Ufisadi Jeshi la Urusi waibuka ndio sababu ya magari na vifaru kupigwa na Ukraine
Mchambuzi wa maswala ya kijeshi ya vifaa vya kivita akihojiwa na CNN amesema kuwa Urusi kila mwaka imekuwa ikitenga mabilioni ya dola kununua vifaa vya kivita, kutengeneza na spea Zake lakini pesa hizo zimekuwa...
Russia imetumia kombora la kisasa kabisa lisilozuilika la hypersonic, kuharibu ghala la silaha nchini Ukraine.
USA NA NATO hawana mfumo wa kuweza kulizuia au kuliangusha kombora hilo, NATO wote tumbo joto, USA anajipendekeza kwa mchina ili amgeuke Russia, na Mchina kakomaa na swahiba wake...
Marekani hoi! Silaha walizojinadi kupeleka Ukraine hivi karibuni na kuzificha kwenye ghala LA silaha lililojengwa kwenye kambi ya jeshi, ghala lililochimbiwa chini (underground), zimeteketezwa zote hata kabla hazijaanza kusambazwa kwa walengwa!!
Iko hivi: Urusi kwa kutumia silaha Kali iitwayo...
Political scientist John Mearsheimer believes the reckless expansion of NATO provoked Russia. Writing in a guest essay for The Economist, he explains why
John Mearsheimer on why the West is principally responsible for the Ukrainian crisis
The political scientist believes the reckless expansion...
Kupoteza majenerali kwenye uwanja wa mapambano ni jambo la hatari sana, kunasababisha wanajeshi wapoteze hamu ya vita, yaani mpaka mumfikie kumuua jenerali inabidi muue wnajeshi wengi sana.
Jenerali wa Chechen, Magomed Tushaev ni mojawapo wa majenerali ambao wameuawa mpaka sasa. Hali ni mbovu...
Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, David Cameron yupo njiani akiendesha gari aina ya Lori kutoka Uingereza hadi Poland kwa ajili ya kutoa msaada kwa wakimbizi kutoka Nchini Ukraine
Sehemu ya misaada ambayo anatarajiwa kutoa ni nguo, nepi na mahitaji ya huduma ya kwanza kutoka katika mradi...
Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) inapanga kuchangisha $1bn (£759m) katika muda wa wiki moja kusaidia uzalishaji wa kilimo barani Afrika na kulinda bara la Afrika kutokana na uhaba wa chakula unaotokana na uvamizi unaoendelea wa Urusi nchini Ukraine.
Nchi nyingi za Kiafrika zinategemea...
Rais mtata wa Ufilipino (The Philippines), Rodrigo Duterte, jana amesisitiza kuwa nchi yake itaendelea kuwa nyutro (haitochukua upande wowote) ktk vita vya Russia nchini Ukraine.
"Nchi nyinginezo pamoja na Ulaya zitaangamia kama Russia ikiamua kufanya mashambulizi ya maangamizi. Hivyo, ni bora...
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ameruhusu matumizi ya Cryptocurrency baada ya benki za nchi hiyo kushindwa kufanya kazi vizuri kutokana na mzozo unaoendelea nchini humo.
Waziri wa Maendeleo ya Digitali amesema cryptocurrency zitatumika kisheria hadi kwenye benki.
===
Kiev legalizes...
Umoja wa Mataifa umedai kuwa zaidi ya raia 700 wakiwemo watoto 52 wameuawa nchini Ukraine tangu Urusi ilipoivamia jirani yake wiki tatu zilizopita, lakini idadi hiyo huenda ikawa kubwa zaidi.
Mkuu wa masuala ya kisiasa wa Umoja wa Mataifa Rosemary DiCarlo amelieleza Baraza la Usalama la Umoja...
Marekani na NATO kumpeleka vifaa na mitambo ya kivita Poland haitapelekea baadaye Urusi kuivamia Poland?
Kama Mrusi ameweza kuizingira Ukraine na kilichobaki ni majeshi kunyoosha mikono tu kisha atangaze wananchi wakimbizi warudi nyumbani maisha yaendelee.
Hatua itakayofuata ni kuivamia Poland...
USSR(URUSI) ILIYOKUWA DOLA-HIMAYA NA MILIKI KUU YA SABA YA DUNIA (THE 7th WORLD SUPER-SUPREMACY EMPIRE) KATIKA ULIMWENGU WA KISOSHOLIST (WORLD OF SOCIALISM).
Na, Comred Mbwana Allyamtu.
URUSI ni moja kati ya nchi zenye historia kubwa saana ya kufurahisha.Kwanza urusi zamani iliitwa Russian...
Rais wa Urusi, Vladmir Putin amesema kuwa operesheni yake ya kijeshi nchini Ukraine imefanikiwa na kuwa hatoiruhusu nchi hiyo kutumika kama uwanja wa kuitishia Urusi.
Akizungumza katika mkutano wa serikali uliorushwa moja kwa moja kwenye televisheni, Putin amesema operesheni yake inaendelea...
Serikali ya Marekani imepewa ruhusa na Baraza la Congress kupeleka mtambo wa kupiga ndege na helkopta nchi Ukraine.
Ili kuisaidia majeshi ya Ukraine kuangusha ndege za Urusi zinazosumbua sana anga la Ukraine.
Tv ya India yaripoti.
=====
Biden says U.S. to give Ukraine drones, anti-aircraft...
Wadau, inakuwaje Kiongozi mmoja anaikimbia Nchi yake na watu wake na mwingine anakomaa na kuongoza mapambano.
Hata hapa Nyumbani kuna Kiongozi mmoja Uviko wa kumi na tisa ulipoingia alikimbilia Kijijini kwao Chato.
Je ni malezi ndio yanayosababisha Kiongozi mmoja kuwa jasiri na mwingine kuwa...
Athari za vita ya Urusi na Ukraine haitatukosa na inaweza kudumu kwa muda mrefu sana.
Tanzania tumejaliwa kuwa na gesi asilia inayoweza kutumika kwenye magari, machine, na kutoa nishati ya umeme. Sio juhudi wala mikakati ya gesi yetu hii kutumika kushusha presha ya madhara ya vita hivi...
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amealikwa mjini Kiev wakati jiji hilo likiwa katika hatua ya kukaribiwa na hali nyingine ya mashambulizi ya Urusi.
Ofisi ya Papa ya mjini Vatican imethithitbitisha kupokea barua hiyo iliyoandikwa Machi 8, kutoka kwa Meya wa Kiev Vitali...
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amesema NATO hawajawahi kuwa dhaifu kama walivyo sasa, ambapo nchi yake imepigwa kwa siku 20 na hawajachukua hatua.
Amelaumu kwa kutaja Ibara ya 15 ya NATO ambayo inasema nchi moja ya NATO ikiguswa nchi zote zimeguswa. Lakini kwa sasa suala hilo ni tofauti...
Wafanyakazi wa viwanja vya ndege wamegoma kupakia shehena ya silaha Toka Nchi za magharibi, huku zikiwa zimeandikwa kuwa ni shehena ya madawa na vyakula Kama misaada ya kibinadamu!
Nchi za magharibi ni washenzi! Wanashangilia vita kwa kuwa kwao ni soko la silaha na fursa ya kufanya majaribio ya...
Vita hizi zote zinaitwa operation.
USA waliita operation desert storm.
Urusi waniita operation maalumu.
USA wakisema Iraq Ina silaha za maangamizi WMD hivyo inyang'anywe.
Urusi wanataka Ukraine isijiunge na NATO,kwa vile Ukraine kakataa ombi la Urusi la kutojiunga NATO Urusi kaona basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.