ukraine

  1. S

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Je, ni kweli kuwa mifumo ya ulinzi wa anga la Ukraine bado inafanya kazi?

    Jeshi la anga la Ukraine hapo kabla ya kuanza kwa vita liliripotiwa kuwa na mifumo mingi anuai ya ulinzi wa anga lake, ambayo ni: Pisi 250 za S-300 air-defense systems ambazo ni aina za S-300P, S-300PS na S-300PT. Hizi zote zinaweza kurusha makombora (SAM) ya masafa marefu ktk kulilinda anga...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mke wa Waziri Mkuu wa zamani wa Ukraine adaiwa kujaribu kutorosha mamilioni ya dola

    Ama kweli ni kipi kilicho bora kuliko pesa? Wengine wakisema pesa ni sabuni ya roho. Hizi si ndiyo chimbuko la tozo? Ndiyo chimbuko la kung'angania madaraka? Chimbuko la wizi wa kura? Chimbuko la kukataa katiba mpya? Hawa ni wa Ukraine mbona hata kwetu ni hivi hivi? Hapa mke wa mbunge mmoja...
  3. 5

    JamiiForums Tanzania Ukraine yadai kuwaua wanajeshi 15,000 wa Urusi

    Maafisa wa kijeshi wa Ukraine wamedai kuwa takriban wanajeshi 15,000 wa Urusi wameuawa tangu Rais Vladimir Putin alipoanzisha uvamizi wake zaidi ya wiki tatu zilizopita. Katika sasisho lililotumwa kwenye ukurasa wa Facebook wa wafanyikazi wakuu wa Ukraine, maafisa walisema kuwa wanajeshi 14,700...
  4. figganigga

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

    Salaam Wakuu, Hii ni Special thread ya Video na Picha kutoka Uwanja wa Mapambano Ukraine kwa Wanajeshi Waliopo Msitari wa Mbele. Hii thread inawahusu timu Ukraine. Picha zinahusu mafanikio ya Ukraine. Mwanajeshi wa Ukriane akiwa na PG-7VM rockets Hiki ni kipigo cha kwanza walichokipata...
  5. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Ufisadi Jeshi la Urusi waibuka ndio sababu ya magari na vifaru kupigwa na Ukraine

    Ufisadi Jeshi la Urusi waibuka ndio sababu ya magari na vifaru kupigwa na Ukraine Mchambuzi wa maswala ya kijeshi ya vifaa vya kivita akihojiwa na CNN amesema kuwa Urusi kila mwaka imekuwa ikitenga mabilioni ya dola kununua vifaa vya kivita, kutengeneza na spea Zake lakini pesa hizo zimekuwa...
  6. profesawaaganojipya

    JamiiForums Tanzania Urusi yatumia kombora la kisasa la hypersonic, huko Ukraine

    Russia imetumia kombora la kisasa kabisa lisilozuilika la hypersonic, kuharibu ghala la silaha nchini Ukraine. USA NA NATO hawana mfumo wa kuweza kulizuia au kuliangusha kombora hilo, NATO wote tumbo joto, USA anajipendekeza kwa mchina ili amgeuke Russia, na Mchina kakomaa na swahiba wake...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Marekani imetwanga maji kwenye kinu: Silaha walizopenyeza Ukraine hivi karibuni zimeteketezwa

    Marekani hoi! Silaha walizojinadi kupeleka Ukraine hivi karibuni na kuzificha kwenye ghala LA silaha lililojengwa kwenye kambi ya jeshi, ghala lililochimbiwa chini (underground), zimeteketezwa zote hata kabla hazijaanza kusambazwa kwa walengwa!! Iko hivi: Urusi kwa kutumia silaha Kali iitwayo...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Why the west are responsible for Ukraine war

    Political scientist John Mearsheimer believes the reckless expansion of NATO provoked Russia. Writing in a guest essay for The Economist, he explains why John Mearsheimer on why the West is principally responsible for the Ukrainian crisis The political scientist believes the reckless expansion...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Chechen imepoteza jenerali wake, ni mojawapo wa majenerali ambao wameuawa Ukraine

    Kupoteza majenerali kwenye uwanja wa mapambano ni jambo la hatari sana, kunasababisha wanajeshi wapoteze hamu ya vita, yaani mpaka mumfikie kumuua jenerali inabidi muue wnajeshi wengi sana. Jenerali wa Chechen, Magomed Tushaev ni mojawapo wa majenerali ambao wameuawa mpaka sasa. Hali ni mbovu...
  10. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa zamani Uingereza aendesha lori kwenda kutoa misaada kwa wakimbizi wa Ukraine

    Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, David Cameron yupo njiani akiendesha gari aina ya Lori kutoka Uingereza hadi Poland kwa ajili ya kutoa msaada kwa wakimbizi kutoka Nchini Ukraine Sehemu ya misaada ambayo anatarajiwa kutoa ni nguo, nepi na mahitaji ya huduma ya kwanza kutoka katika mradi...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Vita vya Ukraine: $ 1bn zatolewa kuzuia uhaba wa chakula barani Afrika

    Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) inapanga kuchangisha $1bn (£759m) katika muda wa wiki moja kusaidia uzalishaji wa kilimo barani Afrika na kulinda bara la Afrika kutokana na uhaba wa chakula unaotokana na uvamizi unaoendelea wa Urusi nchini Ukraine. Nchi nyingi za Kiafrika zinategemea...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Duterte: Sitotuma wanajeshi wangu kuisaidia Marekani kama Marekani ikijiingiza vitani Ukraine

    Rais mtata wa Ufilipino (The Philippines), Rodrigo Duterte, jana amesisitiza kuwa nchi yake itaendelea kuwa nyutro (haitochukua upande wowote) ktk vita vya Russia nchini Ukraine. "Nchi nyinginezo pamoja na Ulaya zitaangamia kama Russia ikiamua kufanya mashambulizi ya maangamizi. Hivyo, ni bora...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ukraine yaruhusu matumizi ya Cryptocurrency

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ameruhusu matumizi ya Cryptocurrency baada ya benki za nchi hiyo kushindwa kufanya kazi vizuri kutokana na mzozo unaoendelea nchini humo. Waziri wa Maendeleo ya Digitali amesema cryptocurrency zitatumika kisheria hadi kwenye benki. === Kiev legalizes...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania UN: Raia takriban 700 wameuawa Ukraine tangu Urusi avamie

    Umoja wa Mataifa umedai kuwa zaidi ya raia 700 wakiwemo watoto 52 wameuawa nchini Ukraine tangu Urusi ilipoivamia jirani yake wiki tatu zilizopita, lakini idadi hiyo huenda ikawa kubwa zaidi. Mkuu wa masuala ya kisiasa wa Umoja wa Mataifa Rosemary DiCarlo amelieleza Baraza la Usalama la Umoja...
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kama Putin aliivamia Ukraine kwakuwa ilikuwa tishio kwa usalama wa URUSI. Je, Poland haitavamiwa pia kwa usalama wa Urusi?

    Marekani na NATO kumpeleka vifaa na mitambo ya kivita Poland haitapelekea baadaye Urusi kuivamia Poland? Kama Mrusi ameweza kuizingira Ukraine na kilichobaki ni majeshi kunyoosha mikono tu kisha atangaze wananchi wakimbizi warudi nyumbani maisha yaendelee. Hatua itakayofuata ni kuivamia Poland...
  16. Comred Mbwana Allyamtu

    JamiiForums Tanzania Ifahamu USSR (Urusi) iliyokuwa dola-himaya na miliki kuu ya saba ya dunia

    USSR(URUSI) ILIYOKUWA DOLA-HIMAYA NA MILIKI KUU YA SABA YA DUNIA (THE 7th WORLD SUPER-SUPREMACY EMPIRE) KATIKA ULIMWENGU WA KISOSHOLIST (WORLD OF SOCIALISM). Na, Comred Mbwana Allyamtu. URUSI ni moja kati ya nchi zenye historia kubwa saana ya kufurahisha.Kwanza urusi zamani iliitwa Russian...
  17. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Putin asema operesheni ya Urusi nchini Ukraine imefanikiwa

    Rais wa Urusi, Vladmir Putin amesema kuwa operesheni yake ya kijeshi nchini Ukraine imefanikiwa na kuwa hatoiruhusu nchi hiyo kutumika kama uwanja wa kuitishia Urusi. Akizungumza katika mkutano wa serikali uliorushwa moja kwa moja kwenye televisheni, Putin amesema operesheni yake inaendelea...
  18. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Hatimae Marekani itapeleka mtambo wa kuangusha ndege na helkopta Ukraine

    Serikali ya Marekani imepewa ruhusa na Baraza la Congress kupeleka mtambo wa kupiga ndege na helkopta nchi Ukraine. Ili kuisaidia majeshi ya Ukraine kuangusha ndege za Urusi zinazosumbua sana anga la Ukraine. Tv ya India yaripoti. ===== Biden says U.S. to give Ukraine drones, anti-aircraft...
  19. imhotep

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Rais Asharaf Ghani wa Afghanistan na Vlodmir Zelensky wa Ukraine

    Wadau, inakuwaje Kiongozi mmoja anaikimbia Nchi yake na watu wake na mwingine anakomaa na kuongoza mapambano. Hata hapa Nyumbani kuna Kiongozi mmoja Uviko wa kumi na tisa ulipoingia alikimbilia Kijijini kwao Chato. Je ni malezi ndio yanayosababisha Kiongozi mmoja kuwa jasiri na mwingine kuwa...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tanzania tutumie gesi yetu kukwepa vikwazo vya Urusi na Ukraine

    Athari za vita ya Urusi na Ukraine haitatukosa na inaweza kudumu kwa muda mrefu sana. Tanzania tumejaliwa kuwa na gesi asilia inayoweza kutumika kwenye magari, machine, na kutoa nishati ya umeme. Sio juhudi wala mikakati ya gesi yetu hii kutumika kushusha presha ya madhara ya vita hivi...
Back
Top Bottom