Suala la Udini Vyuoni na Ukweli Mchungu

Suala la Udini Vyuoni na Ukweli Mchungu

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
6,196
Reaction score
10,708
Hivi majuzi kumekuwa na minong’ono chini kwa chini kwenye korido za wasomi na mitandao ya kijamii. Watu wanahoji: "Kwanini teuzi za Makamu Wakuu wa Vyuo Vikuu (Vice Chancellors) hapa nchini zimekaa mrengo fulani wa kiimani?
01KPARXVY6EAK4XBN2ANY0M5GQ.jpeg

Mbona pale SUZA pamejaa kanzu , na kule SAUT kumejaa mapadre na masista?" Wataalamu wa kulalamika wameshaanza kunyoosha vidole na kupiga kelele za "Udini pamoja na Ubaguzi!"
WhatsApp-Image-2025-11-18-at-09.45.57.jpeg

Lakini kabla hujabeba bango lako na kwenda kulalamikia mabaraza la Vyuo Vikuu, hebu kwanza tulia, shusha pressure, na kunywa maji kidogo. Kuna tofauti kubwa sana kati ya "Ubaguzi wa Kidini" na "Misingi ya Uanzishwaji wa Taasisi."
images - 2026-06-25T021713.533.jpeg

Kutanana na Profesa kwa majina ya Prof Mohamed Al Bilal, ameteuliwa kuwa Vice Chancellor wa Chuo Kikuu cha Katoliki cha Bugando (CUHAS). Siku ya kikao cha tathmini ya chuo majira ya saa saba kasoro, anasimama mbele ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC). Maaskofu wametulia na misalaba yao kifuani, kisha Professor Bilal anaanza ripoti yake kwa kusema, "Bismillahir Rahmanir Rahim..."
images - 2026-06-25T014812.459.jpeg

Hapo ndipo utakapogundua kuwa kuna maeneo yameumbwa kubaki na wazawa, si kwa sababu ya chuki, bali kwa muundo wa kiutawala na kiroho! Kama anavyosema mchambuzi mmoja, nafasi kama hiyo ni heri ukamuachia tu Prof. Erasmus Kamugisha, kwa sababu anaijua lugha, itifaki, na misingi ya waajiri wake bila kuwepo kwa mgongano wa kiitikadi.
Screenshot_20260625_014417_Chrome.jpg

Huwezi kuamka tu na kusikia asubuhi moja kuwa Sister kutoka shirika la Daughters of Charity ameteuliwa kuwa Vice Chancellor wa Morogoro Muslim University (MMU). Ukiona hivyo, ujue dunia imeisha au kuna mtu amekosea kuchapa barua ya uteuzi!
Screenshot_20260625_014600_Chrome.jpg

Kuna kisa cha kijana mmoja mtaani aliyekuwa akilalamika kuwa wataalamu wengi kutoka Zanzibar wananyimwa fursa za kuwa Chaplain (Mlezi wa Kiroho) kwenye vyuo vikuu vya Tanzania Bara. Alipoulizwa, "Kwani hao Wazanzibar unaowasemea ni Wakristo?" akajibu kwa kujiamini: "Kwani Muislamu hawezi kuwa Chaplain?"
t6GymnqfLvjoap6QEJV2QqdSQenH69bBLX5yZdjW.jpg

Hapo ndipo unapoishia kucheka kwa sauti ya juu hadi majirani wanashangaa. Hii ni sawa na kuomba nafasi ya kuwa Imam wa msikiti wa Al-Noor huku ukiwa umeshika Rozari mkononi pamoja na Biblia. Huko si kuitafuta ajira, ni kuitafuta miujiza!
1782332955201.jpg

Tukiacha utani kando, ukweli wa mambo upo wazi. Vyuo kama Tumaini Makumira vilijengwa kwa jasho na maono ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (ELCT). Vivyo hivyo, vyuo kama SAUT, CUHAS, pamoja na RUCU, vyuo hivi ni matunda ya maono ya Kanisa Katoliki. Kikatiba na kiutendaji, vyuo hivi vina misingi ya kidini (faith-based institutions) ambayo lazima ilindwe na viongozi wakuu wa taasisi hizo.
Screenshot_20260624_233311_Chrome.jpg

Hata hivyo, tofauti na dhana ya ubaguzi, vyuo hivi vimekuwa msaada mkubwa kwa Watanzania wote. Kwenye nafasi za kitaaluma—kama vile Wahadhiri, Maprofesa, na Wasaidizi wa Wahadhiri —utakutana na mchanganyiko wa kila dini. Muislamu anafundisha SAUT bila shida, ila kwa hali ilivyo ni nadra sana kuona Mkristo anafundisha MMU au SUZA, na kama wapo basi ni kwa kiwango kidogo sana.
1782333263404.jpg

Kuna watu hawajapata kusali makanisa ya ELCT wala Roman Catholic ila wanafanya kazi SAUT, CUHAS pamoja na RUCU. Ila vyuo kama SUZA ina asilimia 85 ya wafanyakazi Waislamu.
Screenshot_20260625_014600_Chrome.jpg

kumbuka tu: Kila chombo na mmiliki wake, na kila ripoti ina hadhira yake sahihi! HII NI KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE!
 
Kobazi anakataa elimu wazi wazi..ikigika sehemu yenye kutaka elimu ana Anza ku bweka
 
Kiongozi wetu wa Imani hakujua Kusoma wala Kuandika.

Mambo ya Elimu sio mambo yetu sisi waislamu.

Mohamed alisema Elimu ni ya makafiri.


فَاصْدَعْ بِمَا تُؤْمَرُ وَأَعْرِضْ عَنِ الْمُشْرِكِينَ(94)

Basi wewe yatangaze uliyo amrishwa, na jitenge na washirikina.
إِنَّا كَفَيْنَاكَ الْمُسْتَهْزِئِينَ(95)

Hakika Sisi tunatosha kukukinga na wanao kejeli.
الَّذِينَ يَجْعَلُونَ مَعَ اللَّهِ إِلَٰهًا آخَرَ ۚ فَسَوْفَ يَعْلَمُونَ(96)

Hao wanao fanya kuwa pamoja na Mwenyezi Mungu yupo mungu mwingine. Basi, watakuja jua!

(Qur-aan 15: 94-96)


Allahumma Swallii Wa Sallim 'Ala Nabiyyina Muhammad Wa 'Ala Aali Muhammad.

Ewe Allah! Mola wetu Mlezi! Mteremshie Rehma zako na Amani Nabii wetu Muhammad na Watu wa Nyumbani kwake Muhammad.
 
Shida ya kobaz hata ukiwapa bado wataharibu tu UDOM waliwapa wakaharibu sana alikuwepo DVC mmoja hivi mzenji mnajua kilichotokea pale
 
Tofautisha public na private institutions maelezo yako yanahesabu mapera na machungwa kama kitu kimoja! Hoja yako imejikita kwenye vyuo vya umma then mifano unachanganya na private!
 
Shida ya kobaz hata ukiwapa bado wataharibu tu UDOM waliwapa wakaharibu sana alikuwepo DVC mmoja hivi mzenji mnajua kilichotokea pale
UDOM kiliharibika nini?
Tatizo wagalatia wa bongo kujiona kila kitu wanajua kumbe bure kabisa.
 
Sina tatizo na kobazi Ila muache kuingilia maisha ya watu na kulazimisha imani zenu kwa wengine
Hakuna mtu anaelazimishwa imani, masia wenu hakuwa chizi kuwaambia kuwa hamna akili, aliona upeo wenu mdogo.
 
Back
Top Bottom