ukraine

  1. General Mangi

    JamiiForums Tanzania Marekani: Iran imehusika kuangusha ndege ya Ukraine

    Idara ya Ujasusi ya Marekani imeripoti kwamba, Iran imehusika na kuanguka kwa ndege ya Ukraine Boeing 737-800 kwa kuangishwa kwa bomu. ===== Iran mistakenly shot down the Ukrainian plane that crashed on Wednesday near Tehran with 176 people on board, US media report. US officials say they...
  2. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Ukraine ilitunguliwa kwa kombora

    Maafisa kutoka nchini Marekani wamedai kuwa ndege ya abiria ya Ukraine Boeing 737-800 iliyoanguka nchini Iran ilitunguliwa kwa kombora la Iran. Wakati huohuo Pentagon kupitia afisa wa juu wa masuala ya kiintelijensia pamoja na afisa mwingine wa masuala ya kiintelijensia wa Iraq wamenukuliwa...
  3. Bird Watcher

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Ukraine iliyokuwa na Watu takribani 180 yaanguka nchini Iran. Hakuna aliyepona

    Ndege ya Ukraine iliyokuwa imebeba watu 180 pamoja na Wafanyakazi wake imeanguka karibu na Mji Mkuu wa Iran, Tehran dakika tatu baada ya kuruka ikitokea katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Khomeini. Katika video ambayo haijadhibitishwa iliyowekwa na Shirika la Habari la BBC inaonesha ndege...
  4. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Putin invites Merkel to Russia over Iran crisis

    The German Chancellor will travel to Russia to meet President Vladimir Putin this coming Saturday. The pair plan to discuss the Iran escalation as well as the conflicts in Ukraine, Libya and Syria. Russian President Vladimir Putin on Monday invited German Chancellor Angela Merkel to Russia...
  5. Volatility

    JamiiForums Tanzania Russia yarudisha Meli za kijeshi za Ukraine

    Picha meli mbili kati ya tatu zikianza kuondoka katika bandari ya Kerch hapo jana, tarehe 17.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ukraine alikuwa mchekeshaji.. Free Idris

    Kama ulikuwa hujuwi basi naomba ujuwe yakuwa Rais wa sasa wa Ukraine alikuwa ni mchekeshaji na tena alikuwa akifanya vichekesho vyake kwa kumuiga Rais alie kuwa madarakani. Hivyo Idrisa anahaki kama raia yeyote wa taifa kufurahia kaz yake nakututumbuiza Watanzania. Chuki haziwez haribu umoja...
  7. bmpingo

    JamiiForums Tanzania 2019 Ukrainian presidential election

    This weekend, Ukraine is bond to choose its sixth president from a record number of candidates. The central election commission has registered a record 44 candidates, although one of them later dropped out. According to opinion polls, three hopefuls stand a chance to become the country's sixth...
Back
Top Bottom