ukraine

  1. M

    JamiiForums Tanzania Vita Ukraine kuikosesha Liverpool Ubingwa

    Mzuka wanajamvi! Uvamizi wa Urusi nchini Ukraine na kusababisha vita vikali baina ya Urusi na Ukraine kujilinda. Huenda ikasababisha Liverpool FC isichukue ubingwa wa EPL msimu huu wa 2021-22. Ukizingatia uingereza ni mshirika wa karibu na Ukraine akimsaidia kwa silaha , hela, chakula na...
  2. BigTall

    JamiiForums Tanzania Ukraine yajiandaa kwa vita vya kemikali, Marekani yatoa usaidizi

    Imeripotiwa kuwa Marekani imekuwa ikituma vifaa vya kinga (PPE) kwa Ukraine kwa ombi la nchi hiyo ili kujiandaa kwa shambulio lolote la silaha za kemikali wakati wa vita dhidi ya Urusi inayoendelea. Msemaji wa Baraza la Usalama la Kitaifa la Rais Joe Biden alithibitisha kwamba "vifaa vya kuokoa...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Human Rights Watch yaitaka Ukraine kuchunguza uwezekano wa uhalifu wa kivita

    Shirika la haki za binadamu la Human Rights Watch limeitolea wito serikali ya Ukraine kuanzisha uchunguzi juu ya kile kinachoweza kuwa uhalifu wa kivita, baada ya kuibuka mkanda wa vidio unaowaonyesha wanajeshi wakiwapiga risasi miguuni wafungwa wa kivita wa Urusi. Mkanda huo ulioanza kusambaa...
  4. Webabu

    JamiiForums Tanzania Ukraine iko karibu kukubali imeshindwa kivita.

    Ukiondoa ushabiki wa Marekani na vyombo vyake vya habari wanaowachochea waukraine wapigane kwa niaba yao lakini ukweli unaopatikana katika matamshi ya waukreni wenyewe kuanzia raisi Zelensky mpaka mameya wa miji mbali mbali ni kwamba vita baina yao na Urusi vimeshawarudisha nyuma sana.Kwanza...
  5. Sexer

    JamiiForums Tanzania Urusi yaishutumu Ukraine kwa kushambulia ghala lake la mafuta

    Gavana wa jimbo la Belgorod nchini Urusi ameishutumu Ukraine kwa kushambulia ghala lake la mafuta katika mji huo. Vyacheslav Gladkov alisema kupitia Telegram kwamba moto mkubwa uliozuka Ijumaa asubuhi kwenye ghala hilo, ulisababishwa na mashambulizi ya anga kutoka kwa helikopta mbili za...
  6. britanicca

    JamiiForums Tanzania Russia Vs Ukraine hakuna mshindi wa Vita ila kwa Haraka Urusi amepoteza in reality

    Habari za wakuu hapa ni vema uzi uachwe kuonesha nani kapoteza kwa namna tofaut tofauti, Kuna Nyuzi nyingi Sana hapa ila huu utakuwa wa kitaalamu Na shuhuda nilizoshuhudiwa siyo kwa kusimuliwa Wengi wameeleza chanzo cha Vita hii ila kwa hapa naonesha Matokea tu 1. Mpaka sasa week Jana natoka...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kama Tanzania haifungamani na upande wowote, kwanini hatununui mafuta ya Bei rahisi Urusi?

    Nianze Kwa kutoa pole kwa changamoto za kuishi! Kama kichwa kinavyojieleza, kumekuwa na taarifa kuhusu kupanda Kwa Bei za mafuta na gesi duniani, huku Urusi, Moja ya wazalishaji wakubwa wa mafuta na gesi akishusha Bei ya bidhaa hizo ambapo mataifa makubwa, ikiwa ni pamoja na Yale yaliyomwekea...
  8. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Poland: Jiji la Lublin lenye wakazi 350,000 lasifiwa kwa kuwahifadhi na kuwatunza kwa kila kitu vizuri wakimbizi 40,000 toka Ukraine

    Kwa mujibu wa BBC Jiji la Lublin ,Poland lenye wakazi 350,000 lasifiwa kwa kuwahifadhi na kuwatunza kwa kila kitu vizuri wakimbizi 40,000 toka Ukraine Wamewapa wakimbizi makazi mazito,chakula mavazi na wameamua kuwa wabaki tu kwenye jiji lao wataishi vizuri tu Dar es salaam tuko zaidi ya...
  9. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Ukraine: Gavana wa Chernihiv asema Russia haijalegeza mashambulizi licha ya ahadi ya kupunguza mashambulizi

    Gavana, Viacheslav Chaus, alitumia programu ya kutuma ujumbe ya Telegram kukashifu ahadi ya Urusi. "Urusi yaanzisha mashambulizi mapya baada ya ahadi ya amani, Tunaamini ndani yake? Bila shaka sivyo," alisema, akiongeza Urusi ilikuwa imeshambulia Chernihiv "usiku kucha". Siku ya Jumanne, Urusi...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Nchi za Magharibi na vyombo vya habari vinashindilia pamoja msumari kwenye mzozo wa Ukraine

    Hassan Zhou Tangu kuzuka kwa mzozo wa Ukraine mwishoni mwa Februari, nchi za magharibi na vyombo vya habari vimeshirikiana kushindilia pamoja msumari na kujaribu kugeuza macho ya watu wanaotaka kujua chanzo cha mzozo huo, na pia kuzipaka matope baadhi ya nchi ambazo zinataka kufikiwa kwa amani...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Vita vya Urusi na Ukraine vyaifadisha Tanzania

    Uwekezaji katika uchimbaji wa gesi na mafuta nchini Tanzania utaongezeka kwa Dola Bilioni 10 sawa na tsh. Trilioni 23.2. Awali, Tanzania na kampuni ya uchimbaji mafuta na gesi ili ya Equinor ASA na Shell Plc zilikubali kuwekeza Dola bilioni 30 sawa na Tsh. Trilioni 69.58 ambapo kutokana na...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Vita vya Urusi vimeigharimu Ukraine $564.9bn kufikia sasa

    Vita vya Urusi dhidi ya Ukraine vimeigharimu Ukraine $564.9bn (£429.3bn) kufikia sasa katika uharibifu wa miundombinu, kupoteza ukuaji wa uchumi na mambo mengine, kulingana na waziri wa uchumi wa Ukraine. Mapigano hayo yameharibu kilomita 8,000 (maili 4,970) za barabara na mita za mraba milioni...
  13. Life2

    JamiiForums Tanzania Tunajifunza nini kwa yanayotokea Ukraine?

    Juzi wakati mheshima Rais anahutubia jeshi la Magereza kuna kauli moja alisema kwa upande wa walinda Amani wetu I mean vyombo vyote vya Ulinzi 'MSIWEKEZE SANA KWENYE MIRADI YA UZALISHAJI MKASAHAU KAZI ZENU ZA KIMEDANI AKIMAANISHA ULINZI WA NCHI NA MIPAKA YETU' hapa rais aliona mbali. Tanzania...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Russia na Ukraine umeonyesha unafiki wa nchi za magharibi

    Fadhili Mpunji Wakati dunia inaendelea kutafakari kuhusu changamoto zinazosababishwa na mgogoro unaoendelea kati ya Russia na Ukraine, kumekuwa na maswali mengi yanayoibuka, na kufanya watu watafakari udhati na kinachoitwa maadili ya nchi za magharibi (western values), na hata msimamo wa nchi...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi za siri tusizozijua vita ya Russia vs Ukraine

    Kila mtu anaongea kitu chake ila ipo siri kubwa sana ambayo wanausalama wanaijuwa nawamepiga kimya japo jana Mzee baba Ameamua kujilipua. "For the God Sake Putin cannot remain in Power" Nini dunia haikijuwi na nini dunia ya majasusi wanakijuwa ambacho ni siri nzito. Kwa wale hamjuwi basi sio...
  16. CPA

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Ukraine wajisalimisha baada yakuishiwa chakula na silaha

    Commanding post ya Jeshi la ukraine mjini kyieve yenye wanajeshi wengi maafisa yajisalimisha kwa majeshi ya urusi. Wanajeshi hao 61, wamepatiwa huduma muhimu, kama chakula na matibabu toka kwa jeshi la urussi. Inasemekana wamejisalimisha baada ya kuishiwa chakula, risasi na siraha, hii ni moja...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari 12 wauawa kwenye vita nchini Ukraine

    Waandishi wa habari 12 wamekufa nchini Ukraine tangu kuzuka kwa vita nchini humo mwezi mmoja uliopita taarifa hii ikiwa ni kulingana na mwanasheria mkuu Iryna Venediktova. Ameandika kupitia ukurasa wa Facebook kwamba pamoja nao waandishi wengine 10 wamejeruhiwa wakati wa mapigano hayo...
  18. BigTall

    JamiiForums Tanzania Rais Biden akutana na mawaziri waandamizi wa Ukraine

    Rais Joe Biden wa Marekani amekutana na mawaziri wawili wa Ukraine nchini Poland kuonyesha uungaji mkono wa Washington kwa serikali mjini Kyiv wakati Urusi ikiashiria kwamba inaweza kupunguza malengo yake ya kivita nchini Ukraine. Biden aliketi kwenye meza ndefu nyeupe pamoja na mawaziri wake...
  19. dudus

    JamiiForums Tanzania Ukraine captures one of Russia's most advanced electronic warfare systems, which could reveal military secrets

    Jeshi mahiri na lenye morali isiyo na mfano la Ukraine wamedaka mdude wa kirusi ambao kwa sasa uko njiani kupelekwa Ulaya kabla ya kupelekwa Marekani kuchunguzwa kwa kina. Ni matumaini ya wapenda amani duniani kwamba siri lukuki za warusi zitaanikwa peupe. .... Ukrainian forces have seized part...
  20. ngajapo

    JamiiForums Tanzania Urusi yadai ‘hatua ya kwanza’ ya mashambulizi ya Ukraine imekamilika

    Afisa mkuu wa ulinzi wa Urusi anasema "hatua ya kwanza ya mashambulizi ya Urusi dhidi ya Ukraine yamekamilika" Juhudi sasa zinaweza kulenga "ukombozi wa Donbass," source RT News Russia claims ‘first stage’ of Ukraine offensive complete Efforts can now be focused on...
Back
Top Bottom