanaume anasikiliza na Mwanamke anasikiliza, Padre ndio anaongea. Mwaka wa kwanza wa ndoa, Mwanaume anaongea Mwanamke anasikiliza. Mwaka wa pili, Mwanamke ndio anaongea. Mwanaume unasililiza. Mwaka wa tatu, Mwanaume unaongea na Mwanamke anaongea, Majirani wanasikiliza...
  16. Setfree

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Maombi ya kujionesha, hata kama ni ya siku tisa (Novena), Mungu hayasikii

    Maombi ya kujionesha ni hali ya kuomba au kufanya sala kwa kutaka watu waone, waseme na kusifia. Ni maombi ya mtu anayetafuta heshima ya kidini, sifa au umaarufu wa kijamii kwa kutumia jina la Mungu. Mtu anapotangaza mitandaoni ratiba za maombi yake na kupiga kelele “leo siku ya kwanza ya...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Mali za Tanzania nzima (namba 1-Serikali) na (namba 2-Kanisa la Katoliki)

    UKWELI Mchungu: Mali za Tanzania nzima (namba 1-Serikali) na (namba 2-Kanisa la Katoliki) . Kesho wakisema wanasimamisha mashule yao, hospitali na vitegauchumi vyao vyote mpaka mabadiliko ya sheria yafanyike serikali kesho kutwa inafanya mabadiliko tena bila mgomo. Sababu kubwa sio tu kwamba...
  18. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Sasa kila Mwananchi ajipambanie kivyake

    Uzi huu utajieleza kwa picha
  19. Nusratt

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Wadangaji tuna Maisha mazuri kuliko Wanawake walio Ndoani

    Utakataa na kufyonza pengine hata kuniporomoshea matusi, ila huu ndio ukweli mchungu kwa baadhi ya wanawake walio ndani ya ndoa zao ambao hawataki kuusikia abadani. Nina siku ya 4 leo tangu nimetoka vacation Dubai, haijalishi nimetumikaje au nani kanitumia nikiwa huko, ila kiukweli nimeridhika...
  20. Mfilisti

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kuhusu Magari used

    Ukinunua gari used/ mtumba, utabeba mzigo wote wa aliyepita nalo. Dent, engine knock, interior mbovu – zote ni zako sasa. Cha kuchekesha, yule mmiliki wa kwanza aloyekuuzia bado analiangalia kwa jicho la kumbukumbu, na kuna muda analitamani kabisa hilo gari aliendeshe tena. Kila akikuona nalo...
Back
Top Bottom