ukraine

  1. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kwa vita vya Urusi na Ukraine vilipofikia ni muda mwafaka kwa Tanzania kuchagua upaande wa wengi (Westerns) maana Kuna Jambo linaenda kutokea

    Mie sina neno, Ila mrusi amekosea sana kufanya Mambo ya kishamba ya kuvamia sovereign state tena bila sababu za kueleweka. Tanzania tuache unafiki tusimame na HAKI tuwaambie warusi waziwazi tena mbele ya dunia kuwa wamekosea na wanapaswa kuwajibika. Kuendelea kujiita nutral state wakaki...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ukraine sasa iko katika vita kamili vya kujikomboa

    Hali ya vita vya Ukraine sasa iko wazi kwa kila mshirika. NATO na Ukraine kwa upande mmoja na Russia kwa upande mwingine. Uwanja wa vita rasmi unaeleweka kwa wote kuwa ni Ukraine. Russia kama Nduli Amini, sasa anatakiwa kufurushwa kutoka katika ardhi zote za Ukraine zikiwamo Donbas, Lohansk...
  3. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Bwawa la umeme la JNHP lingekamilika mapema hizi athari za vita vya Ukraine visingetuathiri kwa kiasi kikubwa. Uzembe wa January Makamba unatugharimu

    January Makamba kama waziri mwenye dhamana ya nishati hapa nchini alipaswa kukomaa kwa hali na mali kuhakikisha JNHP inakamilika kwa wakati na ikiwezekana hata kabla ya wakati. Kwa nini bila sababu za msingi alileta mizengwe juu ya ujazaji maji na kuchepusha maji? Leo hii tungekamilisha JNHP...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Je, tutegemee tozo kwenye miamala kwa sababu ya special operation kule Ukraine?

    Bunge liko Dodoma tayari kujadili kama sio kupitisha mapendekezo ya budget za wizara mbalimbali. Kwa mwaka wa fedha 2021/2022 tuliona bunge likichukua mapendekezo ya Zungu kuweka tozo kwenye miamala ya simu ili kugharamia ujenzi wa zahanati, je mwaka huu wa fedha 2022/2023 tutegemee tozo...
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Zelensky: Mafuta ya Urusi kutowekewa vikwazo kunagharimu maisha ya watu

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ametoa wito kwa Viongozi wa Mataifa ya Magharibi kukubaliana haraka juu ya vikwazo vya Mafuta ya Urusi, akisema kushindwa kwao kufanya hivyo kunagharimu maisha ya Raia wa Ukraine Amesema Moscow imekuwa inapata Fedha nyingi kutokana na mauzo ya mafuta, hivyo...
  6. britanicca

    JamiiForums Tanzania Thread number 2 Hassara Ya Urusi kwenye Vita Ya Ukraine

    Uzi wa awali ulieleza jinsi Urusi alivyopoteza, Vitani ila huu utaangalia Uchumi na uwekezaji MAUZO Mauzo nje yameshuka kwa asilimia 30 tokea amewekwa vikwazo Hungary imesitisha uingizaji wa mafuta Ya Urusi kwa asilimia 20% Ufaransa imepunguza utegemezi wa mafuta ya Urusi Kwa asilimia 30%...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Luteni Jenerali Roger L. Cloutier wa Jeshi la Marekani atekwa na Makomandoo wa Urusi akiwa vitani Ukraine

    Zamotomoto kutoka katika uwanja wa Vita mji wa Mauripol, Makomandoo wa Urusi kutoka kikosi hatari zaidi Ulimwenguni cha Spetsnaz kilichochini ya KGB /FSB wamemteka Kamanda wa Jeshi la Marekani Luten General Roger L. Cloutier Jr, Pamoja na propaganda kadhaa za watu wasio rasmi wala wasemaji wa...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Je, mawasiliano mfululizo kati ya China na Afrika yana uhusiano na mgogoro wa Ukraine?

    Je, mawasiliano mfululizo kati ya China na Afrika yana uhusiano na mgogoro wa Ukraine? Hivi karibuni, wakati macho ya watu wengi yanaelekezwa kwenye mgogoro wa Ukraine, mawasiliano ya ngazi ya juu kati ya China na Afrika pia yamekuwa ya mara kwa mara. Sadfa hiyo imetafsiriwa na baadhi ya watu...
  9. data

    JamiiForums Tanzania Watumishi tunapoelekea Mei Mosi tumwambie nini Rais Samia?

    Shime shime shime watumishi wenzangu ...asiye na mwana aeleke jiwe. Tunapoelekea Mei Mosi ya kwanza ya Rais Samia S. Hassan akiwa katimiza mwaka mmoja kazini si vibaya tukatanguliza yale tunayotarajia kusikia toka kwake. Kama alivyotuahidi nyongeza ya mshahara mwaka huu bila shaka hilo...
  10. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Vita ya UKRAINE ukilinganisha na IRAQ inaonyesha Ukatili wa US/NATO na upendo wa Urusi

    Kipigo cha Iraq wakuu kilikuwa ni cha kikatili sana. Ziliruka ndege mamia juu ya Anga Siku ya kwanza zikadondosha mabomu kama mvua Baghdad. Hata sisimizi wa Iraq walijua kuna wanadamu katili. Uchunguzi wa UN ulipuuzwa. Anapigwa MTU bila kuonyesha uhalali wa upigwa. Na dunia nzima...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kauli ya vitu kupanda bei kisa vita ya Ukraine inapindishwa na walioielewa wanafunga mikanda kimyakimya

    Imenibidi kwa mara nyingine nijiridhishe kwa kurejelea kusikilizwa hotuba ya Mhe.Rais iliyokuwa inazungumzia kupanda bei kwa vitu kunakosababishwa na vita vya Ukraine na Russia na mapokeo ya kauli hiyo. Sio kwamba nimetumia muda kusikilizwa tena sikusikia vizuri ila nilifanya hivyo kuongeza...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania UN: Raia 1,471 wameuawa kutokana na mgogoro wa Urusi na Ukraine

    Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Haki za Binadamu (UN-OHCHR) limeripoti raia 1,417 kuuawa tangu kuanza kwa vita vya Urusi na Ukraine, Raia wengine 2,038 wamejeruhiwa 121 kati ya waliouwa ni Watoto. UN-OHCHR imesema idadi ya vifo inaweza kuwa kubwa kuliko iliyoripotiwa. === As of...
  13. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Simba ikipigwa Vita vya Ukraine vimechangia!

    Sina maneno hivi vita ni hatari sanaa hivyo Mnyama akiondolewa tusilaumiane mana hata Mama anajua hilo!
  14. funaku

    JamiiForums Tanzania Ni namna gani vita vya RUSSIA na UKRAINE vimeathiri utalii?

    Tumejionea athari za kiuchumi hususani kupanda kwa bei ya mafuta nchini. Swali langu ni Je sekta ya utalii Tanzania imeathirika au inatarajiwa kuathirika vipi katika kipindi hiki? Ni kwa namna gani tunaweza kukabili mtikisiko huo?
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Ukraine yasema imekomboa eneo zima la Kyiv

    Ukraine imesema imechukua udhibiti wa eneo zima la Kyiv baada ya wanajeshi wa Urusi kurudi nyuma kutoka katika baadhi ya miji muhimu karibu na mji huo mkuu. Naibu waziri wa ulinzi Ganna Maliar ameandika kwenye ukurasa wa Facebook hapo jana kwamba miji ya Irpin, Bucha, Gostomel na eneo zima la...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Vita Ukraine kuikosesha Liverpool Ubingwa

    Mzuka wanajamvi! Uvamizi wa Urusi nchini Ukraine na kusababisha vita vikali baina ya Urusi na Ukraine kujilinda. Huenda ikasababisha Liverpool FC isichukue ubingwa wa EPL msimu huu wa 2021-22. Ukizingatia uingereza ni mshirika wa karibu na Ukraine akimsaidia kwa silaha , hela, chakula na...
  17. BigTall

    JamiiForums Tanzania Ukraine yajiandaa kwa vita vya kemikali, Marekani yatoa usaidizi

    Imeripotiwa kuwa Marekani imekuwa ikituma vifaa vya kinga (PPE) kwa Ukraine kwa ombi la nchi hiyo ili kujiandaa kwa shambulio lolote la silaha za kemikali wakati wa vita dhidi ya Urusi inayoendelea. Msemaji wa Baraza la Usalama la Kitaifa la Rais Joe Biden alithibitisha kwamba "vifaa vya kuokoa...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Human Rights Watch yaitaka Ukraine kuchunguza uwezekano wa uhalifu wa kivita

    Shirika la haki za binadamu la Human Rights Watch limeitolea wito serikali ya Ukraine kuanzisha uchunguzi juu ya kile kinachoweza kuwa uhalifu wa kivita, baada ya kuibuka mkanda wa vidio unaowaonyesha wanajeshi wakiwapiga risasi miguuni wafungwa wa kivita wa Urusi. Mkanda huo ulioanza kusambaa...
  19. Webabu

    JamiiForums Tanzania Ukraine iko karibu kukubali imeshindwa kivita.

    Ukiondoa ushabiki wa Marekani na vyombo vyake vya habari wanaowachochea waukraine wapigane kwa niaba yao lakini ukweli unaopatikana katika matamshi ya waukreni wenyewe kuanzia raisi Zelensky mpaka mameya wa miji mbali mbali ni kwamba vita baina yao na Urusi vimeshawarudisha nyuma sana.Kwanza...
  20. Sexer

    JamiiForums Tanzania Urusi yaishutumu Ukraine kwa kushambulia ghala lake la mafuta

    Gavana wa jimbo la Belgorod nchini Urusi ameishutumu Ukraine kwa kushambulia ghala lake la mafuta katika mji huo. Vyacheslav Gladkov alisema kupitia Telegram kwamba moto mkubwa uliozuka Ijumaa asubuhi kwenye ghala hilo, ulisababishwa na mashambulizi ya anga kutoka kwa helikopta mbili za...
Back
Top Bottom